pesa

  1. Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Wajameni eeh, Nimebahatika "kupata" mahala ka mtaji. Ni kiasi cha Shs. milioni kumi tu, (10,000,000/=) za Kitanzania. Nipeni mapendekezo nizi invest wapi, kivipi na matarajio ya faida (i.e biashara gani inalipa (plus location), kwa muda gani, na SWOT analysis zake). =======
  2. B

    Hakuna kitu kizuri kama kufanya biashara au kilimo kwenye makaratasi ukisaidiwa na calculator, lakini kiuhalisia inaweza isewe hivyo

    Nilipomaliza chuo sikutaka kuajiriwa. Nikaona nijiajiri ili niweze kupata utajiri wa haraka ndani ya miaka michache. Nikafanya biashara ya kwenye makaratasi nikaona nitapata faida kibao huku nikisaidiwa na calculator yangu. Nikaomba mtaji home, huyo nikaenda Songea kununua mahindi na kupeleka...
  3. Kama unaumia ukiombwa pesa na Mpenzi wako akiwa na shida, Je, utafurahia akisaidiwa na 'baharia' mwingine?

    Ningependa kujua hili. Kwasababu kwa kawaida mtu akikwama mtu wa kwanza kumwambia ni yule wa karibu. Ni nini mtazamo wako?
  4. B

    Ukijaaliwa karama ya uongozi ukapenda pesa utaishi kama wabunge 19 walioteuliwa na Ndugai

    Kila unapopewa nafasi yakutumika waangalie unaowatumikia. Yapo madhara yakumtumikia mtu katika kazi inayohitaji uwatumikie watu. Ukimtumikia mtu utaacha maslahi mapana ya watu kwa maslahi mapana ya mtu. Haya yanadhiirika kwa wabunge 19 walioteuliwa na spika kutoka chadema. Wakati wakiwa...
  5. Tuliowahi kukopa pesa kuanzisha biashara kisha biashara ikafa tukutane tujadili machungu

    Sitausahau mkopo wangu wa kwanza kabisa. Ndipo nilipoanza kushika mamilioni, ilikuwa September 2016. Basi nikanunua kiwanja kimoja na pesa nyingine nikaiingiza kwenye biashara ya duka la vitu mchanganyiko. Aisse biashara ilinikataa kabisa. Duka la milioni kadhaa mauzo elfu 20 per day. Mwisho wa...
  6. Kama huna pesa nyingi weka ndani, benki zinaiba kimya kimya

    Kwa uzoefu wangu wa kuwa na akaunti kwenye benki tofauti za hapa nchini na kujua vitimbi vyao nimegundua hii huduma ni kwa ajili ya wafanyabiashara wakubwa na makampuni yenye wahasibu wanaopitia kila mstari kila siku.Kinyume chake kama unategemea ujumbe kwenye simu utaibiwa vibaya sana. Akina...
  7. TASAF Mwanza ni kichaka cha wajanja kupigia pesa

    TASAF Mwanza ni kichaka cha wajanja kupigia pesa Mkoa wa Mwanza ni miongoni mwa mikoa nchini yenye watu wanaoishi katika mazingira magumu na maisha duni. Mkoa huu ni kati ya mikoa nchini ambayo imeingizwa katika mpango wa kusaidia kaya zinazoishi maisha duni. Agosti 2012 Serikali ilizindua...
  8. Je, wewe unaweza kufanya chochote kwa ajili ya Pesa (Can you do anything for money?)

    Kiukweli binafsi ni mtu mgumu sana kwenye kufanya mambo ambayo kwa kawaida naweza kuyaona kama yanapingana na malezi yangu au yanahitaji ukengeufu fulani wa vitu ambavyo sijawahi kuona viko sawa. Jamii yetu iko tofauti sana, kuna watu as long as una pesa au madaraka basi zinahalisha jambo...
  9. Serikali iangalie kwa umakini haya magroup ambayo yanaanzishwa na Madaktari kutibia watu na kutoza pesa

    Nipo kwenye Group moja linaitwa Group la Afya likiwa limeanzishwa na Bwana Mmoja anaitwa Mwanyika. Kwa maelezo yake ni Daktari. Anaweza kuwa na nia nzuri ya kusaidia watu kwa ushauri na wakati fulani kuwasaidia wasiingie gharama ya kwenda hospital kutokana na ushauri anaoutoa lakini wasiwasi...
  10. E

    Mwanamke akikupenda kwa dhati, hata kukuomba pesa ataona aibu

    Ukiijua kweli itakuweka huru. Hii ndio kweli hata kama ni ngumu kuielewa. Ipo hivi, mwanamke akikupenda kwa dhati, hata kukuomba pesa ataona aibu, na hawezi kuvumilia matumizi yako mabovu ya pesa. Hayo ni miongoni mwa mambo yanayowafanya baadhi ya wanawake waonekane ni viumbe maalum kabisa...
  11. Hii habari ya kuombana pesa kwenye mahusiano kabla hamjaonana ni sawa au kuumizana tu

    Hii habari inaudhi sana au kwa wengine iko poa, mwanaume au mwanamke anakutana na mtu kwenye mitandao mnawasialiana na mnakubaliana hata kabla ya siku ya kuonana laivu haijafika mwenzio anaanza kukuomba hela haijalishi ni hela ya nini au kiasi gani lakini kwanini tusisubiri kuonana laivu na...
  12. Serikali inashindwa nini kuboresha maeneo ya kitalii kama haya kujiongezea pesa kuliko kuendelea kukamua walalahoi kwa vitu vidogo?

    Kwa sasa kilo moja ya ngano imefika 1500 na inakwenda juu, vivyo hivyo kwa sembe. Kuna jamaa mmoja kanipigia simu anadai bandarini huko wanakamuliwa sana ndio maana mitaani mambo yamebadilika. Tuna maeneo mengi sana ya kitalii yanaweza kuingizia serikali pesa nyingi tu,shida inakuja je haya...
  13. D

    Spika, jinsi wabunge wanavyoiba/kufisadi pesa za walipa kodi wanazopewa kama mishahara ya makatibu, wahudumu na dereva wa mbunge

    Mh. Spika simamia ajira za wasaidizi wa Mbunge kuondoa ubinafsi, uchoyo na ufisadi. Wabunge wengi hawalipi mishahara kamili kama inavyotoka bungeni. Watumishi hao ambao ni watatu, Katibu, Dereva na Mhudumu wa ofisi hawapewi mikataba ya kazi na wabunge kinyume na agizo la Bunge. Wasaidizi hao...
  14. Ukweli mchungu: Mwanaume anayejitegemea na mwenye vijihela vya kubadilisha mboga hawezi kuachwa na mwanamke

    Wanaume wenzangu tafuteni pesa tengenezeni maisha yenu hakikisha kwa umri wako, Una gheto lako liko fresh Lina kila kitu. Lakini pia hela ya kubadilisha mboga haikupigi chenga. Nakuhakikishia hakuna mwanamke atayekuacha ukiona umeachwa ujue una tatizo.
  15. Vijana tafuteni pesa uzee mwisho Chalinze

    Mjini ukiwa na pesa wewe ni babe.
  16. Mnaosoma degree, kama pesa ipo nyumbani na mwaka wa pili GPA haisomi, hama chuo uanze upya

    Nina ndugu yangu alikuwa IFM, cheti kilikuwa na makarai mengi kwasababu yeye chuoni alikuwa mzee wa bata sana, Baada ya kuona ana GPA ya 3.1 hakufurahi kwasababu kazi ya ndoto yake ilikuwa kuwa lecturer, alienda kusoma degree ya pili Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA). Alikaza sana aliacha michezo...
  17. Vijana msidanganywe, ukiwa na pesa utapata mwanamke umtakaye

    Nimekua nikisoma thread tofauti humu JF za wanaume wakilalamika kuhusu kutendwa na wanawake zao kisa hawana pesa kisa hawana uwezo wakuwahudumia hao wenza wao, nk Nimeona wengi kwenye comment wakishauri watu watafute pesa sana na kwa bidiii ili kuepuka hayo yote, kila ushauri mzuri ni vyema...
  18. Kusoma sio kazi, kazi kuigeuza elimu kuwa pesa

    Kama unapata elimu na haikuwezeshi kuwa na fedha bado elimu haijakusaidia. Watu wengi wamesoma sana ila wanafeli kuzitumia elimu zao kuyamudu mazingira ili wapate mahitaji muhimu.
  19. K

    Jafo aagiza walimu wapya walipwe Fedha za kujikimu ndani ya siku 7

    Posho za Kujikimu kwa Ajira Mpya za Walimu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi Mhe. Selemani Jafo amewaelekeza Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuhakikisha wanawalipa walimu wote wa ajira mpya walioripoti kwenye Halmashauri zao posho za kujikimu ndani ya muda wa wiki moja kuanzia leo...
  20. Watoto wanaokuja nyumbani na vitu vya kuokota (Pesa, Midoli, Mipira,). Je, ni sahihi kwa wazazi kuruhusu tabia hii?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Watoto wanaokuja nyumbani na vitu vya kuokota (Pesa, Midoli, Mipira). Je, ni sahihi kwa wazazi kuruhusu tabia hii? Mimi siwezi kujisifia kwamba nilikuwa na wazazi makini sana katika suala la malezi kwa maana wakati nipo mdogo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…