pesa

  1. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Hivi wale waliokua watundu sana udogoni, ukubwani wakizishika pesa huwa inakuwaje?

    Kwenye maisha yetu ya kila siku na JAMII inayotuzunguka Kuna watu hutokea kuwa WATUNDU Sana.... Mpaka wengine kupewa jina la "TOTO TUNDU" Hivi watu wa Aina hii WAKIZISHIKA pesa a.k a mapene au chapaa za maana katika maisha yao huwa hawaishiwi vituko na vioja. Embu tupeane vimbwanga vyao.....
  2. Feld Marshal Tantawi

    JamiiForums Tanzania Fahamu tabia za Wanawake wanaopenda zaidi pesa

    1. Huwa na tamaa ya mambo yasiyo ya lazima. Wanawake wengi wapendao pesa huwa na tamaa ya mambo yasiyo ya lazima, mambo ambayo hayagusi maisha moja kwa moja. Hata nilipokuwa chuo wanawake wengi waliokuwa wanapenda pesa Sana walikuwa na tamaa za kusikitisha ambazo zilipofusha fahamu zao. Unakuta...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mnaua biashara na mzunguko pia wa pesa

    Ndugu zangu TRA mimi naomba niwaambie ukweli mnauwa biashara siwafichi nasema ukweli ukweli mtupu. Mnauwa biashara na mnaenda kuuwa secta ya fedha kabisa. Hivi mnajuwa watu wanatoa pesa bank na hawataki kusikia akaunti? Hivi mnajuwa hizi estimate mnawapa watu zinawafanya kufunga biashara na...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Halima Mungereka: Hii pesa inayotumika kuwanunua/kuwatesa wapinzani Haiwezi saidia viwanda vya sukari kukidhi mahitaji na kuzalisha ziada?

    Hii pesa inayotumika kuwanunua wapinzani na inayotumika kisiasa kuwatesa wapinzani Je, haiwezi kusaidia viwanda vya sukari kuzalisha kukidhi mahitaji ya ndani na kuzalisha ziada? Nchi kama Uganda ndio ya kuisaidia Tanzania Sukari na hawajawahi kuwa na uhaba wa sukari, je wao ndio wanayo...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapokea Msaada wa Dawa ya kufubaza COVID-19 kutoka Madagascar

    Serikali ya Tanzania imepokea msaada wa dawa ya kutibu na kujikinga na ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na Virusi vya Corona uliotolewa kwa Tanzania na Nchi ya Madagascar, Msaada huo umepokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje Prof Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi. Ndege maalum ya ujumbe...
  6. chakii

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Wabunge watoro warejeshe fedha zote walizolipwa kuanzia Mei 1-17 jumla ya Tsh. Milioni 110

    Spika Job Ndugai amesema wabunge wa CHADEMA ambao hawashiriki vikao vya bunge kwa madai kuwa wapo karantini wanahesabika kama watoro na wanatakiwa kurejesha fedha zote walizolipwa kwa kipindi ambacho hawatakuwepo bungeni. Pia wamepaswa kufanya kipimo cha Covid19 kabla hawajaingia bungeni ==...
  7. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Mkanganyiko: Waziri Kamwelwe ahofia noti kusambaza Corona, huku BOT walidai hazisambazi. Tushike la nani?

    Hakuna sababu ya msafiri kutembea na pesa mkononi, hata wanaopandia njiani ni wakati wa kuwa na pesa kwenye simu, kwa kuwa hatuna uhakika iwapo ugonjwa huu utaeneo hadi kwenye noti, ni lazima kuwa na njia nyingi za udhibiti,”- Waziri wa Ujenzi Isack Kamwelwe. Pia soma> BoT: Pesa ya Tanzania...
  8. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Wenye watoto wa kike wafundisheni binti zenu kujitegemea, wasitegemee pesa ya mwanaume

    Sijui ni dhiki ama ni tabia. Mabinti wengi wa kitanzania wanawaza pesa za mwanaume tu. Utasikia mwanaume lazima uwe na hela, maanaume asie na hela simtaki, sijui vitu gani. Mabinti wengi wa kitanzania wanajifunza tabia za kikahaba toka wakiwa wadogo, wanawaza pesa za mwanaume tu. Ni kweli...
  9. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Pesa kidijitali: Njia nyingine kusaidia mapambano dhidi ya maambukizi ya coronavirus

    Toka kuingia kwa virusi vya coronavirus nchini njia mbalimbali zimechukuliwa na zinaendelea kuchukuliwa kuzuia kasi ya maambukizi.Taasisi za elimu zimefungwa, hoteli mbalimbali, mikusanyiko imezuiwa na kupungua kwa mfano Mapinduzi Day, na njia nyingi za kuelimisha umma zinafanyika kuhakikisha...
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya wanaume akishajua una pesa na kwake hali ni ngumu

    Kwanza mwanaume akishakuzoea romance zinapungua anaanza ubinafsi wa kujiridhisha mwenyewe. Hapo ameshatoka kunywa bia zake utasikia mimi ninalala kesho nina mkutano wa muhimu sana. Sasa hii corona si unajua michongo mingi imekata. Ile hela ya bia hana sikuhizi anashinda nyumbani na bukta...
  11. Apps-tz

    JamiiForums Tanzania Je, unahitaji kupata historia sahihi ya matumizi ya pesa zako? Tumia njia hii

    Bila shaka unaweza ukawa ni mmoja ya watu ambao ulishawahi kufanya miamala na ukahitaji kupata historia ya miamala yako yote kwenye mpangilio mzuri, ili uweze kubajeti pesa zako au kufahamu vizuri matumizi yako. Lakini changamoto ni kwamba kuna ugumu katika kupata historia ya matumizi yako hasa...
  12. guwe_la_manga

    JamiiForums Tanzania Nautafuta wimbo wa reggae unaoitwa Money Money pesa ulioimbwa na mbongo miaka ya 90

    Wakuu kwema? Kuna msanii wa reggae mbongo jina limenitoka Aliimba nyimbo nyingi ila ninayoikumbuka sana ni ile ya Money Money Pesa Nyimbo hii iliimbwa miaka ya tisini Kwa anayemjua msanii na mwenye wimbo auweke hapa Natanguliza shukrani
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Tunza pesa yako, muda si mwingi nyumba itauzwa hadi kwa milioni 1-2

    Katika mambo muhimu mwanadamu anatakiwa kuwa nayo mojawapo ni kuwa na macho yaonayo mbele sana, macho ya kufanya forecasting. Ukiwa na macho hayo utaweza kuepuka hasara nyingi. Utaweza kujua sasa ni wakati wa kulima matikiti, vitunguu au nyanya na hautalima tu maadamu Juma kavuna nyanya nyingi...
  14. technically

    JamiiForums Tanzania Tuna akiba ya pesa dollar bilion 5.3

    Za kuweza kuendesha serikali kwa miezi 6 bila kukusanya kodi hata nchi ikiwa na janga au vita Mkuu alinukuliwa zaidi ya mala 5 akisisitiza. Yeye yupo anachangiwa na wakina Rostam,* Anachangiwa na wachina, anachangiwa na walahoi wa bongo, anaomba mkopo IMF wa 190+US dollar million. Kumbe...
  15. Pdidy

    JamiiForums Tanzania DC Hai atengua uhamisho wa Mkuu wa Shule ya Sekondari Lyamungo, anusa harufu ya upigaji pesa ya ukarabati

    Iko hivi, Serikali ilitoa milioni 700+ kwa ajili ya ukarabati wa shule. Pesa imeingia kama leo, kesho yake headmaster anapokea barua ya uhamisho kwenda shule nyingine wilaya hiyo hiyo kama headmaster. Kisa cha kuhamishwa anadaiwa kutokuwa na mahusiano mazuri na wenzake, pia hakupewa muda wala...
  16. Parabora

    JamiiForums Tanzania Baba Mkwe kapanga kunipa zawadi ya nyumba, viwanja na pesa za mtaji kama zawadi nikimuoa binti yake. Tatizo nimepoteza hisia na binti yake

    Niko kwenye mahusiano na mdada mmoja ambaye tulikutana kwa mara ya kwanza masomoni UBELGIJI miaka 6 iliyopita, nilimpenda sana na kwa kweli tuliishi nae mda mrefu bila kukwichikwichi kutokana na misimamo yake... Huyu mdada kwetu anajulikana na kila ndugu wa karibu na hata kwao najulikana na wote...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Watumishi wa umma tukatwe mishahara walau asilimia 2 pesa ikasaidie Serikali kupambana na Corona

    Kwanza niseme wazo kuwa mimi ni muumini wa ahadi za MwanaTANU. Ambapo msisitizo ni uzalendo kwa nchi. Nikiwa Mtumishi wa umma huku nikiiona changamoto ya kupambana na covid-19 napendekeza serikali itukate watumishi wa umma wote walau asilimia mbili za mishahara yetu na pesa iende kusaidia...
  18. teledam

    JamiiForums Tanzania Anayetengeneza pesa analipwaje?

    Habari zenu wadau,naamini wengi wetu tupo poa sana licha ya tishio/janga lilipo mbele yetu. Nina imani kubwa kwamba pamoja na jitihada zetu kujikinga Mwenyezi atatuepusha na hili. Nisiwachoshe waungwana, Nafikiri tupo wengi ambao hatufahamu mchakato mzima ni jinsi gani kampuni ama taasisi...
  19. Miki123

    JamiiForums Tanzania Kumbe Marekani inaikamua Korea Kusini pesa ya ulinzi kiuonevu

    Kama unadhani Marekani huwa hafurahishwi na makombora ya korea kaskazini basi jua unajidanganya. Makombora ya korea kaskazini yamekuwa ni mtaji mkubwa wa marekani kuishurutisha korea kusini kulipa kiwango kikubwa cha pesa kwa ajili ya ulinzi. Hivi karibuni Ikulu ya marekani imeitaka korea...
  20. M

    JamiiForums Tanzania China ina dawa ya CORONA, kinachosubiriwa Ni ugonjwa huu kupamba Moto ulimwengu mzima ili apige pesa

    Kwa wenye akili kubwa watakubaliana na Mimi kuwa nchi ya China tayari in dawa ya ugonjwa wa CORONA, ila kwa kuwa hii ni Vita ya kiuchumi, wanasubiri nchi nyingi zikabwe barabara na ugonjwa huu Kisha wapige pesa kwa kuziuzia dawa. Time will tell.
Back
Top Bottom