Nawezaje kurudisha pesa niliyokatwa App Store?

Mchimba Chumvi

JF-Expert Member
May 19, 2016
2,060
4,842
Wakuu habari leo nimekatwa pesa AppStore pasipo kutaka ,wataalam wa iPhone nawezaje kuirudisha pesa hii 33 USD

0BE02BAD-9371-42EC-8A12-B58EC919FE0C.png
app yenyewe niliyolipia pasipo kutaka hiyo hapo
 
Sidhani kama watarudisha maana yaonesha iyo apps uliyataka kupakua ni lazima ilipiwe
Ni kweli mkuu lakini hii app,nilishailipia nilipokua natumia android ambapo email niliyoitumia kwa android ni same na hii niliyoitumia AppStore,sasa kwanini wakate na huku wakati developer anasema email ambayo ilishawahi kununua haitahitaji kulipia tena app hiyo? Ishu yangu ipo hivyo
 
App store app nyingi ni za kulipia sasa wewe uliweka bank details bila kujua na app ni ya kulipia sasa wamekata pesa yao. Hakuna refund hapo mkuu coz maelezo kwenye app kabla hujadownload huwa wanaonesha.

Kuwa makini next time
 
Ni kweli mkuu lakini hii app,nilishailipia nilipokua natumia android ambapo email niliyoitumia kwa android ni same na hii niliyoitumia AppStore,sasa kwanini wakate na huku wakati developer anasema email ambayo ilishawahi kununua haitahitaji kulipia tena app hiyo? Ishu yangu ipo hivyo

Ulitumia android na hii ni ios ni vitu viwili tofauti, umeuziwa bidhaa na watu wawili tofauti ijapokua mnunuzi ni mmoja
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom