pesa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kusema tu kuna watu waliiba pesa za plea bargaining na kuzificha China haitoshi. Serikali ina mkono mrefu. Iwakamate wahusika na kuzirejesha nchini

    Miaka ya nyuma baada ya hayati Benjamini Mkapa kuingia madarakani tulianza kusikia juu ya ukwapuaji wa pesa za umma uliofanyika. Moja ya watuhumiwa alikuwa ni Prof. Kighoma Malima ambaye alishafariki. Tukaanza kusoma kwenye magazeti kuwa alificha pesa nyiki huko Uingereza. Na baadae tuliskia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Moja ya shule zilizokarabatiwa na kujengewa madarasa na pesa za UVIKO, Tozo na Tril 1.3 za foreign reserves

  3. Tamu3

    JamiiForums Tanzania Shairi: Mapenzi pasipo pesa

    MAPENZI BWANA NI PESA Mapenzi bwana ni pesa, wahenga walishanena, Ukiwa na nyingi pesa, tapendwa na wasichana, Macho kwako tapepesa, hela wakishaziona, Mapenzi bwana ni pesa, wahenga walishanena. Babu wa myaka tisini, apendwa na wasichana, Unajua ni kwanini, waulizwe wasichana, Pesa...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yaani tumewahonga Mtibwa Sugar FC tushinde nyingi ili Mashabiki wajae Mechi na Horoya FC tupige Pesa?

    Hovyo kabisa mbona huu Mpira wa leo Wachezaji wetu hawakuucheza Mechi kama Nne zilizopita na tukawa tunashinda kwa Taabu huku Sisi Mashabiki wenu GENTAMYCINE nikiwepo tukiwa tunajituliza kwa Dawa za Maumivu za Panadol? Nitarudi hapa baadae Saa 4 Kamili na mengineyo.
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwamposa, haya makundi ya Kuwaombea yakiisha utayaombea Makundi gani mengine ili upige pesa zao kiulaini?

    Tayari Umeshayaombea Makundi yafuatayo: 1. Wanawake na Uzao Wao 2. Wanaume Wapuuzi Wasiodindisha Mikuyenge / Mikurudungu yao 3. Wafanyakazi na Wafanyabiashara 4. Watoto 5. Wanafunzi 6. Wenye kuhitaji Mimba za Ndoa na Uzinifu 7. Wanandoa na wenye kuhitaji Waume na Mabwana Leo nasikia uko na...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

    Utangulizi wa kunukuu maelezo ya Muhanga aliyetusaidia kujua undani wa hizi operations za kampuni ya Silent Ocean Nchini, zikiongozwa na CEO wake, Saalah Mohammed, mdogo wake na GSM. Hapo nikapokea simu kutoka kwa Salah (C.E.O) au Simba wa Bahari akinitaka ndani ya wiki moja niwe nimetimiza...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tafuteni njia bora, Vicoba ni upotevu wa pesa!

    Kwa sisi wataalamu wa Fedha huwezi kuita uwekezaji kama hakuna vitu viwili Risk & Return. Sijui kwa kiswahili nisema vipi. Vicoba ni wizi tu maana pesa haiendi kwenye uzalishaji wowote lakini kibaya ukitoa pesa kuna faini. Hivyo Fedha mnaweka bank ambako kuna fees bila riba, hakuna faida yoyote...
  8. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Tupate Katiba Mpya kabla ya uchaguzi 2025 ili waliojenga madarasa hewa kwa trilioni 1.3 waburutwe mahakamani

    Nimefurahi sana kusikia soon tutapata katiba mpya. Hii ina maanisha tutakuwa na katiba ambayo itatupa mamlaka wanananchi. Kwa katiba hii kama itasikia maoni ya wananchi basi tutakuwa na katiba ambayo itwajibisha wananchi. Tutakuwa na katiba ambayo rais na mawaziri wakizingua kwa ubadhirifu...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ile Katiba pendekezwa ya Mzee Warioba si ipo? Kwahiyo tusiendelee nayo na tusipoteze Pesa katika Tume unayotaka Kuiunda?

    Najua unapitia mno huu Mtandao wa JamiiForums na hulali bila Kutusoma Members kadhaa Watukutu ila ni Werevu (Stubborn but Intelligent) Wakiongozwa nami GENTAMYCINE na hata leo pia Umekiri Mwenyewe kuwa ni Mwenzetu hapa na Binafsi kuna ID moja nimeshaihisi kuwa ni yako (ni Wewe) kutokana na...
  10. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania HESLB wachelesha pesa za kijikimu, Wanafunzi wahaha

    Hiki ndicho kinachotokea Vyuo tofautitofauti hapa nchini hususani Chuo Kikuu Cha Kilimo SOKOINE. Ikumbuke kuwa Takribani wiki tatu zimepita tangu wanafunzi wamemaliza semista ya kwanza ndani ya mwaka wa masomo 2022/2023 na wanafunzi wamerudi likizo fupi toka Ijumaa ya tarehe 03 March 2023, Ila...
  11. The Eric

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye pesa si wa peke yako wewe mwanamke

    Amani iwe kwenu! Rejea kichwa cha uzi hapo juu. Mwanaume mwenye pesa si wa mwanamke mmoja, si unajua pesa si nywele kila mtu anazo. Usikae hata siku moja ukaamini mwanaume mwenye pesa eti ana true love... Na siku zote ukiona mwanaume mwenye pesa hana mbamba nyingi yaani hana michepuko na wala...
  12. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Hawa viumbe wanapenda hela

  13. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Miraji Mtaturu amponda Tundu Lissu, asema hata Mbowe alimshtukia Baada ya kupokelewa na WATU kiduchu. Adai amerudi alikotoka kimya kimya!

    Mbunge wa Singida Mashariki mh Miraji Mtaturu amesema Tundu Lisu amerejea alikokuwa kimya kimya Baada ya kuona Wana wa Ikungi wameshaachana na mambo ya Upinzani Mtaturu amesema hata Mbowe alishangaa kukuta Wapinzani kiduchu Ikungi hali iliyofanya amuhiji Tundu Lisu " Ulisema Ikungi kuna...
  14. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, Radio station huwa wanachezeshaje draw za mchongo pesa?

    Yaani ili kupata namba ya ushindi huwa wanatumia mechanism gani ku’roll the dice’? Yaani mtu anaibuka tu anakwambia tunamoigia mshindi, from nowhere! Akimpigia mtoto wa mjomba wake je? Hakuna transparency kama ya sports betting, ambapo goli likifungwa kila mtu analiona na hakuna ujanja ujanja...
  15. Chikenpox

    JamiiForums Tanzania Kwanini waamini wanazidi kukonda na wachungaji wananenepeana tu halafu hawatoagi sadaka wakati wana pesa mpaka?

    Huwa najiuliza sana hili swali ndo mana nimeamua kuwa mpagani au nafikiri a kuwa muislamu. Kwa Nini mapadre hawatoagi sadaka wakati mitumbo Yao inazidi kujaa i.e vitambi na wengi wao wamejenga nyumba mpaka wamewajengea michepuko Yao. Huu nao ni ukoloni mambo Leo kanisani yaani waamini...
  16. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Serikali msibaki kwenye mifumo ya kukusanya pesa kidigitali tu, kuna vitu vingine pia vinahitaji kufanyika kidigitali

    Nimehudhuria kliniki kwa ajili ya mwanangu kwa miaka miwili sasa sijawahi kukutana na elimu ya malezi ya aina yoyote ile kwenye hii kliniki, kinachofanyika ni kupima uzito mtoto au kuchomwa sindano ya chanjo kwa mtoto tena bila maelezo ya kwa nini mtoto apate chanjo wala umuhimu wake. Sote...
  17. proxy

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Anataka akope hela lakini hataki kuzifata geto

    Wakuu habarini za muda huu, matumaini mu wazima wa Afya. Nije moja kwa moja kwenye mada. Jana mchana nimefatwa na dogo mmoja akitaka nimpe ushauri. Iko hivi, ana msichana aliyemtokea takribani Kwa wiki 2 hivi, kila akijaribu kucheza nae msichana hampi majibu mazuri na wakati mwingine hapokei...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Wanawake hawatangazi mwanaume masikini

    Ukiona mwanamke anakuweka kwenye profile zake za mitandao ya kijamii au billboard anakutajataja kwenye maadishi yake na kwa marafiki zake, jua tu yeye ndio ana kufaidi kuliko wewe unavyodhani. Mwanamke hawezi kutangaza mwanaume masikini hata kama unampenda kiasi gani, ukiwa mkata nyasi wewe...
  19. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Pesa ya goli la ugenini walau iwe Dola za Marekani 5000.

    Huwezi ukalinganisha goli la ugenini na la home stadium. Ukweli ni huo lazima mamlaka iliangalie hili. 1. Mathematics haiwezi kuwa sawa na Language. 2. Visa ya USA haiwezi kuwa sawa na ya Rwanda. Sasa Kwa kuliona hilo naishia hapa. Muwe na usiku mwema wakuu.
  20. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Pesa ya Yuan ya China yaanza kuipiku dola ya Marekani sokoni

    Upungufu wa dola ya Marekani katika maeneo mbalimbali unaanzisha mnyukano wa sarafu ya akiba kati ya dola na yuan. Pesa ya Yuan ya China ambayo ilikuwa inafanya kazi katika soko la biashara kati ya China, Australia na Japan sasa inakwenda kupanua wigo wake katika nchi za kiafrika na nchi...
Back
Top Bottom