Anafanya majukumu yote ya ndani lakini si pesa ya urembo wangu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,272
Majukumu yote ya ndani anayafanya hata kunyoa watoto wa kiume nywele J’mosi ni jukumu lake. Ananunua chakula, umeme, ada za shule, nguo za watoto.

Kusuka nywele zangu amesema ni jukumu langu na pia kupendeza. Hataki nimuaibishe tukipata mialiko niwe nadhifu. Haulizi mshahara wangu ni kiasi gani wala haombi pesa yangu.

Nimfundishe vipi kutunza mke?
 
nimfundishe vipi kutunza mke?
"Mwanamke mpumbavu" ndio huyu tulie ambiwa kwenye vitabu vya dini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungekuwa hauna mshahara angekuwa anakuhudumia pia tena sana tu, sema labda ubinafsi kwako umezidi ndo maana anaona aache uhangaike na urembo wako kwasababu unaweza kujihudumia, kama hauna ubinafsi saaaana kwenye pesa ako mwambie na wewe unatamani kuhudumiwa naye vile unafeel ukipendeza kwa sababu yake yeye!
 
Back
Top Bottom