onyo

  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jux ajibu onyo la Wanigeria, akana kumchumbia Priscilla

    Staa wa muziki, Jux, amerudi bongo usiku wa kuamkia leo, Septemba 5, akitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere akiwa na mpenzi wake Priscilla Ajoke, mtoto wa mwigizaji mkongwe Iyabo Ojo kutoka Nigeria. Hivi karibuni, wawili hao walikuwa Nigeria wakijirusha kwenye party ya...
  2. P

    JamiiForums Tanzania MAMBO YANAZIDI KUCHANGAMKA: Wananchi wa Ngorongoro watoa ONYO kali kwa serikali

    Wananchi wa Ngorongoro ambao tuliambiwa wamekubali kuama kwa hiari leo hii wametoa onyo kali kwa serikali. Hii ni baada ya serikali kutuma kikosi cha FFU na polisi kwenda kuzima maandamano yao ya kudai haki yao ya ardhi. Pia ikimbukwe kuwa serikali baada ya kuona wakazi wa Ngorongoro hawataki...
  3. Shammy-

    JamiiForums Tanzania Ukilewa usichati

  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi yaonya ufungaji wa Kamera (CCTV) kwenye maeneo ya faragha

    YAH: ONYO DHIDI YA KUFUNGA VIFAA VYA USALAMA (CCTV) KWENYE MAENEO YA FARAGHA Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi - PDPC inatoa onyo kali kwa Taasisi na kampuni zote zinazotumia kamera za usalama ikiwa ni pamoja na maeneo ya kazi kuhakikisha wanazingatia Sheria na Kanuni za Ulinzi wa Taarifa...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Katavi awapa onyo Wanunuzi wa zao la Pamba

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvus Mrindoko amewataka wanunuzi wa zao la Pamba kuhakikisha wanalipa pesa za wakulima kwa wakati ili kuwafanya wakulima wa zao la pamba kutokata tamaa ya kulima zao hilo. Mrindoko ameyasema hayo wakati akizindua msimu mpya wa mauzo ya zao la Pamba katika Kijiji cha...
  6. AnyWayZ

    JamiiForums Tanzania ONYO: Usicheze na Mke wangu

    Hii ni kwa Waramba lips, majobless, watoto wa Mama na wazembe wote😕
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi apewa onyo na kamati ya Mawakili ya Maadili 'Hatutakiwi Kuogopa'

    Wakili Msomi Boniface Anyisile Kajunjumele Mwabukusi leo amepewa,adhabu ya onyo iliyotolewa na kamati ya maadili na nidhamu https://m.youtube.com/watch?v=gQKBmG0mSns Wakili Boniface Mwabukusi amebainisha hayo leo tarehe 17 Mei 2024, kimsingi kamati wamekubaliana ilikuwa ni professional...
  8. utopolo og

    JamiiForums Tanzania Yanga yaweka Bango tena baada ya kuwafunga Simba 7-2 kwa msimu 2023/2024

    Timu ya Yanga imeweka bango kubwa maeneo ya Fire jijini Dar es Salaam linaloonesha matokeo ya jumla ya kipigo walichotoa kwa mnyama msimu huu. Kwa mechi zote mbili za msimu huu klabu ya Yanga Afrika imeisulubu Simba jumla ya magoli 7-2 kama inavyoonekana kwenye bango hapo.. Vipi maoni yako? Je...
  9. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Onyo la Busara: Ukiwa na Mpenzi wako au mume au mke popote pale usivimbe au kujisifia na ukadharau watu. Ulipo tupo ulipo wapo

    Shalom, Katika maisha enenda kwa namna njema na ipasayo hasa katika mtazamo wa kibinadamu na katika Mungu, heshimu watu, salimia watu usivimbe na usijione una mpenzi mzuri na uko level za juu. Kisa kiko hivi nina jirani yangu dogo mmoja hivi ni Mhaya(Ishomile) kama kawaida mimi mama yangu ni...
  10. Webabu

    JamiiForums Tanzania Jordan yaanza kujiweka mbali na Israel, imesikia onyo la Iran

    Jordan imekiona kitisho cha vita baina ya Iran na Israel na imeanza kujiweka mbali na Israel. Katika kujitetea kwanini walidungua droni za Iran zilizokuwa zikielekea Israel,nchi hiyo ya kifalme imesema haikufanya hivyo kuitetea Israel bali ilikuwa ni kuwalinda raia wake dhidi ya vifaa...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa kapewa onyo tu?! Maana nilitarajia aondolewe katika uwaziri!

    Dah....mama anaupiga mwingi, kwa hiyo Jerry kapewa onyo tu, huyu naye ni wa kufukuza, ila bado tunasubiri muda, maana njia yake anaiwekea miba kwa juhudi kubwa sana. Anguko lake haliko mbali. Mama anatoaga second chance.
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Onyo: Wakileta siasa uwanjani, tutaombea timu za Tanzania zifungwe

    Natoa onyo kwa Mamlaka zitakazoruhusu kuingiza siasa kwenye mechi za Simba na Yanga dhidi ya Wapinzani wao kuacha kufikiria jambo hilo. Hatutarajii kwenye uwanja wa Mkapa kuona mabango ya Wanasiasa , hatutakubali picha ya Mbunge wa Temeke wala Diwani wa kata ya miburani. Ukiwa na kiherehere...
  13. MK254

    JamiiForums Tanzania HAMAS watoa onyo kwa Wapalestina kuhusu ulinzi wa misaada ya chakula

    Israel inakusudia kutumia Wapalestina kulinda chakula cha misaada maana HAMAS huiba sana hicho chakula, sasa hao HAMAS wamesema ole wao Wapalestina watakaothubutu..... Hamas-linked website warns Palestinian individuals or groups against cooperating with Israel to provide security for aid...
  14. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Genge la wauza madawa ya kulevya lamuua kikatili "Snitch" kutoa onyo kwa wengine huko Kilimanjaro

    Ni wazi kuna police ambao wamehusika na kutoa taarifa za huyu jamaa kuwa ndiye anawahujumu wauza madawa ya Kulevya ambao kwa sasa wamerudi na kasi mpya, ari mpya na nguvu mpya. Kumhujumu rais wetu sami.
  15. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe acha kumsakama Mzee Kikwete, mwache apumzike

    Umekosa hoja ! Umekosa mvuto, Hauna dira yoyote ! Kama Kikwete kusafiri na Samia wewe unaumia, kasafiri nae wewe!? Kikwete hapangiwi na wewe mahali kwa kwenda wala Samia hapangiwi na wewe anatakiwa kusafiri nanani! Stress za maandamano kukosa mvuto na wafuasi usiziamishie kwa JK wetu ! Hapo...
  16. MENEMENE TEKERI NA PERESI

    JamiiForums Tanzania Vodacom nawapa onyo kwa mara ya mwisho kabla sijafuata hatua mpya

    Ndugu zangu hamjambo ? Natumia ukurasa huu kuwaambia watumishi wa Vodacom na wahusika wote wa MGODI kuwa mtamponza mtumishi wenu kwa hizi sarakasi zenu . Mimi natumia laini ya voda mwaka jana nilijiunga na huduma ya MGODI specifically nilipendelea kuweka kiasi cha akiba kwenye akaunti ya akiba...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Misri atoa onyo kwa HAMAS wana wiki mbili kupata suluhu la mateka, kabla Israel haijaingia Rafah

    Hapo Rafah ndio ngome ya mwisho ya HAMAS, ila penyewe pamejaa wananchi wengi hivyo kupapiga lazima Wapalesina watakufa sana, Misri imesema HAMAS waharakishe hili la dili ya mateka kabla hapajapigwa maana Israel wakianza, kawaida tumeona huwa hawasimamishwi na yeyote.... Egypt tells Hamas it...
  18. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Onyo kwa Matapeli ajira za TAKUKURU

  19. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Magufuli kwa kulitatua tatizo sugu la mgao wa umeme nchini

    Kuanzia mwaka 2006 mpaka rais magufuli anaingia madarakani nchi yetu ilikuwa mara kwa mara ikikumbwa na tatizo kubwa la mgao wa umeme. Tatizo ambalo kwa muda mrefu lilikuwa mwiba kwa taifa letu. Vinyozi,wenye saluni za kike, wenye mabaa mpaka wenye viwanda lilikuwa ni tatizo linalowaumiza...
  20. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania ONYO; Wafuatao wasithubutu kuilaumu au kuidharau Taifa Stars

    Watu wengi wanailaumu na kuibeza Taifa Stars kwa kufanya vibaya ila wafuatao marufuku hata kufikiria kutamka neno baya dhidi ya Taifa Stars; 1. Kiongozi yeyote mwenye dhamana na michezo ambaye hutafuna pesa za maendeleo ya soka. Badala ya kukuza soka yeye anakuza tumbo lake. 2. Mtu yeyote...
Back
Top Bottom