Mara, Kigoma, Tabora, Kagera wagombe CCM ni PhD, mikoa ya pwani Morogoro, Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga ni kujua kusoma, kuandika na pesa

T2020

Senior Member
Jul 15, 2020
131
328
Halafu mtu analalamika kuwa JPM anapendelea wabunge wa mikoa ya bara katika kuunda Baraza la Mawaziri. Tunapoingia uchumi wa kati ndugu zangu changueni wabunge wasomi.

Hawa ndio wenye sifa ya kumsaidia mhe. JPM. Achaneni kumchagua mtu kwa vigezo vya pesa, mnasikia ndugu zangu hasa wa mikoa ya pwani. Najua mikoa yenu ina baadhi ya watu walioenda shule msiangalie pesa hizo pesa zitatatua matatizo yako ya leo na utaendelea kuwa katika matatizo miaka mitano yote.

Achanane kuchagua wabunge kwa vigezo vya pesa. Pesa utakula leo kesho njaa kama kawa. Magufuli ili ku-balance siasa analazimika kuwachagua wabunge wenu weupe kichwani kwa kukosa wenye sifa.

Achaneni na wafanyabiashara pesa pingeni kura wanyimeni.
 
kuna jamaa jana amesikitika kuona prof kapuya anagombea tena,jamaa anadai amekuwa akimsikia yupo serikalini miaka na miaka
 
Hivi huko Mara si ndio Luna akina Lameck Airo, Ester Matiko, John Heche & the like. Kigoma kuna Peter Serukamba, Zitto na wengine wengi wenye elimu ya kidato cha nne.

Hizo PhD zinatoka wapi.

Halafu Kigoma na kanda ya ziwa si ndiyo wanaongoza kwa umaskini!?

Huko kusini, vibarua wanaofanya kazi kwenye mashamba ya korosho ni Wasukuma na Wagogo. Kwa maana wasiosoma wanawatumikisha wasomi.
 
Mleta uzi muda huu ungeutumia kutafuta watoto na mumeo badala ya kuleta huu uharo
 
Back
Top Bottom