Hii Dayosisi ina makando kando mengi sana, walichangisha pesa kwa ajili la kupanda miti ekali zaidi ya 1000 kwa makanisa yote ya Dar es Salaam kuwa ule mradi ni wa vijana leo hii hakuna hata mchicha umepandwa na si ajabu yale mashamba wameshagawana maaskofu.
Ikitokea mtu akasema ukweli kua...
Je, Kosa lao ni moja ( linafanana ) au ni Makosa Mawili tofauti?
Je, mbele ya Macho na Hukumu ya Mungu kuna mwenye Afadhali Kiadhabu?
Je, Wawili hawa wakikutana kuna ambaye atamshangaa Mwenzake?
Na mkisema Makosa yao (Dhambi zao) ni sawa kwanini Waswahili wengi hukimbilia Kuwaadhibu kwa...
Mzee wa Nasemajeeee...
Mizuka ya huyu mwamba ni next level..
Ndiyo Dj anayetrend zaidi kwa sasa kutokana na style yake ya kupiga miluzi mingi pindi anaposherehesha.
Hajaajiriwa na kituo chochote cha radio au tv, bali anapiga mixing kali kwenye kumbi mbalimbali za starehe na burudani hasa hasa...
Mkataba wa Leo Messi wa PSG unamalizika 2023 na huko Saudi Arabia, wanamtaka akajaribu bahati yake huko mara moja. Hata kabla ya mkataba wake kuisha.
Kama Al Nassr alivyofanya na Cristiano Ronaldo, Al Hilal sasa wanataka kumpa Messi pesa nyingi. Kulingana na 'Mundo Deportivo', klabu hiyo itampa...
Wanabodi, kama ilivyokuwa katika awamu ya mwisho ya Kikwete, vilianzishwa vikundi na vyama vya ushirika na kukopeshwa mamilioni ya shilingi bila riba. Baada ya utawala wa Magufuli kuingia, vikundi na vyama hivyo vya ushirika vikafutiliwa mbali na kutokomea na kodi zetu.
Mchezo huo ni kama...
Kuna watu wengi wanafikiri kwamba mapenzi ni pesa tu sio kweli.
Manara pamoja na kutumia pesa zaidi ya Milion 100+ kufanya show off na mademu zake lakini bado demu mpya kampiga chini!!!
Hawa viumbe nashindwa Sasa kuwaelewa kumbe tatizo sio pesa kweli kama tunavyo aminishwa!! Hawa viumbe...
Nimekumbuka tu maisha ya Tajiri mmoja ambaye alikuwa na mabasi mengi Mkoa flani ila kwa sharti la kuwa na kidonda ndugu kinachonuka. Bahati nzuri nlikuwa nafahamu story ya huyu mtu ambaye alikuja filisika.
Sasa nikakumbuka kisa cha kijana mmoja ambaye alikubali awe anaingiliwa na Jini ili apate...
Huyu jamaa ni tapeli Sana baada ya kuona pesa zinakuja anajua kabisa simba ikienda robo fainali atapiga Ile pesa kwa 49%
Huyu jamaa ukitaka kujua ni tapeli mwangalie timu ikianza kushinda mechi zake anakuwa active kwenye mitandao ikichapwa anasepa.
Sasahivi anapigia mahesabu pesa ya simba...
Mjadala wa feisal kwa hapa nchini umefungwa rasmi na kamati ya sheria na hadhi za wachezaji baada ya kutoa uamuzi wake kuwa ni mchezaji halali wa yanga kwa mujibu wa mkataba wake aliosaini akiwa na akili timamu, na kesho jumatatu watatoa ufafanuzi wa kisheria uliopelekea feisal abakishwe yanga...
Mahakama Kuu ya Tanzania, wakati inatafsiri Sheria ya Ndoa (R.E. 2019) kuhusu umiliki wa mali baina ya wanandoa, katika kesi ya Rufaa namba 287 ya mwaka 2021 kati ya Bahati Kazuzu na Ruth Bura mbele ya Jaji Mugeta, imeeleza kwamba:
Mali yoyote ambayo mwanandoa mmoja ataipata, iwe kwa kuhongwa...
ILE TIMU inayosemekana Ina hali mbaya ya kipesa imeweka Kambi ya wiki moja Dubai.
Timu hiyo ambayo ilisemekana imevuliwa ubingwa wa mapinduzi kumbe ilikuwa na mipango yake ya kujiandaa na michuano ya kimataifa imeonyesha tofauti ya club kubwa na ndogo inapokuja mashindano ya kimataifa
Wasalaam JF
Katika harakati zangu za ubatizo wa kimahusiano, utamaduni wangu hua navaa low profile yaani mithili ya mtu asiejiweza kipesa, kupitia hili mahusiano yangu mengi yanakufa chap kwa haraka, leo yanaanza Leo Leo au kesho yanakufa.
Situmii pesa kwa kiasi kikubwa kushawishi mahusiano...
Habari Jf,
Nimekua nikitazama habari kuhusu idadi ya fedha tulizokopeshwa kama Tanzania hadi sasahivi nadhani ukizipanga kuizunguka Tanzania unaezaweza zunguka kama mara 3 hivi ila ukitazama sights siioni kama Kuna miradi inayoreflect kiwango cha hii pesa tulizokopeshwa hadi sasa.
Wataalamu...
Ukifika Coco beach na gari utakaribishwa na mdau anayekusanya ushuru wa TZS 1,000 Kwa kila gari. Je, hiyo pesa inafanya kazi gani? Maana hata kile choo pale unalipia tena pesa. Uchafu umejaa kila kona.
NB: Halmashauri ya Manispaa waliwahi kupewa maelekezo ya kuendeleza usafi hapo Coco Beach...
Serikali ichukue huu ushauri itakuja kunishukuru.
Ipange (plan) bajeti ya kuwalipa watumishi wa umma kias cha pesa kila tarehe 15. Wakati ambapo watu wengi mfukoni hawana kitu Chochote.
Lakini pia itakuja kukata kiu ya dai la Muda mrefu, nakumbuka nilisikia ushauri huu unatolewa tangu miaka na...
Habarini.
Habari za nchi kukimbilia matumizi ya dhahabu zimekuwa nyingi sana siku za karibuni. Ghana baada ya kuzidiwa na madeni na kuishiwa akiba ya fedha za kigeni, imeamua kutumia dhahabu kununua mafuta. Kuanzia mwezi huu makampuni ya kuchimba dhahabu yatatakiwa kuiuzia benki kuu ya Ghana...
CHADEMA Mkoa wa Morogoro kimemfukuza uanachama aliyekuwa kada wao, Dkt. Alabanie Marcossy kwa makosa ya kukiuka kanuni, sheria na maadili ya chama hicho.
Hivi karibuni Dkt. Marcossy alitoa waraka wake akidai kuwa, kuna matumizi ya fedha na madeni nje ya mfumo wa chama cha CHADEMA
😀😃😃
Wakuu kwema,
Kuna laki moja hapa nataka nimpe mtu akale na wana wake. Ili uipate nahitaji uniwekee aya, mstari au sura ndani ya Quran au Biblia inayoonesha mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini au walifungishwa ndoa na Mtume, nabii au Kuhani?
Sihitaji Hadithi au andiko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.