Misri atoa onyo kwa HAMAS wana wiki mbili kupata suluhu la mateka, kabla Israel haijaingia Rafah

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,432
Hapo Rafah ndio ngome ya mwisho ya HAMAS, ila penyewe pamejaa wananchi wengi hivyo kupapiga lazima Wapalesina watakufa sana, Misri imesema HAMAS waharakishe hili la dili ya mateka kabla hapajapigwa maana Israel wakianza, kawaida tumeona huwa hawasimamishwi na yeyote....

Egypt tells Hamas it has two weeks to reach hostage deal before IDF moves into Rafah – WSJ

By LAZAR BERMAN
Egypt warned Hamas that it must reach a hostage-for-ceasefire deal with Israel within 2 weeks, or Israel will move into Rafah, The Wall Street Journal reports.

Cairo is hosting talks on a deal beginning on Tuesday, which Israel, the US, and Qatar will attend.
 
Kweli hao ni mashetani yaliyolaaniwa, hayana utu wala huruma, ni makatili kuwahi kutokea, kufa haliyakua ni myahudi/kaafir ni hasara sana

Allah atujaalie mwisho mwema!
 
Hahahah mafarisayo mna tabu sana, yani namshukuru Mungu niliijua kweli vinginevyo ningekuwa nishapumbazwa na mbanga za Mabikira 72😂, inabidi mzikwe na mkongo kabisa mkifika mnaloweka tu😂
 
So Misri anawaambia Hamas wasign death warrant yao wenyewe.. the final destination for Hamas they can't cheat death
 
Hapo Rafah ndio ngome ya mwisho ya HAMAS, ila penyewe pamejaa wananchi wengi hivyo kupapiga lazima Wapalesina watakufa sana, Misri imesema HAMAS waharakishe hili la dili ya mateka kabla hapajapigwa maana Israel wakianza, kawaida tumeona huwa hawasimamishwi na yeyote....

Egypt tells Hamas it has two weeks to reach hostage deal before IDF moves into Rafah – WSJ

By LAZAR BERMAN
Egypt warned Hamas that it must reach a hostage-for-ceasefire deal with Israel within 2 weeks, or Israel will move into Rafah, The Wall Street Journal reports.

Cairo is hosting talks on a deal beginning on Tuesday, which Israel, the US, and Qatar will attend.
Ukipewa bunduki na vifaru utashindwa kuuwa watu kama anavyodanya huyo mwehu ..halafu unakuja kusifia hapa
 
Back
Top Bottom