pesa

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuitawala pesa. Laki Tano inaisha ndani ya wiki Moja. Natumia dawa za matatizo ya akili. Nifanye nini?

    Nina shida ya kiakili natumia dawa zinatwa resperidone. Changamoto niliyonayo ni kuwa hata nifanye Nini nkipata kipato haichukui wiki laki Tano imeisha. Hata niweke mikakati ghani nitajikuta tu baada ya wiki nipo kwenye stress Sina pesa. Nmefikia hatua Sasa hii hali imenichosha naomba...
  2. Zulu Man Tz

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha kushuka thamani kwa pesa ya South Africa, Rand kwa cent zaidi ya 30 dhidi ya USD$

    Balozi wa Marekani nchini Afrika Kusini Reuben Brigety alisema siku ya Alhamisi Tarehe 11 May 2023 kuwa ana uhakika kwamba meli ya Urusi chini ya vikwazo vya Marekani ilichukua silaha kutoka kambi ya Simon's Town mwezi Disemba, akipendekeza uhamisho huo hauendani na msimamo wa Pretoria wa...
  3. chaz beezz

    JamiiForums Tanzania Unasubiri upate pesa, maisha mazuri ndo uoe?

    Vijana wenzangu kuoa sio mpaka uwe na pesa. Pesa zipi ukipata ndio utaoa,? Na usipozipata hizo pesa ndo tuseme hutooa? Inabidi ujue Usipooa pia baraka haziji Sasa umekaa na mtoto wa watu siku 2 geto unamnyadua tu vile unavyotaka Kisha unamfukuza, unamfukuza aende wapi? Anzisheni maisha...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Bernard Membe: Ufafanuzi kuhusu Madai na Malipo ya Mdaiwa aliyefariki

    Anaandika Ibrahim Mkamba Inna lillahi wa inna lillahi raj'ughn, Bernard Camillius Membe ametutoka. Taarifa ilipopatikana tu, mara moja maswali yamekuwa mengi endapo sasa mtu aliyemdai hatalipa kwa sababu madai yalikuwa yanahusu mdai kukashfiwa na huyo mkashfiwa ameshafariki. Najibu hapa ili...
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Siasa zinaamua pia mpira: Kipindi cha Rais wa Pwani / Zanzibar GSM huwa anachapisha pesa, Timu anayoidhamini itaendelea kutawala hadi 2030

    Kwa mpunga anaoingiza kwenye biashara kwa sasa pesa zinatiririka mithiri ya mashine ya kutoa copy. Kipindi cha Kikwete mambo kwa GSM yalikuwa poa sana japo hakuwa kaingia kwenye mpira. Kipindi cha Magu hali ilikuwa ngumu sana, hapa nakumbuka alikuwa anasumbuliwa hata na kina Makonda Rais wa...
  6. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Pesa inavyodhalilisha utu wa Dada zetu

    Nimekumbuka kisa kilichotokea mwaka 2018 maeneo ya Kinondoni kwenye Bar ya Uhuru Peak. Ilikuwa hivi siku hiyo nilikuwa na jamaa yangu maeneo yale tunapata kitu roho inapenda ilikuwa mida ya saa 8 na dk zake usiku. Ghafla upande wa pili tukamuona Dada Poa akiburutwa na jamaa huku akitukanwa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Afisa Habari Simba: Wachezaji Wanadai Bonus zao Na Club haina Pesa

    Meneja Habari na Mawasiliano Simba Ahmed Ally Amekiri wachezaji wa Timu hiyo kudai bonasi. " kweli wachezaji wanadai Bonasi zao za mechi kadhaa, Kuna wakati taasisi inakuwa na fedha inalipa madeni yote Kuna wakati haina fedha inalimbikiza madeni Mzigo ukipatikana watu wanalipwa" Ahmed Ally...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kama unampa pesa kila mnapofanya mapenzi, hapo mimba ikiingia ni yake peke yake.

    Habari! Kama kichwa kinavyosema. Kama huwa unamlipa pesa kila mnapofanya mapenzi nj vyema ijulikane kuwa hiyo ni biashara kamili. Hata kama hakutajii kiwango rasmi au hakushikii badtola ili umlipe. Kwa jina lolote lile iwe hongo, matunzo, nauli, ya kula, ya sabuni n.k maadamu tu inalipwa kila...
  9. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Wanawake wawili watuhumiwa kwa kutapeli pesa za Halmashauri

    .
  10. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Unatakiwa kumiliki gari na pesa za kutosha uache kusumbua watu

    • Mtoto wa kiume unasuka bado unapanda daladala we ni hanifha. • Unapaka brich afu unapanda daladala we ni kichaa unayejitambua kidogo. • We una kitambi /mnene bonge nyanya afu bado unapanda daladala unasumbua vimbaumbau we kanunue gari yako binafsi ili ujinafasi. • Kijana ukihisi huwezi...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Wanunuzi wa vyakula kutoka nje ya nchi watumie dola kununua vyakula kutoka katika maghala ya serikali

    Kila mara wananchi tulipohoji kuruhusiwa Kwa wafanyabiashara Kutoka nje ya nchi kuingia nchini kununua mazao ya vyakula mashambani kwa pesa za kitanzania, tulijibiwa kuwa " Tusimpangie MKULIMA wapi auze mazao yake". Pesa za Umma zimetumika kuagiza mbolea na pembejeo za KILIMO nje ya nchi Kwa...
  12. plagiarism

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tafuta pesa

    Hii ni kauli ambayo imekuwa ikitrend sana tokea mwaka jana Hadi Leo huku ikifanya wengine wajikwamue na wengine bado wasipate njia za kutoka. Binafsi nimegawanya katika njia mbili, 1: WATU WENYE AJIRA 2: WATU WASIO NA AJIRA 1: WATU WENYE AJIRA. Binafsi nimekuwa mmoja wa mashuda katika hili...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Video: Mchina apokea mkong'oto kutoka kwa waganda ndani ya Ethiopian Airlines ikiwa angani kwa kushukiwa kuwaibia pesa

    Sijui kweli aliiba ama wanamsingizia wamuibie?
  14. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Walimu wamegeuza pesa ya chakula mashuleni kuwa posho zao wanajilipa

    Kero, Waziri wa Elimu liangalie hili hali imezidi kuumiza wazazi. Chakula chenyewe mtoto ashibi na usipompa mtoto pesa simu nyingi za walimu. Chakula hakina ubora. Elimu bure imegeuzwa elimu mchaka mchaka.
  15. Kainetics

    JamiiForums Tanzania Mambo Unayotakiwa Kuyaepuka Ukiwa Desperate Sana Kupata Pesa

    Hello wakuu, Katika maisha huwa kuna mambo mengi, sisi kama binadamu huwa tunapitia, na baadhi ya haya mapito, yanaweza kukuvuruga kabisa kiakili kupelekea kufanya au kujaribu kufanya mambo ambayo hata hukuwahi kudhania. Moja ya mambo haya ni "Being So Desperate To Earn Money" Nimecheck...
  16. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Baleke yupo kwa mkopo na kaweza kuwashawishi Tp Mazembe kiwango kimerudi, Je atarudi Mazembe, atabaki simba au Yanga watatumia nguvu ya pesa kumpora ?

    Msimu ndio unakaribia kuisha hivyo na kijana huyu kaweza kutupa surprise ya aina yake ligi ikiwa ukingoni 1. Tp Mazembe watamtaka arudi congo ? 2. Atabaki Simba ? 3. Yanga watatumia nguvu ya pesa kumleta jangwani ?
  17. Desierto

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kuzulumiwa na ndugu kisha ukaona Mungu akitenda maajabu yake?

    Nakumbuka 2018 niliacha kazi ya house boy nikarudi kijijini kulima, wakati huo tayari nilishatanguliza pesa ya kukodi shamba heka 70000 moja na kulima na trecta 45000 kurudia na ng'ombe 2500 mbegu 35000 ukijumlisha na zakutolea na mpokeaji inakuja kwenye 200000. Sasa muda wa kurudia na n'ombe...
  18. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Kama una pesa kuishi Kanda ya Ziwa bila silaha ni kujiweka wazi kabisa na kifo

    Wakuu Habari. Nimebahatika kuishi na kufanya kaz Kanda ya ziwa kwa muda mrefu kidogo. Ipo hivi, Kanda ya ziwa ni eneo lenye watu wakarimu sana.... tatizo ni moja, wengi sio waeelewa kwenye masuala anuai, hivo kuhatarisha maisha ya mtu ikiwa tu mtatafautiana mitazamo katika...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Amekuja tena kuomba pesa. Wajuba naomba ushauri wenu

    Huyu binti ni shemeji yangu. Anaomba pesa mara kwa mara, nilimsaidia kulipia kodi awamu mbili na kampani zingine ndogondogo. Sasa nilipoona anazidi kunipiga virungu nikamwomba nyapu akakataa katakata. Iliniuma sana maana ndo nilikuwa nimetoka kumlipia kodi kama wiki moja hivi iliyopita halafu...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Ajira 21000+ ni chache sana, watakosa wengi, na wengi watahisi bila pesa /connection huwezi kuajiriwa

    Ajira 21000+ Ni chache Sana, watakosa wengi ,na wengi watahisi bila Pesa /connection huwezi ajiriwa Nashauri, Kigezo kikuu kiwe waliomaliza 2015, 2016, 2017... Hii itasaidia Sana kuondoa sintofahamu mtaani, mfano: Kuna jamaa kamaliza DUCE chemistry/biology 2015, kaomba huu mwaka wa 7 hapati...
Back
Top Bottom