Fahamu namna ya kujua kirahisi sehemu yenye mzungunguko wa pesa Tanzania

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,905
Ukitaka kujua wapi Kuna mzunguko mkubwa wa pesa angalia wafanyabiashara wafuatao Kama wapo wengi
1.Wahindi
2.Wachaga
3.Wapemba
4.Waarabu
5.Wakinga

Pia Ukiona eneo Lina Baa nyingi mzunguko wa pesa eneo Hilo Ni mkubwa

Pia Ukiona eneo Lina makanisa au misikiti yenye majengo mengi makubwa na watu wengi .Eneo Hilo Lina mzunguko mkubwa wa pesa
 
YEHODAYA,
Kwa hiyo tukae mkao wa kuka kuelekea Chato? Maana kama ni majengo makubwa yanajengwa na bar zinaongezeka
 
Back
Top Bottom