Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,126
- 4,169
Mahakama ni chombo huru lakini hakitakiwi kuwa huru.
Mahakimu na majaji wengi wanautumia uhuru wa mahakama vibaya.
Fikiria jinsi pesa za halmashauri zinavyoibwa kila siku. Ushahidi hata wa kimazingira upo wazi. Majengo yanajengwa chini ya ubora. Kinachofuata ni mtumishi kusimamishwa kazi na akipelekwa mahakamani hashindi kesi.
Huko mahakimu ni kupindisha tu ukweli kwa kuwa wanakula rushwa.