Wale wanaopiga pesa online Tanzania, vipi mnatumia platform gani kupokea pesa?

Tabalo

JF-Expert Member
Feb 10, 2013
286
225
Western union, ni easy maana unapokea cash bila Makati,PayPal iko poa though inamzunguko kidogo..wire transfer iko vizuri though inachelewa maana pesa hufika kuanzia baada ya 2 days au zaidi
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
33,088
2,000
Western union, ni easy maana unapokea cash bila Makati,PayPal iko poa though inamzunguko kidogo..wire transfer iko vizuri though inachelewa maana pesa hufika kuanzia baada ya 2 days au zaidi
Siku hizi hapa Tanzania paypal inaruhusu kupokea na kutuma hela?
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
5,988
2,000
Western union, ni easy maana unapokea cash bila Makati,PayPal iko poa though inamzunguko kidogo..wire transfer iko vizuri though inachelewa maana pesa hufika kuanzia baada ya 2 days au zaidi
Ukifanya kazi kwenye platforms au na agencies nyingi hazilipi kwa western union
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom