Tunapotoa ushauri tuheshimu na kutambua hali na mazingira ya tunaowashauri. Picha hii imenipa funzo

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,211
5,937
1622523022162.png
 
Ni mtazamo ambao wengi hawautilii maanani kabisaaaa ,ndio maana kuna uzi huko nyuma ulitrend sana humu kwamba kuna jamaa ana magorofa Kariakoo anatembea na mguu eti hali bata na kuna mwenye Vogue lakini anaishi nyumba ya kupanga, maisha ni vile unavyoyapangilia na vile unavyoona inafaa kwako wewe kwahiyo unaweza kuona kama mwenzio anakosea klitu flani kumbe yeye ndio utaratibu wake wa maisha wala unachowaza wewe sio anachowaza yeye.

Na kikubwa zaidi unaposema una enjoy maisha kwako wewe sio lazima unachofanya na kwa mwezio ndio akione ndio kigezo cha kula bata. Be yourself.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom