Mwanamke humpenda mwanaume mwenye pesa ili maisha yake yaende, wengi hawana hisia za kimapenzi na wanaume hao

Ethan Cruz

JF-Expert Member
Apr 29, 2021
229
500
Unavyodhani ndivyo, sivyo na huenda ukashangaa sana nikikuambia huu ukweli kuhusu wanawake. Huenda ukafikiria wanawake wengi hupenda wanaume wenye pesa na magari lakini sivyo hata kidogo. Kuna tofauti ya kuwa na hisia za mapenzi na kumpenda mtu ili aweze kuyasukuma maisha yako. Asilimia kubwa ya wanawake walio kwenye uhusiano na wanaume wenye pesa husemekana kutoka nje ya ndoa.

Wengi wa Hawa wanawake hutafuta vijana wadogo na hata watu wa mijengo huku wakidai wanaume wao hawana mapenzi na kila siku wako kazini wakitafuta pesa. Hii ni Jambo hatari sana kwa wanandoa na inamaanisha huyo mwanamke hakuwa na hisia zote za kimapenzi mlipooana ila alikufuata sababu ya pesa zako.

Wanawake wengine hudai hapo mwanzoni mapenzi yalikuwa motomoto ila mambo yakabadilika na mda wa mapenzi ukachukuliwa na shughuli zingine ndio maana wanaona ni heri watafute usaidizi huko nje.

Inasemekana kuwa mapenzi hupatikana kwa familia maskini. Mda mwingi wao huwa wako pamoja na wao huongelea ndoa na familia zaidi ya matajiri. Hii haimanishi basi usiwe tajiri ama usitafute pesa, ni onyo tu ndio uweze kujua kuna changamoto nyingi na unafaa kuwa makini na familia yako na ikiwezekana uweze kutenga mda na familia yako.

NYINYI MNASEMAJE kwa hilo
what do you think of that folks
 

Joanah

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
16,405
2,000
Kama una mwanamke na hauna hela, elewa Kuna sehemu anapata hela!
Hela ni mwisho wa mambo mkuu!
Unampa hela anaenda salon anakutana na muhuni anasugua miguu vizuri anapewa mchezo
Sema si mnasemaga haina makombo teh!kwani akipewa ndio anaondoka nayo?

Suala sio pesa,unaweza kuwa na pesa na asiridhike...ni kuomba kupata aliyeamua kuwa loyal
 

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
3,672
2,000
Kiumbe mwanamke ni kiumbe kisicho ridhika ... Ata ukisema ukipige dushe la namna gani akipita msela mwenye mkoko mkali akampa lift jua mkeo kaenda . Ukiwa nq mkoko mkali lkn huna dushe kali ataanza kulalamika humridhishi na kitakacho fuata ni kumegewa huyo gaz wako

Sasa si bora uwe nao wengi tu
 

cocastic

JF-Expert Member
Nov 30, 2019
20,928
2,000
Unampa hela anaenda salon anakutana na muhuni anasugua miguu vizuri anapewa mchezo
Sema si mnasemaga haina makombo teh!kwani akipewa ndio anaondoka nayo?

Suala sio pesa,unaweza kuwa na pesa na asiridhike...ni kuomba kupata aliyeamua kuwa loyal
Dea umemaliza kila kitu,
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom