pesa

  1. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Ukimuomba pesa rafiki yako anakusaidia kwa haraka, lakini kila akikuomba kwako huna kitu.

    Na mwingine anasaidia sana rafiki zake na jamaa zake wanapopata anguko la uchumi, lakini likija upande wake hawamsaidii, akikwama anakwama kwelikweli. Katika uislamu tumefundishwa kwamba mkopeshaji ''mwenye kukopesha'' anathawabu nyingi kulikoni mwenye kutoa sadaka. Yaani wewe kama 'Umemkopesha...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za Video production na Matangazo kwa kulipa anayeleta dili

    Habari wadau. Tumefungua Ofisi mpya studio tunatafuta kazi za video production, kuandaa matangazo, video shooting, Event Management kwa mwenye dili hilo anicheki tuangalie tunafanyaje. NB: Malipo yapo kwa atakayeleta dili.
  3. National Anthem

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni mambo gani ambayo ukifanya kwa kutumia pesa yako nafsi yako hupatwa na furaha sana na amani?

    Hallo Wakuu, Baridaaa! Ni Mambo gani ambayo ukitumia pesa (money) yako.. nafsi yako (roho yako) hupatwa na furaha sana na amani ndani yake? Binafsi; 1. Ninapo mpa pesa mke wangu, hunifanya kusikia furaha ya ndani sana moyoni mwangu na ninakuwa na amani. 2. Kujaza wese na kukimbia (napenda sana...
  4. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Atumia ubunifu wa kujamba ili kupata pesa (Video)

    Ingawa pesa ngumu Ila huu 'ubunifu' haupendezi aisee. Ni masikitiko kama sio msiba.
  5. USSR

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwa kashfa hii tumbua waziri Ndumbaro na IG, kuokoa pesa za walala hoi

    Mh rais Samia huku mtaani Kuna tuhuma kubwa Sana za ofisi ya IG kucheza dili na mawakili wa serkali kushindwa ki-deal kesi za madai wakandarasi walifutiwa tenda . Kwa Sasa Kila aliyefutiwa tenda akiwa site anadaiwa kuitwa na mawakili wa serkali kijanja kukaa mezani na kukubariana namna ya...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kuna manabii na mitume wa kweli leo ambao hawaombi pesa?

    Siku hizi imekuwa biashara kubwa ya kuleta utajiri mtu from nowhere kuibuka na kujiita mtume au nabii. Wako wapi watumishi wa kweli wasiodai pesa kwa visingizio vya zaka na sadaka? Pia unawezeza kusoma link hii niliyokutana nayo leo mtandaoni...
  7. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madaraka matamu ukiwa nayo; Uhuru Kenyatta na Familia yake wana pesa ila hawana amani. Wanapitishwa pagumu

    Siyo kila tajiri ataishi milele kwa furaha na utajiri wake Siyo kila mwenye madaraka ataendelea kuishi kwa furaha baada ya kuacha madaraka. Kikwete alipomwachia nchi Hayati Magufuli matosa waliandamana na wale wote waliokuwa wafuasi yake. Uhuru ameachia madaraka sasa hivi familia yake...
  8. JF Member

    JamiiForums Tanzania Kama CCM hamruhusu wananchi kuuliza maswali kwenye mikutano yenu basi mnamaliza pesa tu

    CCM mnafanya mikutano mikubwa kujibu mambo kuhusu bandari; wengi wanauliza kwanini mtumie nguvu hivi? Si mbadili tu huo mkataba? Mkimaliza mikutano yenu hakuna anaeelewe. Sasa waruhusuni waulize maswali ili mjue ni nini haswa kiko kichwani mwao wananchi.
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mayele akiuzwa Yanga SC itaambulia 30% tu ya Pesa na 70% atachukua anayemmiliki huko Congo DR

    Mtangazaji wa Michezo wa Redio Kubwa na inayokubalika nchini Congo DR ya ( iitwayo ) Top Congo FM Mwanadada Sylivia Meya kasema Mayele akiuzwa Kokote kule Yanga SC waliopewa kwa Mkopo wataambulia 30% tu na Tajiri anayemmiliki Mayele na Wachezaji wengine 24 wa Congo DR atachukua 70% yake. Chanzo...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kuiita "Pesa" hela ni kuikosea adabu itakuadhibu vibaya sana

    Kuiita "Pesa" hela ni kuikosea adabu. Ulishindwa kuiita pesa iite basi fedha, acha kuiita hela. Maana itakukimbia siku zote na hata ukipata utaipata kiduuuuchu! Wewe watazame matajiri, wanaiheshimu pesa na huwezi kuwakuta wanaiita hela.
  11. Ngaliwe

    JamiiForums Tanzania Sababu za kukamatwa kwa Wakili Peter Madeleka

    Mnamo mwaka 2020 Wakili Peter Madeleka alikamatwa na kufunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi no. 40 (Economic case no 40/2020) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Arusha. Katika kesi hiyo alishtakiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo kughushi (forgery) kinyume na Sheria ya Mwenendo wa Adhabu (Penal Code)...
  12. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya pesa aliyoyafanya Floyd Mayweather huko S.Africa ni balaa kuna uwezekano akatua bongo

    Ukitaka kujua maana ya halisi ya pesa au mtu anayeishi maisha ya kifahari basi nenda kamtazame Floyd Sinclair Joy Mayweather Jr. Huyu jamaa hakupewa nickname ya "Money" kwa bahati mbaya ana deserve jina na analitendea haki sana. Baada ya kufanya kufuru ya matumizi huko S.Africa kuna hatihati...
  13. Nrangoo

    JamiiForums Tanzania Namna ya kutoa pesa kutoka Skrill wallet

    Habari wadau. Huwa ninafanya deposit kwenye Skrill wallet kwa kutumia Equity bank. Lakini huwa ninapata changamoto na usumbufu wa ku withdraw kupitia equity bank , hata hivyo makato huwa siyo rafiki sana. . Naomba muongozo namna gani ninaweza kufanya withdrawal kwenye platforms zenye...
  14. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Hebu tusemezane: Ulianza kazi mwaka gani na mshahara wako wa kwanza ulikuwa kiasi gani?

    Nimejikuta nawaza tu.... Binafsi ajira yangu ya kwanza ilikua mwaka 2000, na mshahara wangu ulikua 115,000Tsh. Nakumbuka nilikua nimemzidi babayangu mshahara na alishangaa sana.
  15. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Ukipata pesa hakikisha unatulia nyumbani kwako

    Unapopata pesa nawazungumzia vijana wa Leo hakikisha unakaa nyumbani , hakikisha pesa inageuka Akiba ya kudumu usikubali kutumia pesa yako kununua Magonjwa ili baadae uishi kwa mateso. Wewe ndio Mwalimu wa Maisha yako wewe ndo daktari wa Maisha yako yaani wewe ndo kila kitu. Hizi hadithi za...
  16. polokwane

    JamiiForums Tanzania Serikali badala ya kuendelea kuumiza wananchi kwa kodi na kupandisha gharama za vitu muhimu hebu punguzeni Matumizi ya hovyo Serikalini

    Nchi hii pesa zinatumika hovyo sana, swala la usimamizi wa matumizi ya fedha za serikali ni tatizo kubwa sana nchi hii. Kuna matumizi ya hovyo sana kwenye fedha za umma ndio maana inaonekana kama fedha hazitoshi na kila siku wananchi wanapandishiwa gharama za maisha. Gharama za kugharamia...
  17. Kipondo Cha ugoko

    JamiiForums Tanzania Umakini unahitajita sana unapotaka kuanzisha biashara ili kuepuka kuchoma pesa zako

    Wana jukwaa habari zenu! Leo ningependa kushare nanyi kitu ambacho nimekiona ktk ka utafiti kangu kadogo kuhusu biashara nyingi za maduka ya nguo na saloon ama za kiume au za kike kufa kifo Cha mende.(hasa kwa maeneo ambayo yapo pembezoni mwa mji) Nimekuja kugundua watanzania walio wengi...
  18. R-K-O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ya sasa pesa ni muhimu ila tutafute na akili basi, rafiki wiki ya tatu kahonga laki 7 na bado hapewi kwa mwanamke ambae analiwa kwa elf 30

    Nilianza maisha kwa kutegemea mishahara ya ajira serikalini ila nashukuru nikaweza kujiongeza nifanye na biashara, huku kwenye biashara kwakweli huwa nakutana na watu wengi zaidi. Sasa katika watu nilioweza kuwajua ni mfanya biashara flani ni mteja wa mara tulizoeana zaidi kupiga story huku...
  19. demigod

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sawadogo Hajapewa Chake, Atishia Kufungua Kesi. Pesa ya Kumnunua Miquisine Itoke Wapi?

    Sawadogo bado nikijana mdogo Sana bado anajitafuta anandugu wamamtegemea tusaidiane wanatanzania kumpazia sauti apate stahiki zake.Msikilize anavyoongea Kwa uchungu, nimelia Sana, Ndugu wachambuzi mlimpamba Sana wakati anakuja sasa hivi mpambanieni apate haki yake. Mumemuomba apunguze hela...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Dunia ilivyochafuka kuna wakati unatamani umsaidie mtu pesa ila unaogopa

    Unamwona mtu kakwama ila ukimsaidia unaweza ukahisiwa wewe ni shoga unamwaga pesa ili uingiliwe. Au unaweza kuhisiwa wewe ni basha unamsaidia mtu ili umpachike. Kwa upande wa wanawake ndo naogopa sana, ukimsaidia bila kukuomba au hata akikuomba atahisi unamtaka kimapenzi. Wazee sometimes...
Back
Top Bottom