Kuhusu udahili wa kozi za afya awamu ya pili 2021/2022

Mmakedonia

Member
Sep 1, 2021
21
12
Tarehe 17/09/2021 NACTE kupitia ukurasa wao waliweka tangazo na ndani ya hilo tangazo wamesema wale wanafunzi ambao hawakuchaguliwa na ambao hawakuomba nafas za vyuo basi wafanye hivyo katika awamu hii kwani ndio awamu ya mwisho kwa muhula huu wa masomo.

Sasa hapa tangu juzi naingia kwenye ukurasa wa nacte tangazo naliona lakini mahali ambapo huwa wanaweka "udahili wa kozi za afya" sipaoni, kuna mdogo wangu apa nataka kumfanyia application nimekwama na ukizingatia ushindani ni mkubwa na mwisho wa kufanya maombi wamesema ni tarehe 29/09 hivyo naomba msaada kwa yeyote mwenye upeo juu ya jambo hili linavyotakiwa kwenda tafadhari ili nifanikishe.
 
Udahili kwa vyuo vya serikali walishafanya na selection tayari.
Nadhani kwa sasa wamefungua dirisha la maombi kwa vyuo vya Afya vya private.
Cha kufanya kwanza Chagua chuo unachotaka akasome kisha ingia kwenye website ya chuo husika utaona link ya application. Hata joining Instructions ya chuo utapata huko pia
 
Vyuo vya serikali vilishajaa. Omba vyuo binafsi kupitia website zao wenyewe na wala sio NACTE. NACTE wenyewe watakuja kupokea majina ya waliochavuliwa na vyuo baadae kwa ajili ya uhakiki wa sifa za kujiunga na kozi husika utakayokuwa umechaguliwa nayo. Na wao ndio wata-verify/approve chaguzi yako kwenda chuo husika.
 
Mkuu nacte wanadahili online vyuo vya serikali na vyote vimejaa,,vyuo vilivyobaki ni vya private hivyo ili uombe wasiliana na chuo unachotaka moja kwa moja watakudahili.
Tarehe 17/09/2021 NACTE kupitia ukurasa wao waliweka tangazo na ndani ya hilo tangazo wamesema wale wanafunzi ambao hawakuchaguliwa na ambao hawakuomba nafas za vyuo basi wafanye hivyo katika awamu hii kwani ndio awamu ya mwisho kwa muhula huu wa masomo.

Sasa hapa tangu juzi naingia kwenye ukurasa wa nacte tangazo naliona lakini mahali ambapo huwa wanaweka "udahili wa kozi za afya" sipaoni, kuna mdogo wangu apa nataka kumfanyia application nimekwama na ukizingatia ushindani ni mkubwa na mwisho wa kufanya maombi wamesema ni tarehe 29/09 hivyo naomba msaada kwa yeyote mwenye upeo juu ya jambo hili linavyotakiwa kwenda tafadhari ili nifanikishe.
 
Dah, kwa hiyo kumbe hakuna second round ni uongo tu wameweka kwenye calendar na tangazo lao🤔

Screenshot_20210923-093324_1.jpg
 
Back
Top Bottom