pili

The arrector pili muscles, also knows as hair erector muscles, are small muscles attached to hair follicles in mammals. Contraction of these muscles causes the hairs to stand on end, known colloquially as goose bumps (piloerection).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania The Bee Gees: As long as you're having fun, that's the key, Sehemu ya Pili

    Tumalizie sehemu ya mwisho ila kama hujasoma sehemu ya kwanza unaweza kuisoma hapa The Bee Gees: As long as you're having fun, that's the key, Sehemu ya Kwanza Karibu sana Kwenye kipindi mubashara cha The Midnight Special mwaka 1975, The Bee Gees waliipatia dunia kionjo kizuri sana kwa kuimba...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Pwani: Mashabiki wa Simba kutoka Mbeya, Wapata ajali Vigwaza!

    Kuna taarifa kuwa mashabiki wa Simba kutoka Mbeya wamepata ajali maeneo ya Vigwaza Pwani, wakiwa njiani kuelekea Dar, kushuhudia mechi ya Simba na Ahly. Ajali hii imetokea baada ya gari lao kigongana na roli Alfajiri ya Leo! Mungu wape wepesi ndugu zetu! Tutaendelea kupata taarifa kamili...
  3. JamiiForums Tanzania Baada ya Ramadhan idd ni moja tu, hakuna kitu inaitwa idd pili! Kwenye idd ya kuchinja ndipo penye siku tatu za baada ya idd

    Salaam wandugu, Niliwahi kuandika jambo hili kuiomba serikali na kuishauri na leo narudia tena kwa nia ya kukujuza wewe usiyejua ujue kabisa utaratibu ulivyo. Mwishoni kama ada sitaacha kuishauri na kuiomba Serikali itekeleze jambo Ni kwamba wengi wetu tumezoea tangu mashuleni mwezi wa...
  4. JamiiForums Tanzania Licha ya kwamba mimi ni Mkristo, leo sitakula nyama sababu mshahara wa mwezi wa pili bado haujatoka

    Kwa jìnsi nilivyo nadhifu, kwa jinsi nilivyo na haiba njema, watu wanashangaa sana wakiona sijihusishi na mambo mengi ya dunia, licha ya kiwa nayapenda. Mademu wanapapatika juu yangu nami naumia kwa kushindwa kuwamudu. Nikikatiza mtaani huķu Uswahilini kwetu watoto wananìlilia na kuniita baba...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mbarawa: Treni yetu ya SGR haiwezi kwenda Spidi 160 kwa Saa, tunaenda kwa Awamu

    Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa Makame Mbarawa amesema majaribio treni ya SGR yamekuwa yakizingatia usalama unaofanya treni kutembea kwa mwendokasi wa chini tofauti na itakavyokuwa baada ya safari rasmi kuanza. Mbarawa amesema treni hiyo kwa kawaida itakuwa na mwendo kasi wa Kilometa...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi ushindi wa Azam jana hauathiri harakati za Simba kugombea nafasi ya pili?

    Jana nimeshangaa Simba kufurahia ushindi wa Azam wakati ni wapinzani wao kwenye kugombania nafasi ya pili!! Hivi ni umbumbumbu au ni kitu gani!? Au wanadhani labda wanagombea ubingwa?
  7. G

    JamiiForums Tanzania Ni ipi siri ya Yanga hata ikiwa mbovu haijawahi kumaliza ligi nje ya nafasi ya tatu?

    Timu zote isipokuwa Yanga zimewahi kushika nafasi nje ya tatu, Why ? Kwa upande wa Simba imewahi kunusurika kushuka daraja mwaka 1987, 1988 na 1989, kwa mwaka 1988 na 1989 mechi za mwisho zilikuwa dhidi ya Yanga, mara zote hizo Yanga waliombwa wasishinde ili Simba asishuke daraja maana ligi...
  8. JamiiForums Tanzania Hongera idara ya elimu sekondari halmashauri Bunda kwa mabadiliko ya mtihani wa mock kidato cha pili na kidato cha nne

    Hii sasa ndio mikakati madhubuti ya kuinua kiwango cha ufaulu katika halmashauri.Hili jambo lina mana gani kwa walimu na wanafunzi? Tofauti na ilivyozoeleka miaka ya nyuma ambapo mtihani wa ukamilifu (mock) ulikuwa unafanyika kati ya mwezi may au agosti ambapo miezi ya awali wanafunzi...
  9. JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA wanafaa kukabidhiwa nchi?

    Tundu Anti-Pass Lissu, akihojiwa na Star TV, alieleza kwamba kwa upande wa chadema, wao ufisadi wala sio issue kwao, si ya kwanza, ya pili au ya tatu ,ya tisa huko. Je, wakiingia madarakani, wana nguvu ya kisiasa ya kupambana na ufisadi? Wameshauona kama sehemu ya maisha yao, au maisha yao...
  10. JamiiForums Tanzania Mzee wetu Rais wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi anaendeleaje? Watanzania tunamuombea

    Mzee wetu na Baba/ Babu wa Watanzania wengi Dr. Ali Hassan Mwinyi tulitangaziwa ya kwamba yu mgonjwa, na akakimbizwa hospitali kwa matibabu ya kifua. Tangu tumetangaziwa hivyo hatujapata mrejesho wa afya ya Mzee wetu. Woto wangu kwenu ndugu zanguni Watanzania wenzangu, tuendelee kusugua goti...
  11. JamiiForums Tanzania Long Distance relationship: Twende round ya pili Mpenzi

    Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na hii convo ya wapenzi wanaoishi mbalimbali. Angalia hapa jinsi mahusiano ya mbali yanavyoendeshwa na hawa watu.
  12. JamiiForums Tanzania Marekani yaanza kulalamika vita vyake na Houth. Yasema haijawahi kupigana vita kama hivyo tangu vita vya pili vya dunia

    Mambo yamekuwa mambo ! Vice Adm. Brad Cooper wa jeshi la wanamaji wa Marekani amesema nchi yake haijawahi kupigana vita vikali vya majini tangu vita vya pili vya dunia kama mwaka huu na wanamgambo wa Houth. Amesema wakirusha kitu na wao wanarushiwa Maneno hayo yamekuja wakati ambapo vikosi vya...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta softcopy ya notisi za kiswahili kidato cha pili

    Wakuu naomba kama kuna mtu ana notisi za kiswahili (kidato cha pili) au link ambayo naweza kuzipata anisaidie! Nataka kumsaidia kijana wangu
  14. JamiiForums Tanzania Baada ya Ratiba ya Maandamano ya awamu ya pili kutolewa Mbeya yalipuka kwa Shangwe

    Hii ndio Taarifa mpya ya sasa kutoka mkoani humo, kwamba baada ya Ratiba ya Maandamano ya awamu ya pili, ya kupinga Ugumu wa maisha na miswada mibovu ya sheria za uchaguzi kutangazwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA , huko mkoani Mbeya baraka hii muhimu wamepangiwa tarehe 20/2/2024 , ambayo...
  15. JamiiForums Tanzania EPISODE 1: Uchambuzi wa kitabu cha Siri za Akili ya Mtu Tajiri

    EPISODE ONE ________________________________ UCHAMBUZI MAKINI WA KITABU CHA: "SIRI ZA AKILI YA MTU TAJIRI" (SECRETS OF THE MILLIONAIRE MIND). NA: LEONARD JULIUS SHIGANGA WA MWANAMATINGATINGA. Kitabu hiki kimeandikwa na T. HARV EKER, ambaye ni milionea, mwandishi na mzungumzaji maarufu...
  16. JamiiForums Tanzania Ipi Historia ya Kweli ya TANU? Sura ya Pili

    https://youtu.be/t4HhcYoQmeI Mtu anapozungumza asichokijua. Anamtaja Abdul kuwa alikuwa mzee. Anasema Abdul Sykes hakusoma. Abdul Sykes alikuwa na miaka 28 Julius Nyerere miaka 30. Nyerere mkubwa kwa Abdul Sykes. Nyerere hakuitwa na yeyote alipelekwa kwa Abdul Sykes na Kasella Bantu 1952...
  17. JamiiForums Tanzania Leo Tumepokea Kipigo Cha Pili

    Nashukuru kuwa leo tena kipigo. Watu waelewe mpira si uhamasishaji. Ni uwekezaji serious. Team ilipaswa ikae kambini ijiandae. Ilipaswa iendeshwa na wataalamu siyo wanasiasa. Sasa na michezaji nayo imekaa kibwege bwege kama mitaahira. Chezaji limetoka kufungwa linamshukuru rahisi. Kama li below...
  18. JamiiForums Tanzania NECTA 2023: Wanafunzi 359,424 wa Darasa la 4 na Kidato cha Pili wamefeli, Wengine 211,997 hawakufanya Mtihani

    Matokeo ya Mitihani ya Upimaji Kitaifa kwa Wanafunzi wa Darasa la 4 na Kidato cha Pili iliyofanyika Oktoba na Novemba 2023 yameonesha Wanafunzi 147,837 (8.73%) wa Darasa la 4 hawakufanya Mtihani wa Upimaji ambapo Wasichana ni 60,835 (7.04%) na Wavulana ni 87,002 (10.50%). Pia, Wanafunzi 257,396...
  19. JamiiForums Tanzania Baraza la Mitihani latangaza matokeo ya Upimaji Darasa la Nne na Kidato cha Pili kwa mwaka 2023

    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Upimaji kwa darasa la Nne na Kidato cha Pili kwa mwaka 2023 mchana wa leo. Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009 NECTA imetangaza Matokeo ya Kidato cha Pili na Darasa la 4, 2022 Yatazame hapa National form II Results 2009 aibu Kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Makundi mapya Mapinduzi Cup baada ya Bandari FC na Ura kujitoa, Kundi la Simba umafia waziwazi, Yanga wanabebwa

    Kundi B la Simba, -JKU hadi sasa inaongoza ligi kuu ya Zanzibar na imewahi kushinda makombe ya ligi kuu -APR tangu 2020 imechukua makombe manne mfululizo ligi kuu ya Rwanda -Singida FG ni timu ya nne kwa ubora kwenye ligi kuu ya Tanzania Bara Kundi A Vital’o Azam FC Chipukizi United Mlandege...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…