picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Saido Ntibazonkiza afuta picha za Yanga kwenye ukurasa wake wa Instagram

    Yanga imekuwa katika wakati mgumu baada ya mtu asiyejulikana Hans Pope kumuweka kwenye mikono salama striker wa Yanga Saido. Katika hali ya kushtua Saido amefuta picha zote akiwa na jezi za Yanga katika kurasa zake za Insta
  2. L

    JamiiForums Tanzania China kupunguza mkopo kwa Afrika si picha kamili ya ushirikiano kati ya pande mbili

    Utafiti mpya uliofanywa na “Pendekezo la Utafiti kati ya China na Afrika” CARI la Chuo Kikuu cha Johns Hopkins cha Marekani umeonesha kuwa mwaka 2019, mikopo iliyotolewa na China kwa Afrika ilipungua kwa theluthi moja, kitu ambacho kinaashiria kuwa China imepunguza kwa kiasi kikubwa mikopo yake...
  3. Slowly

    JamiiForums Tanzania Paula wa Kajala apost picha Snapchat akiwa amemkumbatia Rayvanny Mtu mbaya

    Huku penzi lao likiwa limeghubikwa na mikiki mikiki ya hapa na pale hata hivyo mwanadada huyo aisyeishiwa na vimbwanga ameonyesha kuwa yupo pamoja na Rayvann Kwa shida na Raha ..... Kupitia mtandao wa Snapchat Paula alipost picha akiwa ameibusu nguo inayodaiwa ni ya Rayvann na kuandika...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kajala, Paula wahojiwa polisi wakidaiwa kusambaza picha za Harmonize

    Mwigizaji wa filamu nchini Tanzania, Kajala na mwanaye Paula wamehojiwa kwa saa kadhaa polisi na kuachiwa kwa dhamana wakidaiwa kusambaza picha za utupu zinazodaiwa kuwa za msanii wa Bongofleva, Rajab Abdul maarufu Harmonize. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Jumanne Aprili 20, 2021 Kamanda...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Kamera na upigaji picha

    Habari wakuu. Nina Camera aina ya Canon EOS T4i 650D. Mimi si mtaalamu wa Kamera. Tatizo langu ni pale ninapochukua Video kila inapofika Dakika 30 inajizima automatic na nikitaka kuendelea kuchukua video inabidi nibonyeze tena. Mwanzoni nilihisi labda card ni ndogo nilikua natumia 32GB...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Amiri Jeshi Mkuu, Rais Samia Suluhu hakuvaa sare za Jeshi wakati akiwatunuku kamisheni wanajeshi?

    Nilikaa kusubiri juzi nilitarajia Rais Samia atavalia mavazi rasmi ya Kijeshi nilisubiri alipotokeza nikazani ni yule Rais nunda wa Korea ,kumbe ni yeyye,nikajisemea leo ni mambo ya Kijeshi na yeye sasa sikujua anahudhuria ile kama Rais au Amiri jeshi Mkuu wa Majeshi ya Serikali ya Jamhuri ya...
  7. wamidosho

    JamiiForums Tanzania Hii Picha unaitafsiri vipi?

    Je, ni yale yale ya Ndugu yetu Jokajeusi na Wanawake Bikra au kuna lingine hapa?
  8. Fohadi

    JamiiForums Tanzania Hebu vuta picha ingekuwaje?

    Mara nyingi huwa tunasikia raha ya mapenzi inawafanya watu wanachizi na kufanya mambo ambayo watu wengine wanabaki wakishangaa. Mara huyu kahonga gari, mara huyu haelewani na familia kisa mwanamke. Hivi ingekuwaje kama ule utamu ambao wanaume huwa tunaupata wakati wa ejaculation (utamu wa bao)...
  9. Pain killer

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la vijana wadogo walinzi, hii inaleta picha gani kwenye jamii?

    Habari wakuu. Nimejikuta natafakari sana, kwenye nchi hii tajiri kama wanavotuaminisha viongozi wetu na maendeleo ya technology lakini Sikh hizi kunaongezeko la vijana wadogo wanaofanya kazi ya ulinzi. Wengi wao ni kuanzia miaka 22 wasichana na wavulana, wengine ni wahitimu Wa form four, six...
  10. Quavohucho

    JamiiForums Tanzania Video na picha zinazodaiwa ni za Harmonize zasambaa kwenye mitandao

    Katika hali ya kustaajabisha recorded video call na picha za sehemu za Siri za msanii harmonize zavujishwa; Inasemekana aliyekuwa girlfriend wake (bongo movie) akishirikina na maasimu wa msanii Huyu wavujisha picha hizo. Inasemekana msanii Huyu alikuwa anampigia video call Paula (step daughter...
  11. Slowly

    JamiiForums Tanzania Rayvanny amuwakia vibaya Harmonize kwa kumtumia picha za utupu Paula

    Vita Kali Kati ya nyota wa Mziki wa bongo fleva na mmiliki wa label ya Konde Gang Harmonize na Mkali wa bongo fleva na mmiliki wa label ya Next level music Rayvanny au Vannboy mtu mbaya mtu mbadi imechukua Sura mpya. Kupitia ukurasa wake wa Instagram , Vannboy amemuwakia vibaya Harmonize Kwa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Katiba za nchi nyingine Spika ndiye angekuwa Rais kwa miezi mitatu

    Katiba yetu ni nzuri sana ndio maana mambo yote yameenda kwa amani kabisa ndani ya siku 21 za maombolezo. Katika baadhi ya nchi Rais akifa Spika ndio anaongoza nchi kwa siku 90 na kuitisha uchaguzi. Ndio kusema ingekuwa hapa, Spika Ndugai ndiye angekuwa mkuu wa nchi na baadae kusimamia zoezi...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Katika hii picha unajifunza na unahisi huyu ni nani

    Katika hii picha unajifunza nini na unahisi huyu mwamba ni nani?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nimeshtuka raia wengi wa Afrika Magharibi wanaweka picha ya Rais Magufuli kwenye profile zao

    Mzuka wanajamvi! Hii imekkaje? CCM kwa propaganda nimewaanyooshea mkono. Yani walianza tangu enzi zile Rais Magufuli alipokuwa anatembelea mahospitali na madawati hii ilitangazwa sana huko Africa Magharibi ikawafanya watu wampende na kumkubali. Hata ukiwaambia kajenga international Airport...
  15. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Picha: Ukarimu wa Makamu wa Rais

  16. K

    JamiiForums Tanzania Picha hii inafikirisha, siamini kama tulifika huku!

    Wadau si nia yangu kuhamasisha visasi kwa kukumbusha yaliyopita. Tusitazame nyuma kwa hasira, bali kwa uoga. Tujihadhali tusirudi huko. Ili kutafakari vizuri na kuepuka kumbukumbu kama hii, kuna maswali ya kujiuliza: 1. Mwenye Magwanda ya CDM ni nani? 2. Aliwakosea nini hawa CCM? 3. Hawa...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Picha: Lowassa akiwa na familia yake

    Sijui ni wapi ila nafikiri wamejumuika pamoja kama ishara ya kuadhimisha sikukuu ya Pasaka, bila shaka hawakusherehekea kama tulivyoelekezwa na Mamlaka.
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mabango yenye picha za Hayati Magufuli yaanza kuondolewa barabarani na kwenye ofisi za chama

    Hii siyo namna nzuri ya kuondoa mabango ya Dr Magufuli , wala haikubaliki na ninaipinga hata kama mimi si mwanaccm .
  19. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Kajala na Harmonize wameachana? Kajala afuta picha za Harmonize Instagram na kumu–unfollow

    Moja kati ya taarifa inayo-trend kwa sasa mitandaoni ni kuhusu msanii wa filamu Kajala Masanja na msanii wa muziki Harmonize ambao inasemekana penzi lao limefika mwisho kutokana na baadhi ya viashiria vya mazingira vilivyojitokeza. Taarifa hiyo imekuja baada ya Kajala Masanja kufuta picha zote...
  20. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Mtindo mpya wa trafiki kula rushwa (picha)

    Pichani ni kaka mtanashati anayejifanya muuza magazeti, hapa ni mataa ya Morocco (Kinondoni) daladala zinazotoka maeneo ya Shoppers/Kawe/Msasani zinasimamishwa na Askari kisha kondakta anashuka na kumalizana na na huyo kaka muuza magazeti. Mheshimiwa alisema watoa taarifa tutalindwa hivyo...
Back
Top Bottom