Eti picha mpya ya Rais ina rangi nyekundu?

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,293
12,593
Kama ni kweli ina vazi jekundu, basi hakushauriwa vizuri. Tanzania haina doa jekundu pahala, lakini pia ziko timu kubwa sana hazina doa la aina hiyo. Kuna watu wanaweza kusita kuiweka kwenye vyumba na ofisi zao kama itakuwa na wekundu wa waziwazi
 
Utopolo mmeanza kuchokoza Dolla, Ikulu siyo Vodacom mjue muanze kusema mnataka doa jeusi🤣🤣🤣
 
Ila Yanga ,mmeanza kumpangia rais hadi mavazi,tunajua ligi imewashinda mnataka kuwa chama cha siasa?
FB_IMG_1614976234100.jpg
 
Ile picha ina tatizo moja tu, lipstick nyekundu ambazo hata hazijapakwa kwa usawa. Angepiga bila lipstick au akaweka ya maji isiyo nyekundu inayoweka layer ingefaa zaidi.
 
Una ofisi ya makeup? Unaonyesha you are good katika urembo
Girlfriend wangu ana makorokoro yale ya makeup na lisanduku lake. Huwa anawachora wenzake na kwa vile baadhi ya vifaa nilimnunulia mimi basi najikuta nikiona mtu najua huyu kazingua, huyu kapatia.
 
Utopolo mmeanza kuchokoza Dolla, Ikulu siyo Vodacom mjue muanze kusema mnataka doa jeusi🤣🤣🤣
Aa!! mzee!! hakuna mgeni hapa, kuna watu walikataaga rangi ya mdhamini muhimu kwao kuonekana popote ofice kwa watu.
 
Ile picha ina tatizo moja tu, lipstick nyekundu ambazo hata hazijapakwa kwa usawa. Angepiga bila lipstick au akaweka ya maji isiyo nyekundu inayoweka layer ingefaa zaidi.
Toa ushauri wa bure usiposikilizwa basi basi kojoa ukalale, umeshatimiza wajibu wako.
 
Yanga mna mateso sana hii dunia.
Rais kuvaa nyekundu tu mmeshaanzisha uzi?Mlitaka avae Madeira yenu?
 
Anaekuambia usikombe mboga ana nia njema, anataka ushibe. Kama akiona inafaa kuvaa hivyo basi aendelee, lakini rangi ziko nyingi angeweza kuchagua nyingine akitaka
 
Najiuliza Uto wataweka picha ya Rais kwenye ofisi zao! maana hata nembo ya Voda waliikataa 😂 Nasubiri kuona watakavyokataa picha ya Rais🤣🤣
 
Yanga ilikuwepo tangu 1935 na umuhimu wa Yanga nchini unajulikana na values and philosophy yake vinafahamika wazi. Kama wakilazimika kuiweka ofisini wataiweka tu watafanya nini, lakini.....
 
Kama ni kweli ina vazi jekundu, basi hakushauriwa vizuri. Tanzania haina doa jekundu pahala, lakini pia ziko timu kubwa sana hazina doa la aina hiyo. Kuna watu wanaweza kusita kuiweka kwenye vyumba na ofisi zao kama itakuwa na wekundu wa waziwazi
Mawazo ya kishirikina tu hayo!!!!
 
Back
Top Bottom