Ni kweli RAS wa Lindi ametoa kauli picha za Magufuli ziondolewe ofisini?

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
14,937
26,647
Habari hii nimeikuta mahali. Kwamba RAS wa mkoa wa Lindi ametoa tamko kwamba picha za Magufuli ziondolewe kwenye ofisi zote za serikali mkoani Lindi.. Mwisho wa enzi unapo fika.

# lesson to catch: every thing under the sun is just temporaly., including wewe unae soma uzi huu. So ukiwa na afya njema na nafasi hakikisha unatumia muda wako kula bata na kufurahi kwa kadri uwezavyo kabla wakati wako haujafika.

lindi.jpg
 
Who is RAS.....hii habari haikutakiwa kuletwa kipindi hiki cha maombolezo.......
kwa heshima walitakiwa watoe kimya kimya...
atumbuliwe huyu RAS
Watakuwa wamemwonea huyo RAS, hebu fikria tukae na li picha la marehemu anayeitwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati tuna Rais mwingine hiyo imekaa akilini kweli? Tena wamezichelewesha, zilitakiwa zitoke siku hiyo hiyo aliyodanja!
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom