Rushwa kushinikiza Bandari ya Bagamoyo: Nani anatoa Pesa?

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
2,397
2,000
Kuna clip inaonyesha mama akipiga chapuo kujengwa kwa bandari ya Bagamoyo Kwa PP.

Naomba kuuliza wanajamvi yafuatayo:
1. Kwanini njia pekee ya kujenga bandari ya Bagamoyo iwe ni Kwa ubia pekee? Kwanini tusijenge Kwa mtindo wa reli ya SGR?

2. Je, Kenya nayo ikapunua bandari na msumbiji? Na Congo Kwa njia ya Ubia Kwa huyu mtu huyu huyu akashindwa kupata Hela zake akakalia bandari Kwa miaka mingi Zaidi.

3. Inamaana hatujifunzi ya Kenya baada ya kuingia mkataba wa PP hawarusiwi kueneleza reli yoyote.

4. Haraka ya Serikalini ya awamu ya Sita Ni nini?

5. Tanzania haijawahi kunufaika Na mkataba wowote wa ubia toka NBCbank Reli, Maji, Umeme, Viwanda kila sehemu
 
iMind

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
2,389

Naomba kuuliza wanajamvi yafuatayo.
1.Kwanini njia pekee ya kujenga bandari ya Bagamoyo iwe ni Kwa ubia pekee? Kwanini tusijenge Kwa mtindo wa reli ya SGR?

2.Je Kenya nayo ikapunua bandari na msumbiji? Na Congo Kwa njia ya Ubia Kwa huyu mtu huyu huyu akashindwa kupata Hela zake akakalia bandari Kwa miaka mingi Zaidi.

3. Inamaana hatujifunzi ya Kenya baada ya kuingia mkataba wa PP hawarusiwi kueneleza reli yoyote.

4.Haraka ya Serikalini ya awamu ya Sita Ni nini?

5.Tanzania haijawahi kunufaika Na mkataba wowote wa ubia toka NBCbank Reli, Maji, Umeme, Viwanda kila sehemu
Mama hajashinikiza kujengwa kwa bandari ya bagamoyo. Kwanza clip unayo isema alikuwa anaongelea bandari ya Dar es Salaam. Hoja yake ilikuwa kwa nini tunaipanua kwa vipande vipande? Yeye anaona ni bora aipanue yote hata kama itabidi atumie fedha za wawekezaji.

Msingi wa hoja ya Rais uko kwenye kitu kinanacho itwa opportunity cost. Hoja ya mama iko hivi, kwa mfano sasa tunavyo jenga vipande vipande itatuchukua miaka 30 kumaliza. Je katika kipindi hiki cha miaka 30 tutakuwa tumepoteza kiasi gani. Je kwa mfano tukichukua mwekezaji akaweka hela sasa hivi...bandari ikapanuliwa yote..je tutakuwa tumepata faida kiasi gani au hasara kiasi gani baada ya miaka 30. Kupata jibu ni mpaka ufanye analysis nanuwe na data.

Tatizo kubwa ambalo naliona vichwani mwa watu wengi ni kuto elewa uchumi wa nchi unavyo endeshwa. Na pia mazoea ya kwamba bandari, reli ni lazima zijengwe na serikali ndo nchi itapata faida.

Nawahakikishia..tunaweza tuka binafisisha reli zote, barabara zote, bandari zote n.k na nchi ikawa na mapato ya kutosha zaidi na ika imarika zaidi.

Kazi ya serikali siyo ku run hizo tediuos processes...kazi ya serikali ni kukusanya kodi na kuzitumia katika huduma za jamii.
 
thetallest

JF-Expert Member
Oct 21, 2017
7,285

Kifupi roho ya uchiy wa nchi ibinafishwe?, hopeless kabisa!
 
Rogojin The Idiot

JF-Expert Member
Jul 25, 2017
1,839

Tusije kuiuza Tanzania tu. Itakuwa ni laana kwetu
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
7,433

Wakenya walijaribu huu mpango wako kwa SGR yao sasa wanajuta, wachina wanabeba kila kitu, hii dezo ya kumuachia mtu afanye kwa pesa yake ili baadae achukue mapato kwangu naona ni ujinga.
 
Je hakuna sehemu ambako mpango huu umefanya vizuri? Nadhani mfumo si tatizo, tatizo lipo kwenye terms. Mikata ya PPP yaweza kuwa ya aina tofauti..Build Operate Transfer, Build and Own etc.
 
King Bill

JF-Expert Member
Feb 8, 2021
685
1,000
Wakenya walijaribu huu mpango wako kwa SGR yao sasa wanajuta, wachina wanabeba kila kitu, hii dezo ya kumuachia mtu afanye kwa pesa yake ili baadae achukue mapato kwangu naona ni ujinga.
Mnasumbuliwa kukosa exposure!

Miradi mingi ya bandari za kisasa duniani inajengwa kwa utaratibu wa PPP na mafanikio ni makubwa!
 
The Khoisan

JF-Expert Member
Jun 5, 2007
13,334
2,000
Kuna clip inaonyesha mama akipiga chapuo kujengwa kwa bandari ya Bagamoyo Kwa PP.
Naomba kuuliza wanajamvi yafuatayo.

1. Kwanini njia pekee ya kujenga bandari ya Bagamoyo iwe ni Kwa ubia pekee? Kwanini tusijenge Kwa mtindo wa reli ya SGR?

2. Je, Kenya nayo ikapunua bandari na msumbiji? Na Congo Kwa njia ya Ubia Kwa huyu mtu huyu huyu akashindwa kupata Hela zake akakalia bandari Kwa miaka mingi Zaidi.

3. Inamaana hatujifunzi ya Kenya baada ya kuingia mkataba wa PP hawarusiwi kueneleza reli yoyote.

4. Haraka ya Serikalini ya awamu ya Sita Ni nini?

5. Tanzania haijawahi kunufaika Na mkataba wowote wa ubia toka NBCbank Reli, Maji, Umeme, Viwanda kila sehemu
Huu ujamaa sijui utatutoka lini... Yaani mawazo yetu ni kuwa kila mali lazima imilikiwe na serikali. Tubadilike!!

Private sector ikimiliki tatizo liko wapi. Cha muhimu ni Kuja na sheria na Taratibu nzuri za kupata kipato cheti.... Hata wakimiliki kwa miaka 100 ni sawa tu. Nchi kama RSA au USA utaikuta mpaka barabara zinaxomilikiwa na kampeni binafsi... Na mambo bado yanaendelea kama kawaida. Kitu kama hiki ni unthinkable Tanzania.
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
14,759

Maswali mazuri sana. Hii bandani ina kila aina ya ''uchafu''. Vizazi vijavyo vitashutumu sana. Tunajua zimemwagwa ahadi za posho nono kwa wanasiasa iwapo mradi utapita. BTW tunaomba tuone clip kama unayo.
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
14,759
2,000
Huu ujamaa sijui utatutoka lini... Yaani mawazo yetu ni kuwa kila mali lazima imilikiwe na serikali. Tubadilike!!

Private sector ikimiliki tatizo liko wapi. Cha muhimu ni Kuja na sheria na Taratibu nzuri za kupata kipato cheti.... Hata wakimiliki kwa miaka 100 ni sawa tu. Nchi kama RSA au USA utaikuta mpaka barabara zinaxomilikiwa na kampeni binafsi... Na mambo bado yanaendelea kama kawaida. Kitu kama hiki ni unthinkable Tanzania.
Tatizo liko private sekta kumiliki sehemu nyeti kama bandari ya nchi. Hizo sheria na taratibu unazosema ni changa la macho kwa sababu zinatumika ''nguvu'' kubwa kuwahonga watu ili mradi upite. Majanga.
 
Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
8,042

Kuna watu ni wajinga Sana.
Private sector sio shida, Ila si kila sehemu unaweza kuiachia private sector iendeshe. Nu sawa na leo useme TRA nayo tuwaachie private sector, Benki kuu na jeshi nayo tuwaachie private sector
 
Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
8,042
2,000
Huu ujamaa sijui utatutoka lini... Yaani mawazo yetu ni kuwa kila mali lazima imilikiwe na serikali. Tubadilike!!

Private sector ikimiliki tatizo liko wapi. Cha muhimu ni Kuja na sheria na Taratibu nzuri za kupata kipato cheti.... Hata wakimiliki kwa miaka 100 ni sawa tu. Nchi kama RSA au USA utaikuta mpaka barabara zinaxomilikiwa na kampeni binafsi... Na mambo bado yanaendelea kama kawaida. Kitu kama hiki ni unthinkable Tanzania.
Tatizo sio private sector, tatizo ni aina ya sehemu ya kuwekeza. Kuna sehemu ni nyeti. Mfano; Bandari, TRA, Bank kuu sehemu Kama hizo huwezi kuachia private sector.
Pia kwa nchi zetu za kiafrica bado Sana kuweza kupataa mapato vizuri sehemu Kama hizo hata ukitumia private sectors, mfano Reli tuliwapa hao private sector lakini najua unajua kilichotokea
 
Huna exposure brother
 
Said Stuard Shily

JF-Expert Member
Jul 18, 2017
1,709
2,000
Huu ujamaa sijui utatutoka lini... Yaani mawazo yetu ni kuwa kila mali lazima imilikiwe na serikali. Tubadilike!!

Private sector ikimiliki tatizo liko wapi. Cha muhimu ni Kuja na sheria na Taratibu nzuri za kupata kipato cheti.... Hata wakimiliki kwa miaka 100 ni sawa tu. Nchi kama RSA au USA utaikuta mpaka barabara zinaxomilikiwa na kampeni binafsi... Na mambo bado yanaendelea kama kawaida. Kitu kama hiki ni unthinkable Tanzania.
tuacheni kwanza tufe ndo muuze nchi yetu
 
Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
10,840
2,000
Kuna clip inaonyesha mama akipiga chapuo kujengwa kwa bandari ya Bagamoyo Kwa PP.

Naomba kuuliza wanajamvi yafuatayo:
1. Kwanini njia pekee ya kujenga bandari ya Bagamoyo iwe ni Kwa ubia pekee? Kwanini tusijenge Kwa mtindo wa reli ya SGR?

2. Je, Kenya nayo ikapunua bandari na msumbiji? Na Congo Kwa njia ya Ubia Kwa huyu mtu huyu huyu akashindwa kupata Hela zake akakalia bandari Kwa miaka mingi Zaidi.

3. Inamaana hatujifunzi ya Kenya baada ya kuingia mkataba wa PP hawarusiwi kueneleza reli yoyote.

4. Haraka ya Serikalini ya awamu ya Sita Ni nini?

5. Tanzania haijawahi kunufaika Na mkataba wowote wa ubia toka NBCbank Reli, Maji, Umeme, Viwanda kila sehemu
SUKUMA-GANG na jubu ndugu wa Hai wanajua fedha zilikuwa ziingie kwenye akaunti zao mapema sana, mama hajatoa tamko
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom