Makundi mapya Mapinduzi Cup baada ya Bandari FC na Ura kujitoa, Kundi la Simba umafia waziwazi, Yanga wanabebwa

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Kundi B la Simba,

-JKU hadi sasa inaongoza ligi kuu ya Zanzibar na imewahi kushinda makombe ya ligi kuu
-APR tangu 2020 imechukua makombe manne mfululizo ligi kuu ya Rwanda
-Singida FG ni timu ya nne kwa ubora kwenye ligi kuu ya Tanzania Bara

Kundi A
  • Vital’o
  • Azam FC
  • Chipukizi United
  • Mlandege FC
Kundi B
  • JKU SC
  • Simba SC
  • Singida FG
  • APR FC
Kundi C
  • KVZ FC
  • Yanga SC
  • Jamus FC
  • Jamhuri SC
 
Weka na makundi yalivyokua msimu uliopita mkuu.
 
Ila kipindi hiki pesa ipo
Zawadi ya bingwa ni million 100

Makolo lalamika tu
 
Kundi B la Simba,

-JKU hadi sasa inaongoza ligi kuu ya Zanzibar na imewahi kushinda makombe ya ligi kuu
-APR tangu 2020 imechukua makombe manne mfululizo ligi kuu ya Rwanda
-Singida FG ni timu ya nne kwa ubora kwenye ligi kuu ya Tanzania Bara

Kundi A
  • Vital’o
  • Azam FC
  • Chipukizi United
  • Mlandege FC
Kundi B
  • JKU SC
  • Simba SC
  • Singida FG
  • APR FC
Kundi C
  • KVZ FC
  • Yanga SC
  • Jamus FC
  • Jamhuri SC
Bonanza hili
 
Halafu Yanga hii michuano ya kuangalia wachezaji wake Chipukizi ili kuwapandisha timu ya wakubwa.
 
Tuheshimu mashindano yetu ya ndani, nyie mnaosema Kombe la mapinduzi halina hadhi ni wazi hamjielewi, na hamjui maana halisi ya haya mambo.

Kwa sisi wapenda michezo kila mechi ni burudani, ni heshima kubwa kubeba kikombe kinachobeba hadhi ya historia ya nchi fulani au jamii fulani.
 
Back
Top Bottom