Kama unataka kuishi kwa amani usipungue kiwango hiki cha pesa

mwanyaluke

JF-Expert Member
Jan 22, 2015
473
1,448
gharama za maisha zimepanda , kiasi cha kwamba tunaondelea kuishi kwenye mzunguko ule ule tunaishi maisha Magumu sana nimejaribu kufanisha gharama za maisha kwenye nchi nilizopita , nilichokiona maisha yamepanda kila kona, na nchi nyingi za afrika maisha yanafanan sana kasoro south africa na zimbabwe, karibu nchi zote za kusini maisha ni magumu na kilio ni kikubwa, nimepita kenya,zambia,malawi, zim, angola to south africa, tuna maisha magumu sana, cha ajabu nikilinganisha maisha ya mjini na vijijin maisha yanafanana sana
ukiwa na familia na unaishi mjini usipungue mzunguko wa milion 24 hadi 36 kwa mwaka mzima, gharama hizi hazikwepeki bill , chakula , ada na mambo ya kijamii, ukiangalia kwa hali ya kawaida utatumia milion zaidi ya 16 , hasa ukija kuchanganya na gharama za starehe, kuhonga, gari ya kutembelea , bia unakuta unafika milion 20+ , so unajikuta hujasave chochote. vijijini gharama za maisha zinapungua kidogo , atleast uwe na m 16 to 20 hapa ndipo unaishi maisha ya kawaida sana . ukiangalia gharama za maisha ni kubwa kusini mwa afrika , ukilinganisha na mzunguko ,tuna mzunguko kidogo karibu kila nchi atleast south africa wana mzunguko mzuri na gharama ya maisha ni nafuu kidogo , walichojitahidi kwenye mambo ya msingi kama afya, mafuta kuna unafuu . serikali kama haziwezi kupambana na kuongezeka kwa gharama za maisha basi wangejitahidi kuwa na huduma nzuri kwenye mambo yale ya muhimu ,afya, nishati na usafiri ,
 
Dar makazi na usafiri basi ila chakula kawaida sana ,izo shule za private zipo kibao na za kawaida zipo .

Vyakula kanunue hata masoko kama Tandika na mabibo vitu bei che.
 
Serikali za wachawi, illuminati na freemasons agano lao ni kutokuwa na huruma na maskini ndio fursa ya damu zao za kafara
 
Back
Top Bottom