Isaya Mwita ni kikwazo cha CCM kuchota Pesa ya uchaguzi kwenye Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam, ndio chanzo cha kuwekewa zengwe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,490
215,332
Wakuu hii ndio sababu kubwa ya CCM kutaka kumuondoa Meya wa Jiji la Dar es Salaam , hakuna sababu nyingine yoyote ile.

Mwita anatuhumiwa kuzuia matumizi ya zaidi bil 5 ambazo ni mgawo kutoka UDART, Je, ni matumizi gani hayo yaliyotakiwa kufanywa na kwanini yamezuiliwa ? Hakuna mwanaccm atakayejibu swali hili , kwamba sijui matumizi mabaya ya gari la Halmashauri hizo ni porojo tu .

Tutaendelea kumwaga taarifa zao za siri kwa kadri wafichua maovu wanavyotuletea , Endeleeni kubaki hapahapa Jf .

KAMA MMBWAI NA IWE MMBWAI .
 
Nilichokisikia Jana kwa mbunge kubenea jiji lina wawakilishi majizi hatari.yaani mkurugenzi anaongoza kuhamasisha dili za kifisadi
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom