Ingekuwaje pesa ingepatikana kirahisi kama inavyopatikana Ngono

mwanyaluke

JF-Expert Member
Jan 22, 2015
473
1,448
leo nimewaza sana, nipo mbali na.nyumbani ,nimefuata biashara huku, nimeacha mji wangu, nipo mbali na watoto wangu, nipo katika nchi ambayo imejaa matukio ya kishamba(matumizi ya bundiki hapa wanaona ni kama ndio akil)

Haya yote nafanya eti natafta pesa, nguvu ninazotumia , akili ninayotumia , hatari ninazokutana nazo ni nyingi na na bado pesa ninayoitaka sipati yote, kutafta pesa ni kugumu sana .

Hivi pesa ingepatikan kama ilivyo ngono maisha yangekuwaje,rahis tu unaomba namba mwanamke anakuja unamfanya unachotak then anaondoka , lakini pesa dah inatutesa unapanga unachemka, unatumia akili na nguvu bado hupati , wengine wanatumia hadi uchawi bad hawapati,vip pesa ingekuwa kama ngono tungeshimiana kweli?
 
leo nimewaza sana, nipo mbali na.nyumbami, nimefuata biashara huku, nimeacha mji wangu, nipo mbali na watoto wangu, nipo katika nchi ambayo imejaa matukio ya kishamba(matumizi ya bundiki hapa wanaona ni kama ndio akil) haya yote nafanya eti natafta pesa , nguvu ninazotumia , akili ninayotumia , hatari ninazokutana nazo ni nyingi
Pesa Iko valuable kuliko ngono. Acha kufananisha hela na vitu vya ajabu. Piga kazi.
 
leo nimewaza sana, nipo mbali na.nyumbami, nimefuata biashara huku, nimeacha mji wangu, nipo mbali na watoto wangu, nipo katika nchi ambayo imejaa matukio ya kishamba(matumizi ya bundiki hapa wanaona ni kama ndio akil) haya yote nafanya eti natafta pesa , nguvu ninazotumia , akili ninayotumia , hatari ninazokutana nazo ni nyingi
Sababu unambaka umtakaye huko wakikuogopa na magwanda yako ndo maana unaona ngono rahisi kupatikana. Tuulize sisi huku kitaa tunavyoteseka na ugwadu. Pesa hakuna na ngono za bure hakuna pia. Urahisi uko wapi sasa?
 
Back
Top Bottom