pesa

  1. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ruja, mwanamama aliyewatapeli watu pesa yenye ukubwa wa nusu ya bajeti ya Tanzania na kupotea kwenye uso wa Dunia

    Miaka saba liyopita, Dr Ruja alikuwa akifanya kazi kama mshauri katika shirika moja la kimataifa linahusiana na mambo ya kifedha. Akiwa hapo, ndipo aliposikia habari za bitcoin, pesa mpya ya kimtandao ambayo ilikuwa imeanza kukua kwa kasi ya ajabu ikiwa huru bila kuhodhiwa na benki kuu. Bei ya...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Waziri Kigwangalla amwaga baiskeli Nzega

    Inasemekana ni kwa ajili ya kuwawezesha viongozi wa ccm kufanya shughuli za chama kwa urahisi , Jumla ya baiskeli zilizogawiwa ni 780 Kutoa ni moyo .
  3. K

    JamiiForums Tanzania Funzo: Rais Pierre Nkurunziza pesa ameziacha

    Alitawala kwa nguvu na hakuondoka mpaka Bunge limpe mshahara kwenye nchi masikini. Sasa jiulize yuko wapi leo. Hawa viongozi wetu wa Mungu watu wajue huwezi kujua kesho kitatokea nini! Burundi's parliament has voted to pay $530,000 (£400,000) to President Pierre Nkurunziza and provide him with...
  4. pecial

    JamiiForums Tanzania Pesa kutoka Safaricom kwenda Vodacom M-Pesa

    Jamani nimetumiwa pesa kutoka Kenya kwa kutumia Safaricom kuja kwa M-Pesa yaani kwenye namba yangu ya Voda ila ni nusu saa sasa haijafika. Kwa wale mliowahi tumiwa pesa kwa safaricom hebu nisaidieni uzoefu, huwa inachukua muda gani kupata pesa?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mawazo kwa wasanii wa filamu: Tumieni mbuga zetu/ Wanyama wetu biashara zenu zitapata pesa sana

    Biashara ya filamu imeenda chini sana kuanzia enzi za Kanumba kwasababu hakuna ubunifu. Mimi kama diaspora nimefanya uchunguzi kujua kwanini hii inatokea. filamu zetu zinaiga na kujaribu kushindana na Nigeria lakini Tanzania tuna kitu kimoja ambacho wenyewe hawana. Sijawahi kuona picha kutoka...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU kuwahoji Wabunge 69 kuhusu matumizi ya pesa za CHADEMA

    JUNI 10, 2020 TAKUKURU MAKAO MAKUU KUHOJI WABUNGE 69 MATUMIZI YA FEDHA ZA CHADEMA Kwa taarifa hii, tunapenda kuuthibitishia umma kwamba ni kweli kuwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa – TAKUKURU Makao Makuu, imewaita Waheshimiwa Wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo – CHADEMA na...
  7. Mikopo Chefuchefu

    JamiiForums Tanzania Sambamba na ujenzi wa bwawa la Mwalimu Nyerere, Serikali ianze kutafuta pesa za kujenga njia kuu ya umeme (Backbone)

    Miradi hii ni ya gharama kubwa na utekelezaji wake huchukua miaka mingi. Ni maoni yangu kuwa, sambamba na ujenzi wa bwawa la mwal Nyerere, serikali ingeanza kutafuta fedha za kujenga njia kuu ya kusafirishia umeme itakayopita magharibi mwa nchi hasa katika mikoa ya Lindi, Ruvuma, Njombe, Mbeya...
  8. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaopenda kujua pesa inatengenezwa wapi

    kwa wale wanaopenda kujua pesa znatengenezwa wap, nan anahusika na mzunguko wa pesa nchini pamoja na kwann ni lazima kila nchi ikope
  9. T

    JamiiForums Tanzania Vodacom na mitandao ya simu wekeni uwezo wa mtu kurudisha pesa aliyoipokea kimakosa

    Mitandao ya simu imerahisisha maisha kwa kuruhusu mtu kujirudishia pesa aliyotuma kimakosa kwenda kwa mtu mwingine. Hili tumelipokea kwa mikono miwili. Sasa naomba muweke uwezo wa mtu kurudisha muamala wa pesa ambayo ameipokea kimakosa au ambayo haitambui. Naomba wazo hili mlifanyie kazi...
  10. Requal

    JamiiForums Tanzania MKASA WA KWELI: Ni bora ubaki na umaskini kuliko utajiri wa pesa za "ndagu" au majini

    JamiiForums ni zaidi ya habari, nami nimeona niweke hapa kisa ambacho kinaweza kuwa funzo/somo kwa vijana wengi watafutaji hasa wanaopenda shortcut. Mtanisamehe kwa uandishi wangu mbovu na mpangilio wa visa. Mwaka huu mwanzoni nilikuwa mkoani Arusha kwa jamaa yangu mmoja tuliyetoka nae Kijiji...
  11. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wawili wafikishwa mahakamani kwa kutaka pesa kwa nguvu huku wakitishia kuvujisha video za mapenzi

    Mwanamke Mmoja na mpwa wake wamefikishwa Mahakamani nchini Uganda Wakituhumiwa kuingia nyumbani kwa Mwanaume na kujificha juu ya dari kisha kumrecord Video wakati akijamiiana na baadaye wakamtaka alipe Mil 150 ya Uganda ili wazivujishe Mzigo huo (Video) Mtandaoni, Wawili hao wameshtakiwa kwa...
  12. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie kina Dada/ Mama mnajua mna matumizi mabaya sana ya Pesa zetu?

    Nipo katika mahusiano huu ni mwaka wa 9 niko na mpenzi m1 ninayemhudumia kila kitu, lakini katika huduma ninazompa kuna huduma 1 ambayo nimemtamkia live bila kupepesa macho kuwa ifikapo tar 1 Jan 2021 kama tutajaliwa uhai itakua mwisho wangu wa kutoa; pesa ya yeye kwenda kusuka. Nitatoa pesa ya...
  13. RAKI BIG

    JamiiForums Tanzania GSM wametoa ufafanuzi kuhusu pesa yao juu ya mchakato wa mabadiliko ya Yanga, je watafaidika vipi?

    =AZVe3IMrRn9NqmqhAlSTx8d70rshwEZgJf9X-44nKyE3aNlNQsQOrC7zBNgD22qTKiLHiCylG5IwlR25TVybWYX9_qphdPjP1n3cPMWoWRaI5oULasItlOe1z3poYGWcctpXgQqzSDcsNwbcOgZI-sO6sMV_lZ0Dz6kg91rgr_yCEg&__tn__=-UC%2CP-R']VIWANJANI LEO "Sisi kazi yetu kubwa ni kuhakikisha klabu yetu inaweza kusimama kwa miguu yake miwili...
  14. Fidel80

    JamiiForums Tanzania Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    Ndugu zanguni ni kweli pesa ina mvuto wa Mapenzi mpaka ikafikia kipindi mtu ukavutiwa kimapenzi na mtu flani kwa sababu ana pesa? Ni kweli pesa ni moja ya chambo katika mapenzi? Pesa unaweza ukaitumia kuvuta wapenzi wengi na wakakubali kutokana na pesa yako? Ni kweli pesa ina mvuto katika penzi...
  15. Mystery

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais Magufuli kumuagiza Waziri wa Fedha atoe pesa shilingi bilioni mbili toka Hazina ni sahihi?

    Wananchi wote tumemsikia Rais Magufuli akimuagiza waziri wa Fedha, Dkt Philipo Mpango "achote" pesa kiasi cha shilingi bilioni mbili kwenye Hazina ya Taifa, ndani ya saa 24 na awaletee wakandarasi ili zikamilishe ujenzi wa Ikulu wa Chamwino na akaendelea kumpiga mkwara mzito waziri huyo kuwa ole...
  16. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Video: Wazee wa Sheria kibongobongo mbona hua hamli pesa za bure hizi

    Tahadhari: Kama ulikimbia umande hii haikuhusu maana yai linatemwa na mwenye yai mwemyewe
  17. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Miaka mitatu ya jasho kwenye Forex na ukweli mchungu niliojifunza, still 'GAME ON'!

    Niseme tu ukweli, upepo wa Forex ulivoingia Tanzania na mimi sikuwa nyuma. Nilijitoa na mimi kimasomaso kuisaka fursa. Kwa takribani miaka 3 kwenye game la Forex, imekuwa ni miaka ya kujifunza zaidi. Sikuweka nia ya kupata chochote kwa mda wa short term. Niliamua kupeleleza sana hii biashara...
  18. MC RAS PAROKO

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia kabla hujaanza matumizi ya pesa

    Kwa muda huu kila jambo ni gumu kwa sababu hakuna aliyeona au kuhis haya yangetokea ktk kizaz chetu. Ila yameshatokea na yametupa mafundisho ambyo hakuna aliyewahi kufkir angeyasoma kwa njia ngumu kiasi hiki. Si biashara si ajira kila mmoja anapigania uhai wake, Nitakupa mbinu 5 kwa leo ambzo...
  19. Mshiiri

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufungua akaunti ya paypal na usalama wake

    Dear all Have registered for a new paypal account using the CRDB debit card and that my account was charged by paypal US$ 1.95 and the code sent to the bank. On requesting the bank statement I do not get the paypal code but the transaction code through my bank. How one get the PAYPAL CODE...
  20. Joyce joyce

    JamiiForums Tanzania Hii ya Dkt. Chriss Mauki mnaionaje wakuu? Huyu si muharibifu wa ndoa za watu?

    Wakuu, huko kwenye twitter nimeona wanaume wakimshambulia Ndugu Chris Mauki kutokana na bandiko lake aliloweka huko kuwa wanaume ambao wanaombwa hela na wake zao na kusema kuwa kuna Jambo nafuatilia kila Siku wanasema hivyo, Chris Mauki anasema kuwa hao wanawake wanapaswa kujua kuwa wameolewa na...
Back
Top Bottom