Kwa wale Wataalam wa Picha Ipe Maelezo Picha

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,285
9,922
Kwa wale wasomaji wa picha, ipe maelezo picha hii
 
Attachments

  • IMG_20210320_173514.jpg
    IMG_20210320_173514.jpg
    28.9 KB · Views: 1
Uyo idriss anatafuta anachotaka na atakipata tu maana tangu msiba umeanza anataka ingiza comedy zake kwenye vitu serious na atajaa tu acheni anendelee wanamzoom tu
 
Mama Samia Suluhu, amemshika mtoto Tanzania anamuongoza kwa kufuata principles za mzee baba JPM japokuwa hayupo ila ameshikilia koti lake (stail yake ya uongozi)
 
Uyo idriss anatafuta anachotaka na atakipata tu maana tangu msiba umeanza anataka ingiza comedy zake kwenye vitu serious na atajaa tu acheni anendelee wanamzoom tu
Kuna TAKATAKA mnafurahia sana mateso na danu za watu.

Miaka 6 iliyopita mlifanikiwa kuweka mtu wenu ikulu, nchi ime-bleed kabisa huku mkishangilia kama nyani kaona shamba la ndizi.
 
Maelezo ni kuwa picha ni black and white yenye bendera yenye rangi. scene, kuna dogo/mtu mfupi kashika kitu mfano
wa mpini anamuangalia mwanamke pembeni yake kama ana uoga na wasi wasi, wakati pembeni ya mwanamke kuna koti chini yake
kuna viatu vyote vikiwa vitupu. inaonekana mama ana courage with empty coat(may be something exists within it) but the kid is worrying.
 
Uyo idriss anatafuta anachotaka na atakipata tu maana tangu msiba umeanza anataka ingiza comedy zake kwenye vitu serious na atajaa tu acheni anendelee wanamzoom tu
Mbona picha haina uchochezi wowote? Mtoto ni Tanzania, mwanamke ni mama Samia akiongoza huku akifata nyayo za Magufuli.
Ina shida gani?
 
Duh! Hiyo pic inatisha , ila kama vile dogo tz anapelekwa kwa mganga wa kienyeji kupiga Ramli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom