pesa

  1. mgt software

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maajabu ya Gwajima: Waumini wananyeshewa mvua, yeye anaahidi kujenga barabara kwa pesa zake mwenyewe

    Wana JF, Tangu nimjue Askofu Gwajima, sijawahi kuona amejnga shule muhimu kama mama Rwakatale, wala hajawaji kujenga kanisa lake mwenyewe m waumini wake daima wanakaa nje, sasa haya maendeleo anayotaka kutuletea kawe yatatoka wapi. Huyu ahadi zake ni nyingi watu inabidi tuzipime tusije...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Mwenye uwezo wa kuwekeza kwenye mawazo yangu yanayohitaji Pesa tu ili yaweze kuwa utajiri na kunisahaulisha machungu ya Elimu yangu iliyouwawa namfumo

    Mimi ni Kijana wa miaka 26 nikiwa na shahada ya uhandisi wa mitandao na mawasiliano...baada ya kuhangaika sana bila majibu nimeambulia kufahamu fursa nyingi ambazo nimetumia na akili yangu kidogo kuweza kupata mawazo kadhaa ya kibiashara ambazo zenye kuleta matunda chanya kwa muda mfupi sana...
  3. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Asilimia 100 ya tabaka lililojichokeaga awamu zote, ambalo awamu ya tano linaogopwa na wenye pesa, watampa kura zote Rais John Pombe Magufuli

    ASILIMIA 100 YA TABAKA LILILOJICHOKEAGA AWAMU ZOTE,AMBALO AWAMU YA TANO LINAOGOPWA NA WENYE PESA, WATAMPA KURA ZOTE RAIS JOHN POMBE MAGUFULI. Leo 14:45hrs 06/09/2020 Tabaka la watu wanyonge wasio na chochote cha kujisifu nacho mbele za watu ambalo awamu zote limejichokeaga tu sema safari hii...
  4. mahadhialy

    JamiiForums Tanzania Je, hii pesa niifanyie nini?

    Habari zenu wanaJf Ninapenda kumshukuru Mungu nimefanikiwa kushika mil200 baada ya kufanya biashara ndogo ndogo kwa kila siku nilikuwa naweka 650,000 sasa nimefikia mwaka. Sasa nataka hii pesa niiwekeze katika sekta ya viwanda sasa naomba msaada kiwanda gani naweza kuanzisha.
  5. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaojua, hivi naweza kutumia Vodacom Mastercard kupokea pesa nje

    Kuna platform ya betting najaribugi bahati humo kama mjuavyo hakuna pesa chafu na maisha kupambana. Sasa kuna issue ya kwenye ku withdrawal, nimeona wao wana options za kutumia debit card au credit card, sasa mimi pia nnayo Vodacom mastercad, endapo nikijaribu kutoa mpunga kwa kuweka ile namba...
  6. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kiwanda alichoahidi Godbless Lema kukijenga kwa pesa yake Arusha kipindi hiki cha Awamu ya Tano kimefikia wapi?

    Godbless Lema ni mmoja wa wawekezaji ambaye alinunua hadi mitambo ya kujenga kiwanda cha kutengeneza toothpick na leseni ili nchi isiendelee kuagiza toka nje kipindi hiki cha serikali ya Awamu ya Tano. Kama kimeshakamilika ni vizuri akakitumia kueleza mafanikio yake alivyosaidia nchi kwa...
  7. Point of Sales

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ninawezaje kupokea pesa zaidi ya milioni 100 kutoka nje ya nchi kuja Tanzania

    Habari. Nahitaji msaada wa namna nitakavyoweza kupokea kiasi kikubwa cha pesa Tsh.100,000,000 kutoka nchi ya Afghanistan..... Njia nyingi za online transfer zinashindwa kutuma kiasi hicho cha pesa. Nahitaji mawazo yenu.
  8. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Njia nyingine ya ku earn pesa online kwa freelancers

    Remotasks I love being online na hilo limenifanya niwe natafuta njia kadhaa za kumake money while I am online, na leo ninawaletea hii tovuti Remotasks. Hii tovuti inahusika na mambo ya kusoma na kuenhance data ili kufanya AI bora Zaidi. Mfano machine za kusoma receipt, menu, magari...
  9. safuher

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anaweza kukupenda kweli kwa pesa zako, sio dhambi, pesa kweli inanunua mapenzi

    Mwanamke anaweza kukupenda kwa PESA zako na akakupenda kweli kweli hili linawezekana. Sio dhambi, sio vibaya, sio jinai na hili linawezekana kwa asilimia miamoja 100% Kwanini? 😁😁😁 Kwa sababu ukiona unapendwa au mwanamke akikupenda lazima kuna kitu kakupendea tu sio bure kwamba akupende bila...
  10. IBRA wa PILI

    JamiiForums Tanzania Nimerudishiwa pesa na Ali Express halafu siku chache mbele mzigo umefika

    Wakuu habari ni ivi niliagiza mzigo kutoka Ali Express ilikua tarehe 15 ya mwez wa 5 mwaka huu. Sasa ki kawaida mizigo ya standard shipping inakaa mwezi mmoja kisha una upokea posta ya mkoa wako. Kutokana na ishu ya corona mizigo hua inachelewa mno mpaka sometimes unaisi ushapotea niliagiza...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mume amuua mkewe baada ya meseji ya muamala wa pesa kuingia kwenye simu ya mke na kudhani meseji imetoka kwa mwanaume mwingine

    Mwalimu wa Shule ya Msingi Chalantai wilayani Nkasi mkoani Rukwa, Tabita Mwanyanje (29), anadaiwa kuuawa kwa kuchomwa kisu shingoni na maeneo mengine ya mwili na mumewe Frank Galimoshi (30) kwa wivu wa mapenzi. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  12. Ntaghacha

    JamiiForums Tanzania Jinsi simu za China zinavyowaibia wateja Afrika

    Programu (Malware) ambazo zinawasajili watumiaji bila ruhusa yao zimepatikana kwenye maelfu ya simu zinazouzwa Afrika. Simu 53,000 za Tecno zenye virusi zimeuzwa Ethiopia, Cameroon, Misri, Ghana na South Afrika. Transsion ambae ni mzalishaji wa simu aina ya Tecno inayoongoza kwa mauzo barani...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini jamii inapenda kumhukumu mwanamke negatively kwenye Sekta ya Mahusiano? Utasikia yule mdada amefuata pesa tu kwa yule mwanaume

    Hii kitu sijai-notice Mara moja ,nime-notice mara nyingi sana, utakuta unapiga story na baba mkubwa, anakwambia yule mke wa mdogo wangu anachosubiria ni pensheni tu ya mdogo wangu wa kiume. Au mkaka in his early 30's akioa, utaskia mama MTU mzima akisema, huyo mdada ameolewa kwasababu anataka...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Flyovers, SGR na uboreshaji wa miundombinu awamu ya 5 Tz ni matokeo ya kubadilisha matumizi ya pesa sio kukua kwa uchumi

    Kufanya uchaguzi kwa pesa ya ndani, kujenga flyovers, SGR na uboreshaji wa miundombinu unaofanywa na awamu ya 5 ni matokeo ya kubadili matumizi pesa/kipato tu sio kukua kwa uchumi. Mfano, pesa zilizokuwa zinatumika kulipa mishahara kwa watumishi wa umma. Sasa wanastaafu, wengine wanakufa hakuna...
  15. Webabu

    JamiiForums Tanzania Cheti cha corona ni pesa tu kila kona

    Inasikitisha sana katika kipindi hiki kigumu cha uchumi duniani kila mmoja amepanga kumminya mwenzake bila uhakika wala faida ya kinachofanyika. Mwanzoni niliona tangazo la wizara ya afya lililohimiza wasafiri kuhakikisha kuwa wanapata cheti cha usafi wa corona kabla kuondoka nchini na...
  16. IAfrika

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Sudan Kusini yasema Akiba ya Fedha za Kigeni imekwisha

    Sudan Kusini imeishiwa na akiba ya fedha za kigeni na haiwezi tena kumaliza kushuka kwa thamani ya Pauni ya Sudan Kusini, afisa mkuu wa benki kuu alisema Jumatano. Daniel Kech Pouch, gavana wa pili wa benki hiyo, aliambia mkutano wa habari kwamba mapato ya mafuta ya nchi yamepungua, ikigonga...
  17. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jaji Kaijage: Baada ya uhakiki, sasa tuna jumla ya wapiga kura 29,188,347. Vyombo vya Habari vitende haki kwa vyama vyote

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ( NEC) mh Jaji Kaijage amesema baada ya kuhakiki daftari na kuondoa majina yanayojirudia sasa wamebakia wapiga kura 29,188,347 Source East africa radio My take; Kumbe nyomi ya Tundu Lisu si chochote si lolote. Maendeleo hayana vyama! ====== Daftari la wapiga...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi vyuoni: Msikae kusuburi boom/pocket money, fanya hizi biashara

    STATIONERY YA NDANI YA GHETO/HOSTEL Nguvu ya hii biashara 1.tationery nyingi hufugwa mida ya saa moja jioni hivyo hakunaga mbadala, nguvu yako hapa ni kwamba wewe muda wowote ambao upo chumbani kuna huduma. hata usiku. 2. Stationery zinaweza kuwa mbali na sehemu ambayo unaishi na wanafunzi...
Back
Top Bottom