Vijana tafuteni pesa uzee mwisho Chalinze

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,273
1611524347024.png

Mjini ukiwa na pesa wewe ni babe.
 
Dunia hii ukiwa na pesa kila mtu anakuona ww ndio una busara, hekima, na hata upendo, watakusifia kweli.. ili uwasaidie. Kwa hio, yeah, pesa inanunua vyote hivyo sababu mwenye $$ ndio anaonekana ana hekima na busara zaidi ya wengine.
Kuna Kaka yangu anaivuruga familia na kuisambaratisha familia yetu ila kwa sababu ana pesa huwa anaonekana kama Mungu mtu.Huwa anaonekana kuwa ana busara nyingi,upendo na hekima.
 
Kuna mmoja nilikutana nae, mtu wa mazoezi sana. Aliponiambia amegonga 80 sikuamini. Amevaa jeans ens trainers.
Yani kupenda hakuzeeki lakini. Imagine yule mzee wa 80 anachukua dogo dogo kwenda guest. Ila umri huo afadhali kuoa kabisa hio hio dogo dogo unakaa nayo tu muda wote anakufariji. Sio tena kukimbizana guest. Mambo ya Mengi (RIP) na Jackie
 
Money can buy kila kitu including happiness.
Matatizo ambayo pesa haiwezi kutatua hata ukiwa huna pesa pia hauwezi kutatua.
Nakubaliana Nawe asilimia Zote Mkuu.
HAKUNA USEMI WA KIJINGA NA KIFWALA KAMA ULE ETII. Money CANNOT but happiness. Ila ndio misemo kama hio ipo Kuwafariji WALIOKATA TAMAA KABISA. Sie jomon tuendelee kupambana. Hakuna mtu anazaliwa na $$$. Ila mape$$$a yapo sana mtu ukipambana na kucheza kamari zako vizuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom