Hellow africa
Acheni sifa ambazo wengi mnazibeza kuhusu wanaume wa dar japo nyingi ni za uongo msingekuwa mnatoka mkoani kuja kufwata penzi dar
Il uwe mwanaume wa dar must having money
Sifa za mwanaume wa dar
Kwaza tupo smart kuliko kawaida na wasafi sana yaani tunapiga pamba kali af kwa bei...
Mwanamke anayeomba pesa kwa jamaa ake ni kosa kubwa.
STORI YA KWELI.
Ilikuwa hivi huyu Binti nilikutana name kwenye daladala. Tukiwa wote safari ya makumbusho, saa 2 usiku yeye anaelekea kwao huko.
Kwangu more nilikiwa naingia kiwanja. Mdada akaniomba tuonhee kama ninamuda. Nikasema sawa...
Kwa miaka miwili iliyopita nimefanya kazi saana sana.
Nilikua nawaza nikipata pesa za kiasi filani nitaenjoy sana maisha.
Sasa hivi saa 6 na dakika 48 nipo macho thinking of mustarbating.
Pesa sawa ila kama hamna mapenzi you don't even get to enjoy anything at all not even that money.
Sasa...
Akimtolea uvivu Feisal Salum baada ya kiungo huyo wa Yanga SC kuomba kuchangiwa pesa kwa ajili ya kulipia gharama za kufungua jalada la kesi kwenye Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) Ni aibu kubwa kwa Nchi ni fadhaa na kulikosea Taifa hili, Kwa mara nyingine tena Fesal Salum anashiriki...
Aliyekimbia mshahara wa mil 4 anawaomba walala hoi wa instagram wamchangie pesa za kupeleka kesi CAS;
===
Picha: Feisal Salum (Fei Toto)
Feisal Salum katika ukurasa wake rasmi wa Instagram ameandika ujumbe ufuatao:
Ndugu zangu Watanzania na familia yote ya soka kwa Bara na visiwani. Mimi...
Ni miaka kadhaa imepita leo katika kupitia nyaraka nyeti nikaona suala lililonishangaza sana
Hivi katibu mkuu wa Chama anaweza pata wapi Pesa zaidi ya 10B Tzsh ?
Je ni kwamba alikuwa anawatunzia watu au ni zake ?
Aliyekuwa katibu mkuu wa Chama Tawala Guam na baadae kuwa Katibu Mkuu kiongozi...
Habari wapambanaji,
Mie nipo na fedha za kigeni ila nadhani muda wake ktk currently utilise kwema market umeisha, nauliza kuna uwezekano wa kuziexchange hizo fedha ktk pesa ya ndani tafadhali.
Utangulizi
Katika kukua kwangu, nimebahatika kusikia na kushuhudia wabunifu wengi katika nchi yetu. Mfano: Kuna mtu alitengeneza umeme wa kinyesi, mwingine gari, mwingine ndege inayoruka kwa injini ya piki piki, mwingine stesheni ya redio na wengine kibao.
Imekuwa ni historia katika nchi yetu...
Angalia mradi wa kifisadi alioingia January na Mabinzi Chande kuwapa Mahindra tech mabilioni ya pesa eti kuleta ufanisi Tanesco ni nonsense na wizi wa mali za umma.
Pesa hizo zingetumika kuunda Dna database ambayo ingeweza kuwasaidia polisi kudhibiti uhalifu.. Mwizi akikamatwa anachukuliwa Dna...
Na DON YRN.
Habari za wakati huu wadau wa JamiiForums?, matumaini yangu tupo salama katika ujenzi wa Taifa letu. Lengo langu kutoa mada hii siyo kuleta uchonganishi au kuchafuliana biashara, hapana, lengo ni kufichua kile kinachoonekana kipo kinyume kwenye jamii.
Kumekuwa na ongezeko kubwa...
Hivi unajisikiaje kumtumia mtoto wa watu siku nzima halafu unashindwa hata kumpa hela kidogo hata laki 2 tu ya nauli inakushinda? Akikuomba masikini unamjibu eti kuna mchongo unasikilizia. Hii inatuaibisha jamani.
Kwanza inakuwaje mpaka inafikia unaombwa pesa? Hujui kuwa wewe ni mwanaume na...
1. Stephane Aziz Ki
Stephane Aziz Ki ni mchezaji wa kulipwa ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Young Africans ya Ligi Kuu ya Tanzania. Alizaliwa nchini Ivory Coast, anawakilisha timu ya taifa ya Burkina Faso.
Date of birth: Mar 6, 1996
Place of birth: Adjamé Citizenship: Burkina...
Kila timu italipwa kulingana na kiwango ilichofikia. Hakuna hela inayotolewa kwa kuvuka kila hatua, hawawezi kulipa kila hatua kwasababu fungu la bajeti halina uwezo huo.
Ukiingia mashindano ya CAF ukatolewa hatua ya awali ukashindwa kuingia kwenye makundi utakuwa umetoka patupu hata mia...
timu inapotolewa katika hatua fulani, ndiyo hupatiwa pesa iwe ni makundi, robo fainali, nusu fainali ama hadi imalize fainali.
timu ikiishia makundi inapewa pesa, wanaosonga mbele robo fainali hawapewi
timu ikiishia robo fainali inapewa pesa, wanaosonga mbele nusu fainali hawapewi
timu...
Huyu kala pesa zangu nyingi lakini hataki kutoa mzigo. Alinipa mara Moja tu Tena baada ya kulazimisha. Najitahid niachane nae lakini nafsi inagoma. Kibaya zaidi tumepanga ghorofa Moja. Akiniona anabaki uchiuchi
Maisha ya siku hizi yamegubikwa na vitu vingi sana ambavyo kiuhalisia vinaficha uhalisia wa maisha yetu waafrika, Ninaweza kusema kuwa haya ndiyo maendeleo lakini isifike mahali tukasahau kabisa tulikotoka na kuuvaa umagharibi moja kwa moja katika chapisho hili ninakwenda kuikumbusha jamii...
Habari wakuu,
Ninayo furaha ya pekee sana jioni ya leo baada ya kutunukiwa mwili na binti mrembo niliyemtafuta kwa miaka mingi sana bila mafanikio, sana sana niliambulia matusi mpaka nikawa najisikia vibaya.
Iko hivi, huyu mdada tulifahamiana miaka zaidi ya 10 iliyopita mimi nikiwa mwaka wa...
Kwenye gazeti la ippmedia sehemu ya Features kila toleo ni lazima waandike vitu vya kusifia China na propaganda za serikali ya China. Sasa je gazeti hilihilo hitapataje uhuru wa kuandika habari mbaya za China?
https://www.ippmedia.com/en
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.