Avae barakoa, Mungu hawezi kutunza mtu aliyempa maarifa na nyenzo na hazitumii.Mungu akutunze Madame President Samia Suluhu Hassan
Bado Safari ndefuPicha Rasmi ya Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inayotakiwa kubandikwa Kwenye Ofisi mbalimbali. MwenyeziMungu amtunze Rais Wetu
View attachment 1732488
Kuwa na adabu na Rais wetu 😀😀😀Mazaa ana macho mazuri
Ukimpenda mtu una ungana nae. Huo ndo upendo wa kweli. Kama juhudi ziliungwa kipindi kile saivi ina shindikana nn.Magufuli ndio basi tena,haya makelele ya shujaa hayatadumu hata nusu mwaka. Anasauhulika kama wanampenda sana wangemuacha aendelee kutawala kama malaika
Kama ataingoza vizuri hata wananchi nguvu zao zitaonekana kumtetea...kama ataongoza kivyake vyake watajuana wenyewe.Kutokana na mambo ya mfumo dume uliokithiri inawezekana Madame President akaongoza kipindi kimoja pia.