Kwanini RC wa Manyara, Makongoro Nyerere alimpigia saluti ya kijeshi Rais wakati wa kiapo?

ngaiwoye

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
1,751
2,443
Wakuu, naomba kuuliza kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Je ni mwanajeshi mstaafu ama mwandamizi?

Nadhani wengi wetu hatufahamu. Makongoro Nyerere anakubalika sana na wananchi. Sisi wananchi tumefurahi Sana Mh. Rais wetu kuikumbuka familia ya baba wa Taifa.
1621583111588.png

 
Ni mihemko tu ya kulamba uteuzi kimasihara! Kwani hata kama ni mjeshi mstaafu salute za kijeshi hazitolewi tu kienyeji, zina kanuni zake. Sasa mtu hata sare hajavaa anapiga salute hiyo miongozo ni ya jeshi gani??
Nakupinga kwa miguu na mikono yote watoto wa Nyerere wote hawana hulka hizo, huyo Makongoro angekuwa wa kujipendekeza angekuwa mbali sana na angekuwa MTU mkubwa sana hapa Tanzania.
 
Wakuu, naomba kuuliza kama kichwa Cha habari kinavyojieleza. Je ni mwanajeshi mstaafu ama mwandamizi?
Nadhani wengi wetu hatufaham. Makongoro Nyerere anakubalika Sana na wananchi. Sisi wananchi tumefurahi Sana Mh. Raisi wetu kuikumbuka familia ya baba wa Taifa.
Anafaa sn kwa kweli
 
Wakuu, naomba kuuliza kama kichwa Cha habari kinavyojieleza. Je ni mwanajeshi mstaafu ama mwandamizi???
Nadhani wengi wetu hatufaham. Makongoro Nyerere anakubalika Sana na wananchi. Sisi wananchi tumefurahi Sana Mh. Raisi wetu kuikumbuka familia ya baba wa Taifa.
Hangover is real.
 
Back
Top Bottom