Njoo nikufundishe njia za kumwacha kwa aibu msichana mpenda pesa

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,580
7,938
Kwa dunia ya leo iliyojaa technology mabinti wengi hasa wa bara la Afrika wamejaa tamaa.

Imefika wakati wamejigeuza kuwa bidhaa. Kila mmoja kajipa level yake ya uchunaji. Tamaa ya nguo za gharama, laptops, simu, viatu, handbags, gari n.k vimesababisha waone K zao ni bidhaa.

Mwanaume mwenzangu sasa ikiwa kwa bahati mbaya umeingia kwenye mahusiano na binti mpenda pesa hapo inakupasa kukimbia haraka ili unusuru future yako. Mpe pesa kidogo then kuwa busy, usijishughulishe naye. Akiku-text zile sms za lawama mjibu hivi:

1. Kwani unanidai?
Tulifanya sex nikakulipa pesa, endapo kuna siku nilikutafuna bure niambie tujue nalipa vipi hilo deni.

2. Mimi sioni umuhimu wa kuwa na wewe kwasababu sijawahi pata chochote kwako zaidi ya K ambayo hata kichaa anayo. Au unaweza kuniambia kitu ulichokifanya kwangu kuonyesha tupo pamoja?.

Usimuonee haya demu mpenda pesa zako, utakuja kufa maskini au na UKIMWI. They always don't care about your soul, wanachotazama ni note zako tu.

Kuna wanaume wengine mimi nawachapaga makofi. Anajisifu demu ananipenda, ukimuuliza kakufanyia nini huyo demu atakuambia ananiambia kila wakati Joni nakupenda sana n.k n.k. Hata socks hajawahi kumnunulia.
 
Wakinamama huzaa watoto wao na kuwakuza kwenye mazingira magumu na ya ajabu mno. Mtoto anazaliwa on street anakulia vichochoroni, anapigwa makonzi na matusi ya nguoni na mama yake. Au anazaliwa sokoni analelewa sokoni na wabeba mizigo mitusi na maneno yote ya kishenzi anakuzwa nayo akitambua anaachwa apuyange soko zima anafundishwa uchafu wote bila huruma. Au anazaliwa kwenye kichumba ambacho mama yake huleta majanaume wanakiweka pembeni huku wakifanya ufuska wao mbele ya katoto kale. Uhakika wa asilimia zote ni kuwa katakuwa uncivilised bitterly inside. Amini Mtoto huyu akikua ustaarabu wake na wapi umekuziwa utaonekana kwenye arguments zake
 
Mnajiheshimu wapi, mnaogopa kutukana wakunga

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana bwana..... sema ukiwakataa wa hivi utawapata wapi hao ambao wapo perfect?

Wanawake karibu wote wapo hivyo sasa hivi...kama ni kuambiwa wanapendwa washaambiwa saana. Gear iliyobaki ni kiwatimizia shida zao.

Nao wanalijua hili...sasa kwenye kuwatimizia matatizo yao ndiyo wamegawanyika...wapo walafi na wanaoridhika na kidogo.
 
Back
Top Bottom