WA MAMNDENII
JF-Expert Member
- Jun 5, 2010
- 344
- 57
Hakika mkuu ,ila naamin hii thread ikipitiwa na wabobezi wa lugha ya Hiho watanisaidiaKwenye head yako ungeitawanaojua kichina wangekuja faster
Asante mkuu, nimetelezea google lens kiulaini kinyama , kweli hili jukwaa ni kisima cha ilmu dunia . Big upTumia google lens kutafsiri
asante pia kwa mrejesho wakoAsante mkuu, nimetelezea google lens kiulaini kinyama , kweli hili jukwaa ni kisima cha ilmu dunia . Big up
Bless upasante pia kwa mrejesho wako