picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mlioko Tanzania tutupieni jamvini picha za sayari ya Jupiter na Saturn

    Inakuwaje wanajamvi? Usiku wa kuamkia leo Sayari ya Jupiter na Saturn zitaonekana kwa macho ya kawaida. Mlioko nyumbani bongo ama Africa kwa jumla mna bahati kwasababu anga liko wazi sky is clear. Tokeni nje sasa hivi mpige picha hata na simu mshare. Huku Skendinevia tulipo hatuna iyo bahati...
  2. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kushtaki vyombo vya habari kwa kutumia picha yangu bila ridhaa yangu?

    Kuna picha huwa zinazagaa mtandaoni na zinatumiwa Sana na vyombo vya habari bila kuziba privacy ya muhusika..mfano Ni picha iloyozagaa kwenye vyombo vya habari hasa kipindi hichi Cha sikukuu. Picha hiyo inaonyesha mtu akipuliza kipimo Cha pombe kwenya habari iliyotolewa na jeshi la polisi...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Tovuti ya fiqhi ya ibadah yenye picha zilizochorwa

    Ni mradi unaohusiana na kuwepesisha mafunzo ya hukumu mbali mbali ya Uislamu kwa lugha mbali mbali, kwa lengo la kueneza Uislamu ulio sahihi kwa waislamu. Mradi huu unajumuisha kitabu chenye picha kuhusu hukumu mbali mbali za Uislamu, ndani ya kitabu hiki kuna milango mitano nazo ni: a) Twahara...
  4. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Mwenye Picha ya cheti cha Ndoa naomba a-share na sisi tafadhali

    Tunajua kuwa Ndoa ni mkataba, so nmeonelea ni vyema kuomba kujua mahudhui ya aina hii ya maktaba. Itapendeza zaidi kama vikipatikana tofauti tofauti yaani cha ⭕ Kikristo ⭕ Kiislamu ⭕ Kiserikali Kama vitakuwa vinatofautiana. Asante.
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Picha ya Maradona huenda ikachapishwa kwenye pesa ya Argentina

    Seneta Norma Durango aliwasilisha muswada bungeni ili kumfanya kiungo huyo, ambaye alifariki wiki mbili zilizopita akiwa na umri wa miaka 60, kuwa kwenye noti ya 1,000 sawa na dola ($ 12, £ 9), noti ya juu zaidi. Noti hiyo itakuwa na uso wa Maradona upande mmoja na picha ya moja ya mabao yake...
  6. CARIFONIA

    JamiiForums Tanzania Umejifunza nini kutoka katika hii picha?

    Ukiangalia katika siasa zetu na mambo mengi hii nchi inayopitia nadhani hii picha inaweza kua na ujumbe ambao kila mtu anaweza kuutafasiri anavyoweza lakini CCM nadhani pia mnaweza jifunza kitu hapa
  7. chawa wa mama

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa Mwanamke kupiga picha na rafiki wa mume na kuzitunza katika simu yake?

    Naomba msaada wa mawazo wakuu, Mama Ngina wangu nikiwa niko safari, kukawa na hafla huku nyuma ya jirani yetu. Nimekuta wife kapiga picha akiwa pamoja na rafiki yangu na mwanangu mdogo. Ni picha zaidi ya kumi, ila ajabu hana hata picha yangu kwenye simu yake. Hapa niko chumbani nazikagua na...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Picha zinazofundisha kutoka Mtandaoni

    Nikiwa katika mitandao ya kijamii nikakutana na Educational Instagram page ambapo nimeona picha/post kadhaa zinazofundisha na nimeona sio mbaya nikazi-share hapa. Source: @naismeal
  9. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania PICHA: Kamati Kuu CHADEMA fukuzeni hao 19 kutoka chamani

    Picha inaongea mara elfu kuliko maneno maneno.
  10. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Rais na Halima sijui ni lini hii picha ilipigwa

  11. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Picha: Abiria wa ndege miaka ya 60 na 70 walisafiri kwa raha na starehe sana

    Habari wanaJF,
  12. Airmanula

    JamiiForums Tanzania Papa Francis apenda picha ya mdada aliyevaa bikini instagram

    Moja ya habari kubwa inayogonga vichwa vya habari hivi sasa ni hii ambapo katika hali ya kushangaza, Ukurasa rasmi wa #Instagram wa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, Franciscus umependa (ku-like) picha katika ukurasa wa mwanamitindo wa mavazi ya bikini, #NataliaGaribotto...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Picha ya mwili wa Alphonce Mawazo huwa inanifanya niwaone waliochagua kuwa wapagani wako sahihi kujitenga na unafiki wa sisi tunaojidai kumjua Mungu

    Leo ikiwa ni siku ambayo kamanda Mawazo aliuwawa mwaka 2015,picha za mwili wake ukiwa umevujaa dama zimesambaa huko twitter kama kumbukumbu ya tukio hilo la kinyama. Waliotenda unyama ule sijui kama waliowahi kamatwa, ila kibaya ni watu wa chama fulani kutojali unyama huu na kutumia nguvu...
  14. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Mwanaume akifanya haya hadharani inaleta picha gani kwenye jamii?

    1. Kuchat mapenzi na demu wake kwenye public platforms, na kuitana romantic words na kuchumiana... 2. Kukiss na demu wake yaani amelegea kabisa mbele za watu au anapiga picha anapost picha kabisa amelegeza macho, alafu mbaya zaidi huyo demu wake ndio kakaza kama mwanaume yaanu... Mfano angalia...
  15. Heci

    JamiiForums Tanzania Picha Bora zaidi duniani

  16. digba sowey

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Harambee iliyoendeshwa na Dkt. Magufuli yapelekea ukamilishwaji wa msikiti mkubwa

    Ujenzi wa Msikiti wa Chamwino Mkoani Dodoma ambao Rais Magufuli aliahidi atashirikiana na Wananchi wengine kuujenga na akaanza kwa kuendesha harambee ya ujenzi wake akiwa Kanisani Chamwino, hatimaye umekamilika. Itakumbukwa Jumapili ya August 23,2020 JPM alihudhuria Misa Takatifu na uzinduzi wa...
  17. Mag3

    JamiiForums Tanzania Picha: Mafuriko CCM, tafadhali tuachieni watoto wetu wapate elimu na si kuongezea vichwa kwenye mikutano iliyosusiwa na wazazi wao!

    ............ ...... Kama unayo picha ongezea...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kijana mbaroni kwa kuchana picha za Magufuli

    POLISI mkoani Morogoro wamemkamata mtu aliyetambuliwa kwa jina la Isihaka Exavery (20) mkazi wa Mkundi, manispaa ya Morogoro kwa tuhuma za kuchana picha za mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli. Kijana huyo pia anatuhumiwa kuchana picha za mgombea udiwani...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Fahamu haya kabla ya kutuma picha yako ya faragha mtandaoni

    Umeshawahi kukutana na picha za ngono mtandaoni? Bila shaka jibu ni ndiyo. Ipo mitandao (porn sites) iliyojikita mahususi kwa ajili ya kutengeneza na kuonesha picha ama video za ngono. Mara nyingi, picha au video zinazopatikana katika mitandao hiyo huwekwa kwa makubaliano baina ya mitandao hiyo...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Rusahunga Rusumo katika picha

    Katika picha ni hali halisi ya barabara ya Rusahunga Rusumo 92km miaka 60 baada ya uhuru. Kwa hakika nia njema ya kuwa na miundo mbinu kama ya Ulaya - tungali na safari ndefu. Katika picha ni hali kama ilivyo leo. Labda pamoja na makelele mengi angalau maji yamemwagwa barabarani: Nyuma...
Back
Top Bottom