pesa

  1. JamiiForums Tanzania Tujadili namna ya kutafuta pesa

    Wanajamvi nataka niwasilishe hoja kibabe Ni hivi kuna zile kauli ooh Mapenzi sio pesa, pawepo na upendo wa dhati basi, ooh ndani pawe na Amani na Upendo ndio kitu kikubwa nisawa. Ila tu nikazie Hasa kwa Mwanaume pambana uwezavyo uwe na visenti ili mkitaka kwenda Coco kula miogo unato tu cent...
  2. JamiiForums Tanzania Ukimfanyia hivi mke wako ni vigumu kukuchukia hata uwe huna pesa

    Ciao jf Nimekua nikifwatilia mda mrefu wa nini wanawake wengi wa sasa kwa nini awadumu kwenye ndoa zao...jibu nililo pata litawashagaza wengi ila ni ukweli unao pingika wa kiwango kidogo Rejea Binadamu wa sasa wengi wetu ni modern man (nazani naeleweka maana ya modern man).. hivyo basi...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nina Mil 30, nifanye biashara gani kurudisha pesa na kupata faida ndani ya mwezi?

    Wadau, salaaam? Nina 30m, nataka kuingiza katika biashara ambayo itanirudishia hiyo pesa ndani ya mwezi na kunipata faida juu. Ushauri pls..
  4. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Kamati ya Maji Geita watiwa mbaroni kwa ubadhilifu wa pesa

    Jeshi la Polisi mkoani Geita linawashikilia viongozi watatu wa kamati ya jumuiya ya maji inayosimamia mradi wa maji wa Mharamba uliopo wilayani Geita, kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha wanazokusanya kwa wananchi kwa kuwauzia maji kwa kipindi cha miaka sita. Baada ya waziri kuvuja jumuiya hiyo...
  5. JamiiForums Tanzania Huu hapa uongo wa Manara kuhusu pesa za Bakhresa

    MANARA anadai eti bilioni 223 za mkataba wa Azam na TFF zinaweza kupanga elfu kumi kumi zikafika brazil na kurudi umbali wa kutoka dar es salaam hadi brazil ni kama kilometa 9000 na kurudi ni karibu kilometa 18000 Noti moja ya shilinigi elfu kumi ina urefu wa sentimita 14 unahitaji noti za...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mpenzi kukuomba pesa ya sherehe ukiwa mgonjwa. Huyu ni mwema kweli?

    Upo hoi kitandani alafu mwenza wako anakubana umpatie pesa ya mchango wa Sendoff au harusi. Kwa picha kama hii unapata kumuelewa vipi? Anafaa kuitwa mwenza mwema?
  7. JamiiForums Tanzania Wakati wa Usajili Yanga ni kipindi cha kutengeneza Pesa kwa wajanja wachache

    Club yangu ya Yanga nmekuwa nikiipenda toka mwaka 1980s wengi wakiwa wadogo ama hawajazaliwa. Nikiwa mwanachama halali mpaka leo hii zaidi ya miaka 40. Naifahamu Yanga kiasi fulani ambacho kinanipa nafasi ya kusimamia ninachoamini pasipo kuyumba. Nimekuwa mara nyingi nikisema Uhuni ambao...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kwa nini jamii inahisi mwanaume aliye kwenye mahusiano na mwanamke analiwa pesa?

    Kuna kitu nimeobserve Mara nyingi kwenye Jamii, taarifa zikienea mtaani kuwa una-date na mdada flani, watu wanaanza kukuuliza yule mdada ulimpa sh ngapi hadi ukampata, mwingine atasema ni kwa vile wewe una hela kumzidi fulani ndio maana ukampata yule mdada, mwingine atakusema Pembeni wakati...
  9. JamiiForums Tanzania SoC01 M-pesa Kibubu, Tigo Pesa Kibubu n.k: Njia nyepesi ya kuweka akiba kwa wananchi

    Habari ndugu! Imekuwepo changamoto kubwa kwa watu kupata pesa toshelevu kwa ajili ya kuendeleza shughuli zao za maendeleo. Hii inatokana na ugumu wa maisha unaozikumba familia nyingi hivyo kila kiasi kidogo kinachopatikana kinaishia katika manunuzi ya maitaji ya muhimu kama chakula na kulipa...
  10. JamiiForums Tanzania Chonde chonde mwanaume mwenzangu Usimuachie mkeo pesa chumbani

    MWACHIE MBELE YA WATOTO NA UMWAMBIE NA MATUMIZI YAKE, NA WATOTO WASIKIE USIJE KUISHI MAISHA YA UPWEKE UZEENI MWANAUME[emoji177] Unamwachia mkeo hela ya Chakula Chumbani, Mke Anatoka na Kapu anaenda kununua Chakula, Anapika, Anawaambia watoto, Njooni Wanangu Mle Nimewapikia Chakula Kitamu...
  11. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Stop Over kwa Kapinga ni mwizi wa pesa za ulinzi shirikishi

    Huyu mjumbe ni mbadhirifu na mwizi wa fedha za ulinzi shirikishi. Amekuwa na tabia ya kudai hela ya ulinzi na hatoi ristii ya EFD. Ni jukumu la Mwenyekiti wa Kata ya Saranga kumfuatilia huyu mjumbe ambaye rekodi yake inaonyesha alishawahi kufukuzwa kwenye taasisi moja ya Serikali.
  12. JamiiForums Tanzania Kabla hujamkopesha mtu pesa jiulize maswali haya ili usiingie kwenye majuto baadaye.

    Habari! Watu wa zama hizi, wa mjini na vijijini wengi hawana aibu kumkopa mtu. Uvumilivu katika matatizo yanayohitaji pesa haupo. Mtu ukimsimulia mafanikio yako au mipango yako tu umemfungulia mlango wa kukukopa. Utafiti usio rasmi unaonyesha kuwa wanaokopeshana kienyeji(kindugu na kirafiki)...
  13. JamiiForums Tanzania Tozo Mpya za Miamala: Pigo kwa Sekta ya Mawasiliano nchini

    A new government levy on mobile money introduced last month in Tanzania has sparked outrage from citizens due to the significant increase in costs. With 26 million people, almost half the country’s population, using mobile money the surge in prices has been felt widely. The tax, which has...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Ni lazima kumpa mpenzi wako pesa kila akija nyumbani kwako?

    Habarini wadau wana JF Je, kunaulazima wa kumpa mpenzi wako pesa kila akija nyumbani kwako? Maana inakuwa kama umemnunua vile ninavyoona maana muda wa kuondoka wanakodoa macho kweli. Mbona wanaume wakienda kwa wapenzi wao wa kike hamtupi nauli? Au ndo mwanaume utakula kwa jasho maana mbinguni...
  15. JamiiForums Tanzania Pesa ya kununulia ndege ipo lakini ya kujenga madarasa hakuna

    Wanafunzi 400 wanakaa chini, wanatumia chumba kimoja cha darasa WEDNESDAY AUGUST 04 2021 Summary Wanafunzi zaidi ya 400 wa darasa la nne na tano wanakaa chini na kutumia chumba kimoja cha darasa kwenye Shule ya Msingi Bugumbikiso iliyopo kata ya Chifunfu wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Simba mbona hatujasajili mpaka sasa wakati Mo ameweka pesa? Yanga wanatunyang'anya mpaka wachezaji

    Kiufupi ule ubabe wa Yanga aka uto in dhahiri umerejea. Naona wengi sasa wanasimba tunawabeza lakini ukweli tusipoangalia hawa jamaa wanakuja kuchukua mafanikio yetu. Kumbuka tuna wachezaji umri umewatupa kama John Boco, Onyango wakipata injury tu basi tumekwisha msimu ujao.
  17. JamiiForums Tanzania Nahitaji Kibanda cha M-Pesa bei isizidi 200,000/=

    NAHITAJI KIBANDA CHA M PESA BEI ISIOZIDI 200,000/=. Wakuu mambo vipi? Nahitaji kununua kibanda cha m pesa kiwe cha chuma au mbao. Bei isizidi 200,000/= Kama unauza au unafahamu anae uza nijulishe. Nipo Dar es Salaam/ Kinondoni.
  18. JamiiForums Tanzania Je, PSSSF wameingia kwenye mkondo wa Siasa au hawana pesa?

    Nauliza swali hilo ni kwa sababu ndugu yangu aliwasilisha nyaraka za kustaafu miezi 3 kabla ya kustaafu rasmi na walizipokea wakasema kila kitu kimekamilika. Sasa ameshastaafu ana miezi 5 sasa ukizingatia ofisi ya waziri ili tetea sana swala la wastaafu kulipwa pia Rais alisisitiza walipwe...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Pahala sahihi na watu sahihi ndio watakaotambua thamani yako

    Nimeshawishika kuandika hii baada ya kuona uzi wa ndugu mmoja hivi aliekua akilalamika baada ya watu kumtenga punde tu baada ya kusimamishwa kazi. But unfortunately nimesahau jina lake mnaweza kunisaidia kum tag kwa aliewahi ona uzi wake Mzee mmoja kabla hajafariki dunia, alimpa kijana wake...
  20. JamiiForums Tanzania Si lazima uwe na Pesa ili uwe na Maendeleo: Elimu ya Matumizi ya Choo

    Doro aliimba stimu ya Kuber ndo imeshaleta matata Yeye ndo anajua jinsi ipi alikua na demu mkali ila umaarufu akauweka pembeni Akatia usanii mbele kama ule wa Prof Jize, na skills za Weusi jinsi ambavyo walimshirikishaga Chin Bees mnyama ilihali wao pia wanaimba. Na unaeza cheki skills za Joh...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…