picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Mkalimani aliyeingiza watu "Chemba"

    Wakalimani na watafsiri wa viongozi baadhi ya maneno ya kingereza wanatudanganya sana sijui kwa faida ya nani, sipati picha kifaransa kama wanasema kweli! Tu assume jamaa alipitiwa labda hakusikia vizuri, lakini je; aliyatoa wapi Yale maneno aliyotuongopea?
  2. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Kwa wale Wataalam wa Picha Ipe Maelezo Picha

    Kwa wale wasomaji wa picha, ipe maelezo picha hii
  3. F

    JamiiForums Tanzania Mama Samia na wengine wote wamevaa Barakoa

  4. WA MAMNDENII

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada Tafsiri sahihi ya maana ya neno lililoandikwa before 40 kwenye picha ambatishwa

  5. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Mpiga picha wa Rayvanny: Kutoka kubeba mabegi mpaka kuwa msimamizi wa lebo ya Next level (+ Video)

    Huu mzima? Kijana ambaye huonekana karibu sana na @rayvanny na mara nyingine huonekana akimpiga picha erismzava ameeleza ukaribu wake na Rayvanny na kueleza nafasi yake kwa @rayvanny na pia nafasi yake kwenye labo mpya ya Next Level Music Mzava ameelza kuwa yeye chochote atakachoagizwa na...
  6. TODAYS

    JamiiForums Tanzania PICHA: Makamu wa Rais hupokea heshima ya kiitifaki wapi?

    Kupitia picha hizi hapa chini, nimejiuliza mara mbili tatu je, ni wapi makamu wa Rais hupokea heshima ya kiitifaki kama picha zinavyojieleza?
  7. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Bila shaka tumepata picha kamili, uvunjifu wa haki huzalisha chuki ya kudumu

    Ukienda South Africa hii leo ukakutana na ndugu wa Steven Biko na ukafanya nao mazungumzo lazima watakuambia kweli kuwa kuna kovu kubwa ndani ya mioyo yao. Maana ndugu yao aliuawa bila hatia na utawala dhalimu wa makaburu. Tena aliuawa kifo kibaya. Huu ni mfano tu ambao unaonesha namna gani...
  8. KENZY

    JamiiForums Tanzania Baada ya kunitumia picha yake kanizira!

    Nilikutana nae mtandaoni si nikajipinda kuomba picha nikijua naopoa pisi kali kumbe pisi kombe!.. na hii ndo picha yake Baada ya kuiona sikujibu chochote zaidi ya kumuwekea haka ka video Tuwe makini ndugu zanguni maana matusi niliyotukanwa na huyo kibonge mpk nimeota tujipu uchungu!.
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Salim Himidi katika picha, katika mazungumzo

    SALIM HIMIDI KATIKA PICHA KATIKA MAZUNGUMZO Mtu anapoondokewa na wake akili inahangaika sana lakini mara mtu anasahau na maisha yanaendelea. Hizi ni katika rehma za Allah vinginevyo maisha yetu yote duniani yangetawaliwa na huzuni kwa misiba inayotufika. Picha ya mwanzo kushoto ni Salim...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nikiangalia picha za viongozi wa serikali mashambani kwao weekend, nakumbuka mashamba ya Mbowe yaliyovamiwa na wanasiasa wakaua mimea isiyo na hatia

    Binadamu ana tabia yakuona kitu flani kikamkumbusha Jambo fUlani la aina hiyo lililowahi kutokea miaka ya nyuma. Leo hii nikawaida kuona wanasiasa na baadhi ya viongozi wakisiasa wakipiga picha na kuposti wakiwa kwenye mashamba yao. Picha hizi unanifanya nijiulize hivi akienda mtu akaondoa...
  11. TODAYS

    JamiiForums Tanzania PICHA: Republican waanza kuabudu sanamu ya dhahabu ya Trump

    Dunia hadaa ulimwengu shujaa. Wenzenu hapo kwa Biden wameamua kwa moyo mkunjufu kufanya ibada na kuiabudu sanamu ya mstaafu Trump. Nawasilisha. === Fact check: Picha aliyoweka mtoa mada haihusiki na kuabudiwa
  12. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Hivi Askofu Dr Gwajima anaweza kutengeneza picha kubwa kweli?

    Anadai kuwa anamtumainia Bwana na waamini wake hawavai barakoa na kuchukua taadhari yoyote lakini hakuna aliyekufa. Swali, mbona bungeni kuna ulinzi? Na viongozi wakubwa wana ulinzi pia? Hivi nyumbani kwake na kwenye ofisi za makanisa yake hafungi milango na makufuli au funguo?
  13. Replica

    JamiiForums Tanzania Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

    Timu ya soka ya Simba leo iko dimbani kupambana na Al Ahly ya Misri katika mchezo wa hatua ya makundi ukiwa ni mzunguko wa pili kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa majira ya saa kumi jioni. Pamoja na timu zote kuwa na alama tatu baada ya kushinda mechi zao za mzunguko wa kwanza, Al Ahly inaongoza...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Pumzika kwa amani Balozi Kijazi, picha inafikirisha sana

    Kutoka kulia Mwamunyange, Balozi Kijazi, Makonda Rais Magufuli.....
  15. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania Usipofikira mara juu ya picha hii, Jijue wewe ni kivuli tu dunia hii.

    Note: Elimu ni BURE na Kiswahili ndio uzalendo kwa nchi yetu. ========= Anyway, watawala wanahitaji watu wa aina 2 tu. 1. Wanaopiga kazi na kulipa kodi. 2. Watiifu. Usihangaike sana na masuala ya elimu Kwasababu wala hayahitajiki kwenye vibarua vyetu vya kubeba zege, kuuza mabanda...
  16. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Picha za mambo ambayo kimsingi zinafikirisha sana

    Huyu jamaa alikosea nini mpaka akawekewa grill namna hii
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Prof. Elifas Bisanda juu ya tahadhari ya Corona kwa wafanyakazi na wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria Tanzania inatoa picha gani kwa wasomi?

    Wasomi wetu watia aibu sana. Prof. Bisanda, Makamu wa Chuo Kikuu Huria (OUT) anahojiwa na BBC ni kwa nini ameamua kuwataka wanafunzi wake wabakie nyumbani kusoma kwa mtandao? "Hilo haliwahusu, mimi nimetoa taarifa hiyo kwa wanafunzi wangu tu na wafanyakazi wa Chuo kuhusiana na Corona...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya V8 kusitishwa picha mpya za Toyota land cruiser zavuja

    Inakuwaje wanajamvi! Kama mjuavyo Toyota land cruiser 200 series (viieite) wamesitisha utengenezaji kabisa. Sasa hivi utengenezaji utakuwa wa 300 series na picha zimeshaanza kuvuja itakavyokuwa. Sijapendezwa na Hizi picha kwasababu body itapunguzwa upande wa juu utashuka kidogo. Ila engine...
  19. Iamhonest

    JamiiForums Tanzania Picha hii inakufanya ujiulize nini?

    Kwenye picha hizo hapo juu, utaona watu wawili wameketi kwenye pikipiki. Inaweza kuonekana kawaida kwa baadhi ya watu kwa muonekano wa haraka. lakini kiuhalisia, lakini hao waliokaa nyuma ya dereva siyo watu walio hai: ni miili ya watu waliokufa. Nilidhani naujua uhalisia wa umasikini lakini...
  20. Inside10

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mzee William Mbunga mwandishi wa habari mkongwe afariki dunia

    Habari zilizonifikia ni kuwa mzee William Mbunga mwandishi wa habari mkongwe, aliyepiga picha tukio maarufu uchanganyaji udongo kwenye Muungano wa Tanganiyika na Zanzibar amefariki Dunia tarehe 3/2/2021. Pia ndiye muanzilishi wa shule ya uandishi wa habari SJMC. Bwana ametoa, bwana ametwaa --
Back
Top Bottom