Kazi zenye pesa zisizojadiliwa na vijana hizi hapa

PAZIA 3

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
1,067
1,827
Natumai hamjambo, kichwa Cha habari kinajieleza, Kuna kazi vijana wengi hawazijadili ila ukizizingatia unaweza ukatengeneza kampuni kubwa Tena yenye kuheshimika

1; Shoe care, hi inajumuisha kushona viatu vilivyochanika, mikoba, begi, nk, kung'arisha viatu na kufua viatu, Hakika, kwa mtaji wa elfu 50 unaheshimika mtaani na familia pia, Mimi nipo naifanya hii, sema nipo kijijini, natamani nipate mtu wa kuungana nae sehemu ya mjini, kwa siku huwa sikosi elf 7

2. Ku repair viti vya plastic na vombo vyote vitokanavyo na plastic. Hapa ukitaka utajirike haraka, tafuta eneo la kuhifadhia bidhaa za wateja wako, pia uwe na electronic drill nyembamba na zile waya laini zakwenye transformer za redio au hata wire mesh lain kwa kushonea viti, nakwambia wateja utawakataa, hili wazo nalifanyia kazi sema Sina nakosa mtu wa kuungana nae ili tuwe tunakimbiza kazi hiyo haraka

3. Kuchimba vyoo, na kutapisha vyoo. Kuchimba shimo la choo, futi inagharimu Tsh 7000 mpaka elf 10000 Sasa ukiwa na bidii, ukachimba futi 5 kwa siku, utalala njaa? Hapa kinachotakiwa, ili mheshimike, mnakuwa na ofsi yenu yenye bango kubwa likisema, TUNACHIMBA VYOO NA KUTAPISHA VYOO VILIVYOJAA KWA BEI RAHISI. Mnaweka na mawasiliano, kwasababu nyie Ni kampuni, mkipata kazi, mnagawanya majukumu, yaani Kama wanavyofanya kazi TANROAD na TANESCO. Hapa kampuni yenu itaheshimika na hakuna mtu wa kuwadhalau/ kuwakejeri

4. Kutengeneza vifàa vya michezo ya watoto. Mfano, gari zitokanazo na spoku za baiskeli/ pikipiki, gari za mabox na yeboyebe/ slippers, kuchonga puzzles kwa kutumia slippers, na vitu vingine vinavyovutia watoto. Nakwambia, wateja wapo hasa shule za English medium, pia mnatakiwa muwe kampuni ili bidhaa zenu ziwe na label kuzifanya ziheshimike zaidi. Kea atakaye penda mawazo yangu anataka tushirikiane, tafadhari njoo PM/ INBOX tujadiliane. Kwa mwenye pesa ila amependa mawazo haya/ wazo mojawapo, anaweza akatuunganisha vijana tutakaokuwa tayari ili tujikwamue zaidi.

Note: UOGA WAKO NDIYO UMASIKINI WAKO
 
Kila siku unachimba shimo la choo mkuu ? Are you serious ? ... Unasema kutapisha vyoo wakati Kuna kampuni kubwa Zina mapaka magari ya kunyonya taka.

Kimtaa Hali sio hivyo
Usiogope hizo kampuni, hata wewe unaweza kufikia hiyo hatua, na usidhani wananchi wote wanaweza kumudu hizo gharama za hayo magari, Tena Kuna taasisi mjomba zinaitajika cheap labor ili wabakize percentage kidogo kwa familia zao
 
Hizo haziwezi fanywa na hawa watoto wa kidijitali mzee. Labda ingekuwa sisi enzi zile tunasaka maisha hadi kusafiri nchi za watu.Sema tushatulia sahivi mambo sio mabaya.
 
Nimeanzisha mtaani chuo Cha kuwafundisha vijana kutapisha choo. Sijawahi kupata mteja hata mmoja, ila Kuna siku alikuja Dada ana bonge la zigo, akaniambia nimsaidie kulipunguza.
Nikamwambia hatutapishi matako ila vyoo vya majumbani
mkuu gharama zako za kutapisha choo zipoje?
 
Usiogope hizo kampuni, hata wewe unaweza kufikia hiyo hatua, na usidhani wananchi wote wanaweza kumudu hizo gharama za hayo magari, Tena Kuna taasisi mjomba zinaitajika cheap labor ili wabakize percentage kidogo kwa familia zao
mkuu choo unatapisha kwa shing ngapi?
 
Hiyo pesa ya kusajili na kufungua Kampuni wataitoa wapi hao Vijana, wakati CCM imewanyang'anya kila kitu na kuwaacha masikini wa masikini?
Kuibuka kwa hili GENGE KUBWA la mapambio, kutetea uozo na kusifu kwa ujira wa elfu saba na simu ya smartphone, ni uthibitisho wa hali halisi ya maisha ya vijana wengi kwa sasa, utapata picha hali waliyonayo vijana kwa sasa huko mitaani.
 
Natumai hamjambo, kichwa Cha habari kinajieleza, Kuna kazi vijana wengi hawazijadili ila ukizizingatia unaweza ukatengeneza kampuni kubwa Tena yenye kuheshimika
1; Shoe care, hi inajumuisha kushona viatu vilivyochanika, mikoba, begi, nk, kung'arisha viatu na kufua viatu, Hakika, kwa mtaji wa elfu 50 unaheshimika mtaani na familia pia, Mimi nipo naifanya hii, sema nipo kijijini, natamani nipate mtu wa kuungana nae sehemu ya mjini, kwa siku huwa sikosi elf 7
2. Ku repair viti vya plastic na vombo vyote vitokanavyo na plastic. Hapa ukitaka utajirike haraka, tafuta eneo la kuhifadhia bidhaa za wateja wako, pia uwe na electronic drill nyembamba na zile waya laini zakwenye transformer za redio au hata wire mesh lain kwa kushonea viti, nakwambia wateja utawakataa, hili wazo nalifanyia kazi sema Sina nakosa mtu wa kuungana nae ili tuwe tunakimbiza kazi hiyo haraka
3. Kuchimba vyoo, na kutapisha vyoo. Kuchimba shimo la choo, futi inagharimu Tsh 7000 mpaka elf 10000 Sasa ukiwa na bidii, ukachimba futi 5 kwa siku, utalala njaa? Hapa kinachotakiwa, ili mheshimike, mnakuwa na ofsi yenu yenye bango kubwa likisema, TUNACHIMBA VYOO NA KUTAPISHA VYOO VILIVYOJAA KWA BEI RAHISI. Mnaweka na mawasiliano, kwasababu nyie Ni kampuni, mkipata kazi, mnagawanya majukumu, yaani Kama wanavyofanya kazi TANROAD na TANESCO. Hapa kampuni yenu itaheshimika na hakuna mtu wa kuwadhalau/ kuwakejeri
4. Kutengeneza vifàa vya michezo ya watoto. Mfano, gari zitokanazo na spoku za baiskeli/ pikipiki, gari za mabox na yeboyebe/ slippers, kuchonga puzzles kwa kutumia slippers, na vitu vingine vinavyovutia watoto. Nakwambia, wateja wapo hasa shule za English medium, pia mnatakiwa muwe kampuni ili bidhaa zenu ziwe na label kuzifanya ziheshimike zaidi. Kea atakaye penda mawazo yangu anataka tushirikiane, tafadhari njoo PM/ INBOX tujadiliane. Kwa mwenye pesa ila amependa mawazo haya/ wazo mojawapo, anaweza akatuunganisha vijana tutakaokuwa tayari ili tujikwamue zaidi. Note: UOGA WAKO NDIYO UMASIKINI WAKO
Huu ni ukweli. Pia ingelipendeza zaidi kama kichwa cha habari kingekuwa'KAZI ZENYE PESA ZISIZO HITAJI ELIMU YOYOTE'.
 
ukizibua choo bila kua na elimu ya uzibuaji utaloa mavi mkuu.
kila kazi inahitaji elimu, hata ufundi viatu usipokua na elimu yake utajichoma sana sindano.
 
Natumai hamjambo, kichwa Cha habari kinajieleza, Kuna kazi vijana wengi hawazijadili ila ukizizingatia unaweza ukatengeneza kampuni kubwa Tena yenye kuheshimika
1; Shoe care, hi inajumuisha kushona viatu vilivyochanika, mikoba, begi, nk, kung'arisha viatu na kufua viatu, Hakika, kwa mtaji wa elfu 50 unaheshimika mtaani na familia pia, Mimi nipo naifanya hii, sema nipo kijijini, natamani nipate mtu wa kuungana nae sehemu ya mjini, kwa siku huwa sikosi elf 7
2. Ku repair viti vya plastic na vombo vyote vitokanavyo na plastic. Hapa ukitaka utajirike haraka, tafuta eneo la kuhifadhia bidhaa za wateja wako, pia uwe na electronic drill nyembamba na zile waya laini zakwenye transformer za redio au hata wire mesh lain kwa kushonea viti, nakwambia wateja utawakataa, hili wazo nalifanyia kazi sema Sina nakosa mtu wa kuungana nae ili tuwe tunakimbiza kazi hiyo haraka
3. Kuchimba vyoo, na kutapisha vyoo. Kuchimba shimo la choo, futi inagharimu Tsh 7000 mpaka elf 10000 Sasa ukiwa na bidii, ukachimba futi 5 kwa siku, utalala njaa? Hapa kinachotakiwa, ili mheshimike, mnakuwa na ofsi yenu yenye bango kubwa likisema, TUNACHIMBA VYOO NA KUTAPISHA VYOO VILIVYOJAA KWA BEI RAHISI. Mnaweka na mawasiliano, kwasababu nyie Ni kampuni, mkipata kazi, mnagawanya majukumu, yaani Kama wanavyofanya kazi TANROAD na TANESCO. Hapa kampuni yenu itaheshimika na hakuna mtu wa kuwadhalau/ kuwakejeri
4. Kutengeneza vifàa vya michezo ya watoto. Mfano, gari zitokanazo na spoku za baiskeli/ pikipiki, gari za mabox na yeboyebe/ slippers, kuchonga puzzles kwa kutumia slippers, na vitu vingine vinavyovutia watoto. Nakwambia, wateja wapo hasa shule za English medium, pia mnatakiwa muwe kampuni ili bidhaa zenu ziwe na label kuzifanya ziheshimike zaidi. Kea atakaye penda mawazo yangu anataka tushirikiane, tafadhari njoo PM/ INBOX tujadiliane. Kwa mwenye pesa ila amependa mawazo haya/ wazo mojawapo, anaweza akatuunganisha vijana tutakaokuwa tayari ili tujikwamue zaidi. Note: UOGA WAKO NDIYO UMASIKINI WAKO
Wewe unafanya kazi ipi Kati ya izo influencer?
 
Una mawazo mazuri sana

Hili wazo ukimpatia kijana ambaye amejiajiri kwenye kazi ya kutembea na bahasha ya kaki hawezi kukuelewa

Kuna jamaa anapiga hela sana kwenye kazi ya kushona viatu, ndala, kuisha viatu, ku brash viatu na kuweka soli

Nimependa mawazo yako, tatizo nina mipango mingine

~ unamipango mingine ya kutembea na bahasha ya kaki😂😂😂
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom