Rejean kichwa cha habari hapo juu.
Ipo wazi sasa hivi mwanaume kama huna hela mapenzi yatakusumbua sana, yaani kuna aina ya wanawake hutowapata regardless ya muonekana wako, family background, n.k.
Hii imepelekea wanaume wengi kuchacharika kuitafuta pesa, hata zile jamii/makabila yenye character ya uvivu yamebadilika, yanachapa kazi.
Miaka ya 2012 kurudi nyuma wanawake wengi walikuwa hawaangalii hela sana lakini kuanzia 2013 ilitokea msemo wa 'Mwanaume asie na pesa wa kazi gani' hadi leo ni kawaida kama mwanamke ana pesa bado anapenda/anataka mwanaume mwenye pesa.
Kwa lazima 90% ya wanaume wote Tanzania wanaingia kwenye mfumo wa kufight, kutafuta hela ili kuwa na maisha bora na kuheshimika katika jamii.
Licha ya 90% ya wanaume kuingia katika mfumo kuna 10% ya wanaume hawaamini katika ku strugle, wao wanamini katika kwa smart, kunukia n.k (wazee wa vipensi na sendo), pia wako sahihi ila soon wataingia kwa mfumo.
Hitimisho
Nchi kama South Korea, China, Japan zimeandelea kwa kutupilia mbali uvivu na kuchapa kazi.
Wanawake pongezi kwenu sana.