Kwa muda mrefu hivi sasa kumekuwa na propaganda kuhusu utafunwaji wa Pesa za Mfuko wa Jimbo huku wengi wakimtuhumu Halima Mdee, Mbunge wa Kawe kuzitafuna pesa hizo!
Ingawaje waendesha propaganda hawa wanataka kuaminisha watu kwamba mkwamo wa Jimbo la Kawe unatokana na ulaji wa fedha za jimbo...