picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. KIMOMWEMOTORS

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ijue BMW 7 Series (Maelezo Mafupi)

    IJUE BMW 7 SERIES- Kwa ufupi Na KIMOMWE MOTORS (T) LTD- Waagizaji Magari UTANGULIZI Ni moja ya gari za starehe iliyoboreshwa kwenye mambo mengu na iliingia sokoni kwa mara ya kwanza 1977. Leo tutaongelea generation ya 4 iliyoingia sokoni kuanzia 2001 mpaka 2008 inayoshindanishwa na Benz S...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za ugaidi dhidi ya Mbowe zimeonesha picha kamili CHADEMA sio chama makini, kimejaa wapiga kelele

    Kama kweli chama makini lazima kiwe na watu makini basi Chadema ni chama mfu. Hakina watu makini kimejaza wapiga kelele wasiojitambua. Mwenyekiti wao amepata tuhuma, tena tuhuma nzito. Wao kama wanajumuia wa Chadema tulitalajia watupe mrejesho kuwa Mbowe kama chairman na mfanyabiashara mahiri...
  3. 100 others

    JamiiForums Tanzania Tutalii kwa picha...

    Grande Hote, hotel maarufu ya kifahari, Mozambique miaka ya 1960s na 2000s Mahali Titanic ilikuwa ikipack 1912 na sasa... Dubai1985 na 2016... Dubai mwaka 2000 na sasa... Dubai1991 na 2013 Abu dhabi... Mecca zamani na sasa.... Hiroshima, Japan... Same bike, same...
  4. Gudasta

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu rangi nzuri ya picha kwenye hisense Tv vidaa

    Ndugu wana jamvi kama thread inavyojieleza, Naomba mdau ambaye anatumia au ameishawahi kutumia tv aina hii, naomba aniambie mchanganyiko mzuri wa rangi ili niweze kupata picha nzuri katika hisense vidaa 55'' Naomba mchanganyiko wa rangi, kwa mfano Picture mode nichague ipi kati ya...
  5. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Picha ya siku: Mbowe kama gaidi

    Hawa maigaidi wengine wameishia kumshangaa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mbunge wa Mlimba akikagua Daraja la Sh. Milioni 31 lilojengwa kwa miti

    PICHA YA SIKU: Hili ni Daraja jipya katika Mto Mngeta uliopo katika mji wa Mlimba wilayani Kilombero. Daraja hili limejengwa kwa miezi 7 kwa thamani ya shilingi milioni 31, na limejengwa kwa miti. Pichani ni mbunge wa jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, akikakagua mradi.
  7. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Picha Tafakuri ya Marais Watatu wa Afrika Mashariki wakipata chanjo ya Covid-19

    Hizi ni picha za Marais watatu wa east africa wakichoma Chanjo ya Covid 19. Huu ndo uongozi unavyopaswa kuwa. Kuongoza kwa mfano.
  8. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Picha ya siku: Pimp my ride

    🤗🤗🤗
  9. H

    JamiiForums Tanzania Vita ya pili ya dunia katika picha (WW2), tupia uliyonayo

    vita vya pili vya dunia viliua watu milioni 60 na mpaka leo madhara yake bado yanaendelea kuonekana Anaitwa Yang Kyoungjong amepigana vita vya pili vya dunia akiwa na uniform za mataifa za mataifa manne tofauti In June 1944, a young soldier surrendered to American paratroopers in the Allied...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Ningetaka kuishi kwenye aina hii ya mtaa na ya nyumba hizo. Na wewe weka hapa picha ya aina ya mtaa ungetaka kuishi

    Habari wana JF, Ninatumai habari njema. Nilikuwa ninafikiri kujenga nyumba lakini ukitaka kujenga nyumba ya kuishi lazima ufikiri hata surrounding yako (mazingira yanayokuzunguka) kwa mfano majirani, usafi wa mtaa Hyvio nilitaka kuweka hapa baadhi ya picha ya neighborhood popote niliona...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Utafiti wangu kuhusu "profile pictures" za watumiaji wa mitandao ya kijamii

    Nilifanya kautafiti kadogo juu ya Profile picture na picha wanazoweka watu kwenye Account zao za mitandao ya kijamii. Nikabaini mambo yafuatayo: 1. 90% ya walioweka picha Nusu/Passport size (kuanzia kiunoni mpaka kichwani) ni Wafupi. Pia hawana maumbo ya kuvutia. Hii ipo kwa pande zote...
  12. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Picha ya siku

    Pale anaposikia chadema wakidai kuwa lazima wafanye kongamano la katiba atake asitake😁😁😁
  13. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Picha ya siku: Even Simpsons predicted a female dictator

    Alitabiriwa kutoka kwenye kile chama cha kijani cha mapaka
  14. ommytk

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kupost bahati mbaya picha au video ya ngono kwenye group la familia au ukoo?

    Yaaani unatamani kuvunja simu lakini ndio huwezi yaaani unabaki kuleft tu.
  15. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Simujanja zimeharibu wake za watu. Wanashinda wanapakuwa picha za ngono na kujifunza uchafu kupitia wassapu

    Teknolojia imekuja na mambo mengi. Sasa hivi kila mwanamama anataka amiliki simujanja. Na akishamiliki simujanja basi anajiona ana kila kitu. Siku hizi wamebakiza kupakua picha za ngono na kutupana wassapu huku wakijifunza uchafu. Wameharibia kabisa.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Picha za kwanza za mjane wa Rais wa Haiti akiwa hospitalini Florida

    Mwanamama mjane wa rais wa Haiti Jovenel Moise, Martine Moise 47 akiwa kitandani Hospitalini Florida Marekani. Kwa majonzi amewalaumu maadui wa mume wake kwa kumuua kikatili bila hata kumpa fursa ya kuongea. Martine anasema wamezima ndoto ya Jovenes kuleta huduma za kijamii miundo mbinu ya...
  17. Son.j

    JamiiForums Tanzania Bango la wiki

    Sisi wa mtandaoni na tutoe picha za roll royce kwenye status zetu, tuende na hili bango
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Faida ambazo Wananchi wanapata kwa kila mara kuangalia Picha za Rais akitoka Dom kuja Dar na Dar kwenda Dom kwa Ndege

    Binafsi nitafaidika zaidi nikiona Picha za Rais yypo maeneo mbalimbali ya nchi yenye Changamoto mbalimbali akionana na Wananchi wake na kutatua Matatizo yao ya Kimsingi. Mpaka hivi sasa GENTAMYCINE naitafuta Tija ya kila mara tu Mitandaoni tunaonyesha Picha za Rais akipunga mkono akipanda Ndege...
  19. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Picha ya siku: Kinachoendelea Afrika Kusini

    Kinachoendelea Afrika kusini ni baada ya kuwepo kwa: 1. Uongozi mbovu katika nchi,yaani kuwa na Taifa ambalo uongozi umefeli kudeliver leadership. 2. Tofauti ya kipato na maisha kati ya Tajiri na masikini kuwa kubwa sana. 3. Ukosefu wa ajiri uliopitiliza. 4. Watu kuwa na chuki pamoja na...
  20. Mr pianoman

    JamiiForums Tanzania Weka caption kwenye picha hii ya dereva

    Hapa mmefika mto Wami au pale kitonga alafu usikie dereva anatoa tangazo kama hili [emoji116][emoji116] "Nilikwambia uachane na mke wangu lakini hukusikia" [emoji1787][emoji1787][emoji848][emoji848]
Back
Top Bottom