Tabia ya watu kuniomba pesa kuwaacha wenye pesa inatokana na nini?

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,223
6,467
Habari za majukumu wadau wenzangu.

Nimekuwa nikiombwa hela na watu tofautitofauti tangu nikiwa Mdogo kabisa. Nilipokuwa nasoma shule, nikirudi likizo watu huniuliza una buku hapo?

Hadi leo nahangaika na maisha yangu bado mizinga ni mingi. Mfano kuombwa Shililingi 200, 500, 1000, 5000, 10000 na wengine wakizidi hapo watajifanya wanakopa na hawanirudishii.

Kuna watu mtaani na hata ndugu zangu wenye uwezo kuliko mimi lakini siwaoni wakiombwa hela na watu. Nimewahi kuwauliza wakasema hakuna anayethubutu kuwaomba hela.

Hapa Kuna mtu ananisumbua tangu jana anaomba elf tano tu. Mwezi wa pili nilimpa elf 12 bure kabisa. Sasa karudi tena. Hali hii inatokana na nini? Napatwa na wasiwasi.
 
Hongera una nyota ya Mother Teresa,unaroho nzuri pia kama sio wewe utatusua basi ur generation watakuwa Royal families.
Endelea kutoa boss hata saninui lazier nasikia alikuwa sio mchoyo MTU wa watu.
Mkuu unanitia moyo wakati Mimi imefikia hatua nawafokea!
 
Utakuwa na kitambi.
Habari za majukumu wadau wenzangu.

Nimekuwa nikiombwa hela na watu tofautitofauti tangu nikiwa Mdogo kabisa. Nilipokuwa nasoma shule, nikirudi likizo watu huniuliza una buku hapo?

Hadi leo nahangaika na maisha yangu bado mizinga ni mingi. Mfano kuombwa Shililingi 200, 500, 1000, 5000, 10000 na wengine wakizidi hapo watajifanya wanakopa na hawanirudishii.

Kuna watu mtaani na hata ndugu zangu wenye uwezo kuliko mimi lakini siwaoni wakiombwa hela na watu. Nimewahi kuwauliza wakasema hakuna anayethubutu kuwaomba hela.

Hapa Kuna mtu ananisumbua tangu jana anaomba elf tano tu. Mwezi wa pili nilimpa elf 12 bure kabisa. Sasa karudi tena. Hali hii inatokana na nini? Napatwa na wasiwasi.
 
Habari za majukumu wadau wenzangu.

Nimekuwa nikiombwa hela na watu tofautitofauti tangu nikiwa Mdogo kabisa. Nilipokuwa nasoma shule, nikirudi likizo watu huniuliza una buku hapo?

Hadi leo nahangaika na maisha yangu bado mizinga ni mingi. Mfano kuombwa Shililingi 200, 500, 1000, 5000, 10000 na wengine wakizidi hapo watajifanya wanakopa na hawanirudishii.

Kuna watu mtaani na hata ndugu zangu wenye uwezo kuliko mimi lakini siwaoni wakiombwa hela na watu. Nimewahi kuwauliza wakasema hakuna anayethubutu kuwaomba hela.

Hapa Kuna mtu ananisumbua tangu jana anaomba elf tano tu. Mwezi wa pili nilimpa elf 12 bure kabisa. Sasa karudi tena. Hali hii inatokana na nini? Napatwa na wasiwasi.
Tabia yako ya kuonyesha una pesa hata kama huna.
 
Mkuu hebu naomba elfu mbili tafadhali...
 
Wanakuomba hela na wataendelea kukuomba sababu huwa unawapa. Ukiwanyima huenda wakakuchukia.
 
Back
Top Bottom