Ukweli mchungu: Mwanaume anayejitegemea na mwenye vijihela vya kubadilisha mboga hawezi kuachwa na mwanamke

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
286
1,000
Wanaume wenzangu tafuteni pesa tengenezeni maisha yenu hakikisha kwa umri wako, Una gheto lako liko fresh Lina kila kitu.

Lakini pia hela ya kubadilisha mboga haikupigi chenga. Nakuhakikishia hakuna mwanamke atayekuacha ukiona umeachwa ujue una tatizo.

1623394224598.png

Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
13,614
2,000
Wanaume wenzangu tafuteni pesa tengenezeni maisha yenu hakikisha kwa umri wako

Una gheto lako liko fresh Lina kila kitu

Lakini pia hela ya kubadilisha mboga haikupigi chenga

Nakuhakikishia hakuna mwanamke atayekuacha ukiona umeachwa ujue una tatizo
"Ukiona umeachwa ujue una tatizo" tatizo lenyewe ni upungufu wa hela.

Well mwanamke atakuacha hata akichukia harufu yako. But its all depends nn kimemleta kwako
 
LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
3,483
2,000
Wanaume wenzangu tafuteni pesa tengenezeni maisha yenu hakikisha kwa umri wako

Una gheto lako liko fresh Lina kila kitu

Lakini pia hela ya kubadilisha mboga haikupigi chenga

Nakuhakikishia hakuna mwanamke atayekuacha ukiona umeachwa ujue una tatizo
Mkuu umenena kabisa wanaokuja kukupinga wakupinge , kuna dem namtafuna mwaka na nusu sasa sababu ya uzembe wa jamaa yake kibrazamen wavaa soksi wale kazi yao ni kut...mb tu kuhudumia hawajui

Dem alikuwa anampenda jamaa hadi whatsapp anakuweka dip, ukiambiwa hamna mwanamke anayekaa sehem ya kupauka kubali aisee, yule dem skumoja nilitoka nae out tu nikamlambisha kuku , nikamleta hom kwangu akakuta kupo full, ndio mazima nikaanza kumla na kugaramia nagaramia hadi leo mwaka wa pili natafuna na heshima anayo ya kutosha na kile kibrazameni chake kinalialia hadi kesho

Jamani tafuteni hela
 
Perth

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
3,011
2,000
Tusidanganyane ukweli ukishindwa kumfikisha vyema hakika utagongewa hadi na waosha magari nakuapia kwa jina la kristo, mpe kitom heavy nakuakikishia atokuacha pesa wapo wenye pesa zao tena kumzid mwanaume so jitahid mambo ya chumbani ujue mwili wa mwanamke utendee haki
 
Intelligent Electronics

JF-Expert Member
Jan 19, 2020
673
1,000
Tusidanganyane ukweli ukishindwa kumfikisha vyema hakika utagongewa hadi na waosha magari nakuapia kwa jina la kristo, mpe kitom heavy nakuakikishia atokuacha pesa wapo wenye pesa zao tena kumzid mwanaume so jitahid mambo ya chumbani ujue mwili wa mwanamke utendee haki
You might be a kid...

Wanawake na viumbe vya kike vinataka viumbe vya kiume vitakavyohakikisha future ya Watoto wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
3,483
2,000
Tusidanganyane ukweli ukishindwa kumfikisha vyema hakika utagongewa hadi na waosha magari nakuapia kwa jina la kristo, mpe kitom heavy nakuakikishia atokuacha pesa wapo wenye pesa zao tena kumzid mwanaume so jitahid mambo ya chumbani ujue mwili wa mwanamke utendee haki
Boss pesa pesa pesaa, mi nishachapa madem wengi wa mabrazamen msingi viuno sababu hawajui kuhudumia, kata viuno na pesa hudumia la sivyo utakuja kulia lia
 
kawoli

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
6,045

Hajasema hutogongewa. Amesema hutoachwa.
 
Perth

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
3,011
2,000
Boss pesa pesa pesaa, mi nishachapa madem wengi wa mabrazamen msingi viuno sababu hawajui kuhudumia, kata viuno na pesa hudumia la sivyo utakuja kulia lia
Ilo la future ni jukumu la baba na mama,cha msingi piga show alafu mengine mtapanga tu tofauti na hapo kubali kugongewa ,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom