Marekani yaanza kulalamika vita vyake na Houth. Yasema haijawahi kupigana vita kama hivyo tangu vita vya pili vya dunia

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,176
10,899
  • Mambo yamekuwa mambo !
  • Vice Adm. Brad Cooper wa jeshi la wanamaji wa Marekani amesema nchi yake haijawahi kupigana vita vikali vya majini tangu vita vya pili vya dunia kama mwaka huu na wanamgambo wa Houth.
  • Amesema wakirusha kitu na wao wanarushiwa
  • Maneno hayo yamekuja wakati ambapo vikosi vya ulinzi wa majini vya Marekani na washirika wake wameshindwa kabisa kuzuia mashambulizi ya Houth dhidi ya meli zenye mafungamano na Uiengereza,marekani na Israel na kupelekea kupigwa kila siku.Meli ya mwisho kupigwa ni hapo juzi ambapo meli moja inayomilikiwa na shirika la Uiengereza iliharibiwa vibaya na mabaharia wake kulazimika kuikimbia ili kujiokoa
  • US admiral says the fight against the Houthis in the Red Sea is the largest battle the Navy's fought since World War II

Basi waambie waazime jeshi letu maana miaka mingi baada ya Idd halijapigana na ntu
 
Sema tu haya mazungu Karne hizi yamepunguza hamu ya vita. Urusi kama angeamua kufunguka full mkoko Ukraine pasingekalika, hivyohivyo Kwa adui yake Marekani useme aonyeshe mazingaombwe yake pale Red sea hapatakalika. Haya mataifa mawili Yana nguvu kubwa sana za kijeshi Duniani.
 
Hapo Marekani anatafuta uhalali wa kutaka kutumia nguvu kupita kiasi akianza kuua wake na watoto wa hao wa Houthi kuwa hao wa Houthi wamejificha kwenye kiliniki za waja wazito na watoto msije kupiga yowe humu

Hapo wanataka Bunge liidhinishe kipigo Cha mbwa Koko Kwa wahouthi na ziidhinishwe silaha nzito
 
Na hicho ndio kinachotafutwa.. Uhalali wa kutoa kipigo cha mbwa mwizi
 
  • Mambo yamekuwa mambo !
  • Vice Adm. Brad Cooper wa jeshi la wanamaji wa Marekani amesema nchi yake haijawahi kupigana vita vikali vya majini tangu vita vya pili vya dunia kama mwaka huu na wanamgambo wa Houth.
  • Amesema wakirusha kitu na wao wanarushiwa
  • Maneno hayo yamekuja wakati ambapo vikosi vya ulinzi wa majini vya Marekani na washirika wake wameshindwa kabisa kuzuia mashambulizi ya Houth dhidi ya meli zenye mafungamano na Uiengereza,marekani na Israel na kupelekea kupigwa kila siku.Meli ya mwisho kupigwa ni hapo juzi ambapo meli moja inayomilikiwa na shirika la Uiengereza iliharibiwa vibaya na mabaharia wake kulazimika kuikimbia ili kujiokoa
  • US admiral says the fight against the Houthis in the Red Sea is the largest battle the Navy's fought since World War II

siku zote marekani akitaka kumpiga mtu huwa anajifanya victim ili waonekane wapo sawa kiuwezo na silaha atakazotumia ziwe justified. all in all, roho za watu zitapotea tu bila sababu,kama kuna namna wanaweza kuyamaliza mezani ni bora. inajulikana waarabu wengi sana watakufa bila kumpokea Yesu hapo.
 
Huo ndio ukweli
Na wanahofia sana usalama wa meli zake za kivita baada ya juzi kugundua droni ya baharini iliyokuwa ikielekezwa usawa wake.
Nakuuliza tena Taifa la Marekani liko vitani na Houthi? Unajua Marekani ni mwanachama wa NATO? Unajua sera ya NATO inasemaje kama mwanachama mmoja akiwa vitani? NARUDIA TENA JE MAREKANI IKO VITANI NA HOUTHI? NA LINI MAREKANI AME DECLARE WAR AGAINST HOUTHI?
 
Sijui unazungumza nini hapo.
Marekani kila siku wanapiga kwa silaha nzito walizonazo kupiga kila penye maslahi na wewe bado unaona si vita.
 
Wavaa kobazi akili zao huwa kwenye mavi yao tumboni.
Kuna shida wanzazuoni wa kiislamu wafundishe waislamu kutumia akili pia

Kwa mfano wanavamia Israel huku wanajua Marekani atawasaidia halafu wakitwangwa na wao na wake zao na watoto wao kuuawa baada ya kuchokoza Israel wanakuja na kelele ohh Israel bila Msaada wa Marekani tungemtandika barabara asingetupiga

Sasa kama Unajua kuwa Ukichokoza Israel Marekani atakuja Kwa Nini uanzishe vita wakati Israel haijaanzisha vita na wewe kama Ile October 7 waisrael walikuwa hawana mipango wa kuvamia Mtu walikuwa tu kwenye sherehe Yao ya kidini

Hamas wakalianzisha hawakujua kuwa Marekani watawasaidia Israel?

Wajinga sana unavamia muisrael akianza kukuua na kuua familia Yako akisaidiwa na Marekani unaanza miyowe ohh bila Marekani tungemtandika Israel Hadi basi .Wavaa kobazi akili hawana ziko kwenye makalio
 
Kweli
mzee acha kujitekenya ayo mameli ya kimarekani yapo apo redsea hatuja wahi sikia hata moja imezamishwa mna tegea za kiraia ndo zinashambuliwa hao houthi hawana tofauti na kijibwa koko cha kwa mtogole
Kweli kabisa!!! Hapo Houths ni mbwa koko tu wa Iran.... Hapo mvutano ni Iran na Israel. Huo ukanda wa Red sea na Arabian Sea ni Ukanda wa Iran.
 
Back
Top Bottom