pesa

  1. L

    JamiiForums Tanzania Ajira 21000+ ni chache sana, watakosa wengi, na wengi watahisi bila pesa /connection huwezi kuajiriwa

    Ajira 21000+ Ni chache Sana, watakosa wengi ,na wengi watahisi bila Pesa /connection huwezi ajiriwa Nashauri, Kigezo kikuu kiwe waliomaliza 2015, 2016, 2017... Hii itasaidia Sana kuondoa sintofahamu mtaani, mfano: Kuna jamaa kamaliza DUCE chemistry/biology 2015, kaomba huu mwaka wa 7 hapati...
  2. Mcqueenen

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Millard Ayo anaingiza pesa nyingi kuliko Diamond Platnumz?

    Kulingana na vyanzo vya habari, inaonekana kuwa Diamond Platinumz ni mmoja wa wasanii matajiri zaidi nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Hata hivyo, ni muhimu kuelewa kuwa Millard Ayo na Diamond Platinumz wana kazi tofauti na kuzingatia vigezo tofauti linapokuja suala la utajiri...
  3. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Ni vizuri kumwambia mkeo kiwacho Cha pesa unacholipwa kazini?

    Ni vizuri kumwambia mkeo kiwacho Cha pesa unacholipwa kazini?
  4. NetMaster

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Nini kimempata Rais Museveni, kwanini ameomba sheria ya kubana mapenzi ya jinsia moja ifanyiwe marekebisho, Mabeberu wamemchimba mkwara?

    Afrika iliweza kushuhudia wiki chache zilizopita bunge la Uganda likipitisha muswada wa kutokomeza ushoga kimafia, Wengi tukaona Uganda awe mfano wa kuigwa na tukawapongeza sana kwamba ndio taifa la kuigwa katika suala la kulinda maadili yetu ya kiafrika. Kilichobaki ilikuwa ni kumpasia pasi...
  5. Bob junior Serengeti

    JamiiForums Tanzania Kisa cha kweli: Labda tunaweza kujifunza kitu kuhusu mapenzi kupitia story ya maisha yangu

    Mimi sio mwandishi mzuri hivyo tutavumiliana kidogo. Mimi ni kati ya wale vijana wachache ambao tumepata bahati ya kuwa na pesa tukiwa na umri mdogo, nikisema umri mdogo sijui mnanielewa? By 22 nilikuwa na nyumba 5 na gari za kutembelea mbili ukitoa vitu vingine ambavyo sio muhimu kusema...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Somo la mali kwa wanandoa kwa kilichotokea kwa Achraf Hakimi na mkewe

    SOMO LA MALI KWA WANANDOA KWA KILICHOTOKEA KWA ACHRAF HAKIMI NA MKEWE. Bashir Yakub, WAKILI. +255714047241. Mke wa ACHRAF HAKIMI ameshindwa kupewa mali yoyote baada ya ndoa yao kuvunjika kwasababu Hakimi aliziandika mali zote jina la mama yake mzazi. Je jambo hili linawezekana kwa Sheria za...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Pesa anataka lakini mbususu hataki kutoa

    Huyu Binti wa miaka 20 pesa anazipenda lakini kutoa mbususu kipengele. Ana kiboy chake wanazinguka nae kila Kona kakitongozwa kanakubali. Kanaomba pesa kila kukicha lakini mbususu hakatoi.
  8. The Eric

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha tena wanaume tutafute pesa

    Wakuu tuache mbamba Mademu wazuri kuwala ni pesa sasa usijifanye unalia lia tu hapa wakati kinachotakiwa ni pesa. Pesa pesa pesa pesa pesa pesa Shauri yako kama unatafuta vipesa unahonga. Wewe tafuta pesa wao watakuja wenyewe acha pesa iongee mzee na siyo wewe uongee au kunyanyua kinywa...
  9. BIG THINKER

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akikosa hela anajiuza. Mwanaume ukifulia sana ufanyeje?

    Nimekaa tu nikawaza. Hawa wenzetu wakiishiwa hela wanaweza wakautumia mwili wao kama kitegauchumi. Je, sisi wanaume tukiishiwa hela na ramani hazisomi tunafanyaje? Hebu wale wazee wenzangu mliowahi kupitia kipindi Cha kukosa ramaji mje mseme mlifanyaje Ili na wengine wajifunze.
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wengine ukituheshimu kwa Pesa tulizonazo tunakuona Kama Mnafiki na Kiberenge

    WENGINE UKITUHESHIMU KWA PESA TULIZONAZO TUNAKUONA KAMA MNAFIKI NA KIBERENGE. Anaandika, Robert Heriel Tajiri wa Tibeli Wengine vipesa tumeanza kuvishika mapema. Hizi miambili miambili, sijui tumilioni. Hivi Kwa kweli tumebarikiwa mapema mno lakini hiyo haitufanyi tuheshimiwe au tudharau...
  11. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Battle Pesa Vs Elimu

    1. Wengine wanasema pesa ndo Kila kitu. 2. Mwingine añasema Elimu ndo Kila kitu. 3. Mimi nasema uwe navyo vyeto ni fedheha kukosa Elimu/Pesa. 4. Wewe unasemaje?.
  12. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Kama huna pesa hakuna mtu atakuheshimu. Hata wazazi wako watakudharau

    Kuna huu ukweli ambao ni vema kila mtu anatakiwa kuufahamu. Kwa asilimia kubwa heshima ya mtu huletwa na pesa alizonazo. Kama huna pesa hata wazazi wako, kaka na dada watakudharau. watu baki ndiyo kabisa watakudharau. Na si kwamba hawakupendi. Watakupenda sana ila hawatakuheshimu. Kifupi...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Ripoti iliyovunja record ya upotevu wa pesa tangu uhuru, inasubiri miezi 6 watu kaadhibiwa! Spika uko siriaz kweli?

    Kwenye nchi ya watu makini, haiwezi kuruhusu kuwa na aina ya sipika kama huyu! Sipika asiye na uchungu wa mali za nchi na kodi zetu??? Ukisikia mtu haipendi nchi na watu wake na hafai kuaminiwa tena na wananchi na hata serikali ya watu wanaojitambua, ni sipika wa bunge hili Ubadhirifu wa...
  14. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Taifa linapaswa kujua kiasi cha pesa kinachotumika kwenye michakato ya uchepukaji kila mwaka

    Amani iwe nanyi Ukiutafakari uchepukaji kwa makini ni reflection ya maendeleo, je uwekwe kwenye criteria za kupima maendeleo ya kaya? Baada ya kujiuliza hilo swala, mchakato wa uchepukaji una gharama kwenye household income and expenditure. Je hakuna sababu za ku establish total cost incurred...
  15. Quinton Canosa

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya ku Refund Pesa zirudi kwenye account yangu

    Habari wana JamiiForums, Hivi majuzi account yangu ya Gmail ilifanya malipo kwenye airtel money kupitia google Play kwa app ambauo niliidownload playstore ambayo sikuwa awareness na kuchukua kiasi kikubwa cha fedha. Niliwasiliana na networ provider yangu nikaambiwa niwasiliane na google play...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu kumiliki pesa nyingi

    Kuna watu wanajiuliza sana na wanapambana sana kupata utajiri, siwakatishi tamaa ila fahamu haya kisha jipime kama unachokifanya kinakufanya uje kuwa tajiri au uishi mazuri tu...
  17. Kaka mwisho

    JamiiForums Tanzania Kweli HELSB inakusanya pesa za mkopo kupitia TRA kwa wanufaika waliojiajiri?

    Kichwa cha habari kinajieleza. Ni kweli Bodi ya mikopo elimu ya juu inakusanya mikopo Kwa wanufaika kupitia TRA ambao wamejiari. Maana tetesi zilipo ukienda kujisajili na kufungua TIN ya biashara TRA. Kuna gharama wanaongeza ambazo ni za HELSB. Je, hizi tetesi ni kweli.?
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mna Siku 4 tu za Kushangilia Ushindi wenu wa Tigo Pesa wa Jana, ila Jumapili mtajuta Kukutana na Mbabe wa Magoli mengi mengi

    Tunataka tutoe Salamu kwa Wydad Casablanca FC na Mitambo yetu yote na Mbinu zetu zote za Kimafia na Kiuchawi tutazijaribia Kwenu Jumapili tarehe 16 April, 2023 kwa Mkapa. Tukiwakosa GENTAMYCINE nahama rasmi Tanzania na kurejea Kwetu Gisenyi nchini Rwanda.
  19. kibangubangu

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuwa tajiri kwa pesa za matajiri

    You can't start to be rich if you tagert money from rich people. To be rich target money from poor people. Poor people offer big market and demand. Because poor people are MANY and always are in NEED! Kibangubangu presents.
  20. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Wasomi mnatukera, kuoa muoe nyie pesa tuchange sisi!

    Kuna mambo yanakera na kuchukiza, hebu fikiri yaani mtu unaungwa kwenye group la Whatsapp bila taarifa, ukifuatilia purpose la group unaambiwa group la bwana nani eti kwa lengo la kuchangisha michango kwa ajili ya harusi x. Yaani inakera na kuchukiza, nyie wasomi wa kibongo hii nchi sasa si ya...
Back
Top Bottom