pesa

  1. Adolph Jr

    JamiiForums Tanzania Hakika pesa na matatizo ni watoto mapacha wanaofanana

    Kamuanzishia biashara ya M-Pesa mke wake hapo kijiweni, baada ya kuona inalipa akaenda kukopa million 2.5 kuongezea mtaji. Picha linaanza mara baada ya kukopa tu, siku ya kwanza kaenda kutoa 100k ili aandae mazingira, arudi nyumbani anapatwa na dalili za malaria. Akaenda kununua paracetamol...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hivi mwanaume anapata nini kwenye ndoa kiasi kwamba ajutie kutokuwa na ndoa. Je, ndoa kwa Dunia hii ni muhimu kuliko pesa

    Nimekuwa nikijiuliza Nini cha maana mwanaume anapata kwenye ndoa, kiasi kwamba ajutie anapokuwa hana ndoa. Siungani na wale wa kataa ndoa, ila najiuliza tu Nini kinapotea kama haupo kwenye ndoa. Kwa wanaume, una pesa, una watoto. Mwanamke akiwa kwenye ndoa anapata faida hizi . 1. Usalama wa...
  3. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Wanawake wakiomba pesa kwa mwanaume wanataka papo kwa papo ila sisi tukiomba mbususu hawataki papo kwa papo. Shetani muomba ajue na kutoa pia

    Salamu kwa wote Nakereka na tabia za mademu unamcheki ili aje ghetto mara pap jibu anaomba elfu 50 au laki, ukimchana kuwa baby nimeamka na nyegezi mdudu yuko juu naomba uje anakuunga na ombi la pesa , ajabu anakazia kutaka ombi lake la pesa lipite ila ukimuungia na ombi la kumwambia chap aje...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Nina deal vipi na ndugu wanaojihisi wapo enitled na pesa zangu, kujitamba kwamba wanajichotea tu

    Entitlement kwa ndugu wa kiafrika ni tatizo kubwa sana, mtu anajihisi kwamba kwavile ndugu yake kafanikiwa basi ana haki ya kupata sehemu ya mafanikio ya ndugu yake, nadhani hata wachezaji wengi wa kiafrika wamelalamika hili jambo kwamba ndugu wanahizi matatizo yao yote inabidi yashughulikiwe na...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Hakuna mapenzi ya kweli duniani. Wanawake wanaangalia pesa

    Huo ndo ukweli mchungu. Kama huna pesa lazima mke wako agongwe nje.
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Leo Boss alikuwa anatesti kama bila Tigo Pesa watashinda na kagundua hapana hivyo utamaduni utaendelea kwa Mechi zijazo

    Nje ya Mada tafadhali anayejua Nauli ya kutoka Dar es Salaam kwenda Kagera kupitia Geita aniambie nahitaji kwenda huko hivi karibuni tu. GENTAMYCINE nilikuwa Najiuliza kwanini Marefa hadi Washika Vibendera wa Taifa Moja hivi Afrika ya Mashariki hawapati nafasi ya Kuchezesha Michuano mikubwa na...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Ewe kijana tafuta sana pesa kipindi hiki vyuma vimelegezwa Rais ajaye vyuma vitakazwa upya kwa miaka 10

    Hii nchi mambo hayajawahi kuwa rahisi ila kuna awamu huwa zina nafuu. kipindi cha Mwinyi watu walizikamata sana, kipindi cha Kikwete ilikuwa utawala sana kwa raia na hali ya sasa vyuma vilivyokazwa hapo nyuma vinamwagiliwa grisi nzito. Rais ajae hali inaweza kurudi kuwa vyuma vya kukaza kwa...
  8. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Movie ya The Beekeeper ni dongo kwa viongozi wakubwa ambao utumia wanao au watu kujitafutia pesa haramu kwa ajili madaraka yao

    movie ambayo inamuonesha jason mzee wa ngumi za kutosha ambaye ni mtandao wa siri wasio julikana ndani ya serikali nyingi duniani. tuje kwenye mada: kiufupi ukiangalia hii movie iliyotoka 2024 unaoneshwa makampuni ambayo yapo nyuma ya vigogo kama za mikopo umiza,utapeli kwenye mitandao na n.k...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kutengeneza Dola mtandaoni: Ni kweli kuna Watanzania wanapiga kazi zenye mkwanja online na wamefanya ziwe ajira rasmi?

    Hapa sizungumzi kazi za kijanja janja unaotea kwa muda mchache unapiga dola kadhaa alafu baada ya hapo mchongo unakuwa ushachuja unaanza upya kujitafuta kwengine, nazungumzia kazi iwe ya uhakika kiasi kwamba kuna watu wamezigeuza ziwe ajira rasmi wanazifanya hata kwa miaka mitatu +. kazi ziwe...
  10. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Pesa ya tuzo ya mchezaji bora wa mechi South Africa ni sawa na hela ngapi ya kwetu hii? Tuna safari ndefu

    Mchezaji bora wa mechi huko South Africa akiwa na hundi ya Rand 100,000/=. Ni sawa no hela ngapi ya madafu?
  11. Jugado

    JamiiForums Tanzania Unahitaji kiasi gani cha pesa kuweza kuishi miaka 10 bila kufanya kazi ya kuingiza kipato?

    Miaka kumi ina miezi 120! Say: 3,000,000×120? = 360,000,000
  12. Ritz

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema, pesa za mafuta ya bodaboda na posho kwenye maandamano mngewapa mtaji Bavicha

    Wanaukumbi. Chadema wanapoelekea kwa sasa itakuwa kama UMD kinakufa taratibu, leo hii Chadema wanaandaa Maandamano wanakusanya Bodaboda na Bajaji zaidi ya 200 wajaze Maandamano wanamdanganya nani kama raia wamekaa maandamano yako wanawaonyesha UN ili iweje. Nani analipa hizo pesa za mafuta...
  13. Stroke

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kutoa pesa kwa wakala mimi nataka pesa yeye ananiambia toa TU

    Wakuu nimeshindwa kufanya muamala hapa maana huyu wakala ananichanganya hapa. Nimemwambia nataka nitoe pesa yeye ananiambia toa TU. Sasa mimi hiyo TU sina nina pesa nataka niitoe. Nimejaribu kuuliza kama kuna mwenye hiyo TU anisaidie hakuna. Naombeni msaada hiyo TU ni nini na inapatikana...
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Saninu Laizer wa madini lipa pesa za watu. Ulituonyesha una madini ya mabilioni leo hii mchina anataka bilioni 8 zake

    Lazier lipa bana atujazoea kuringishana huku tunadhulumu watu ARUSHA: Mfanyabiashara Maarufu wa Madini ya Tanzanite katika Mji wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Saninu Laizer maarufu kwa jina la Bilionea wa Tanzanite amemwangukia Mwekezaji raia wa China, Jun Fang akiomba wakae...
  15. mr pipa

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Vipi huko kumesoma maana khali sio hali madeni mpaka utosini kila duka tunadaiwa mpaka pakukopa pameisha.
  16. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Dj Ally B: Maneno kidogo pesa nyingi

    Angalia hapa jinsi Dj Ally anavyotamba na Mandinga yake. Anakwambia tafuta hela ili uwe na machaguzi mengi.
  17. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kinakumalizia pesa lakini haukiachi kwasababu kinakupa furaha?

    Ni kitu gani kinakumalizia pesa mara kwa mara lakini haukiachi kwasababu kinakupa furaha?
  18. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda asema pesa za kujenga ofisi ya CHADEMA zimetolewa na Rais Samia

    Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Paul Makonda akiwa Himo Mkoani Kilimanjaro katika ziara yake kutembelea mikoa 20 nchini kufuatilia utekelezaji Ilani ya CCM amesema. "Wenzetu wa CHADEMA wanasema eti maridhiano yaliyoletwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan eti hayana faida yoyote na...
  19. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Mnapenda Pesa anazotoa Rais katika makanisa yenu lakini mnachukia misimamo ya viongozi wa makanisa yenu huu ni upumbavu

    Moja ya kosa kubwa lililo fanyika Tanzania toka utawala wa awamu ya kwanza ni kushindwa kupambana na udini. Kilichofanyika wakati wa Nyerere na sasa ni kupambana na udini kwa kutengeneza udini wa dini hizi mbili Ukristo na Uislam. Sio kweli kuwa Tanzania hakuna udini kama katiba inavyosema...
  20. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Benki kuu ya Tanzania(BOT) ni kweli mnalipa pesa za nauli kwa ubaguzi? Walimu wa Halmashauri ya Tunduru hatujalipwa tokea mwaka jana

    Benki kuu ya Tanzania ni taasisi kubwa na yenye heshima kubwa. Kuna jambo silielewi, sisi tuna madai yetu ya pesa za likizo za mwezi wa 12 mwaka jana. Hatujalipwa mpaka leo. Tukifuatilia kwa uongozi wa halmashauri ya wilaya ya Tunduru tunaambiwa maombi yenu tulishayapeleka BOT. Kwanza nataka...
Back
Top Bottom