Amfumania mume wake na house girl, alimlipisha pesa ili yaishe

Bravo snr

Senior Member
Aug 16, 2020
182
472
Hiki kisa kilitokea muda kidogo. Nakumbuka nilitoka mkoani kuja kusoma tuition dar, nilifikia kwa baba mdogo.

Siku moja najiandaa kurudi shule mkoani nikaenda kariakoo kununua vitu mbali mbali vya shule, kurudi home nikagonga get akaja baba mdogo kunifungulia .

Bahati mbaya mimi sikufunga na kufuli ila nilirudisha get tu.

Baada ya muda akaja mama mdogo, kuingia tu chumbani nikasikia kimeumana, makelele ya ugomvi.

Kidogo nikasikia house girl anapigwa. Nikatoka kusuruhisha ndo nikajua ni nini chanzo. Kumbe amemfumania live chumbani kwao wakiwa wanaburudika kwenye sita kwa sita.

Hapo tayari mume wake amekimbia msala ko hasira ziliishia kwa house girl, siku hiyo hiyo alifurushwa kurudi kwao.

Kwesho yake mume alirudi home sijui waliongea nini kupitia simu. Mimi nikaitwa kuwa kama shahidi tu.

Mwanamke alitoa mashariti mawili :

1. Awambie tukio hilo wazazi wa pande mbili walisuluhishe.

2. Alipwe fidia ya laki saba na kukiri kuwa hatarudia tena. (kipindi hicho laki saba ilikuwa kubwa kiasi, maana wakati dollar ya Marekani ilikuwa kama mia tisa na kitu kwa pesa yetu)

Baba mdogo bila kupepesa mocho akakubali kutoa pesa. Akatoa laki mbili na nusu hapo hapo na kuhahidi zingine watamalizia taratibu kwa kipindi fulani ila sikumbuki limit ilikuwa miezi mingapi na mambo yakaisha kabisa.

Nimeandika kisa hiki baada ya leo baba mdogo kunukimbusha lile tukio maana kwa sasa hivi tunataniana sana kwa kuwa sasa hivi na mimi nimekuwa mtu mzima so tupo kama kaka na mdogo.

Mpaka sasa hivi wapo pamoja na kama aliota huyu mama, kuwa mume wake atakuwa na mpunga na nyadhifa kubwa na wangeachana angekuwa anamuona tu kwenye TV.
 
Ni vizuri ila kama wewe mwanaume acha kutumia ko maana ni neno la visista du.

Ni ushauri tu ukiamua uzingatia poa, ukiamua upotezea poa pia maana hatupangiani maisha.
Nimerudia kusoma hiyo ni typos tu hata ukisoma vuzuri hilo neno halileti maana ilitakiwa KWA, nashukuru kwa ushauri na utafanyiwa kazi
 
Mahouse girl wengine huwa ni wasumbufu sana iko siku nikiwa peke yangu naangalia Tv kumbe amekuja kukaa nyuma yangu huku kajifunga khanga moko

Kwakweli nilighadhabika sana nikawa namfikiria sana hatimae nikamla kwa ghadhabu nikamvuta na manywele yake.
....nilighadhabika......
....nikamla kwa ghadhabu......

Mkuu hizo ghadhabu zako ni matata!
 
Back
Top Bottom