onyo

  1. J

    JamiiForums Tanzania CCM Wilaya ya Tabora yampa onyo kali Komanya kwa kuwatishia wajasiliamali na askari ili wanunue vitambulisho!

    Katibu wa CCM wilaya ya Tabora mjini ndugu Mrema amemtaka mkuu wa wilaya hiyo mh Komanya kuacha mara moja tabia ya kuwavamia wajasiriamali akiwa na polisi na kuwataka wanunue vitambulisho kwa lazima. Mrema amesema wamempa onyo DC Komanys kwa sababu kila wakimwita kwenye vikao anapiga chenga...
  2. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Natoa onyo la mwisho kabisa kwa Tundu Lissu

    Watu walitegemea makubwa katika ujio wa huyu muheshimiwa asiyeshaurika kabisa. Kama angejipanga vizuri kwa hoja nzuri, Tafiti na Kuzuia hasira alikuwa na nafasi ya kushinda kwenye UCHAGUZI lakini kumbe ni hopeless kabisa. Hivi nani anayemuandalia hotuba Lissu. Huenda anatumika. Leo namuonya...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wakimbizi wanaojishughulisha na Siasa makambini wapewa onyo

    Serikali imewataka wakimbizi waliopo nchini kuacha kujihusisha na harakati za kisiasa katika makazi ya wakimbizi yaliyoko katika maeneo mbalimbali nchini na kwamba wanapaswa kuishi kwa kuzingatia sheria za nchi. Onyo hilo lilitolewa jana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene...
  4. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kahama Mjini wanaCCM 60 wanaogombea Ubunge wapewa onyo kali kwa kujihusisha na rushwa

    Wagombea 60 wa ubunge jimboni Shinyanga Mjini wamepewa onyo kali baada ya kujihusisha na vitendo vya rushwa. Katibu wa CCM mkoani Shinyanga amesema atalifutilia mbali zoezi la kura za maoni kama wagombea wataendeleza vitendo hivyo haramu vya kununua kura Chanzo: ITV habari Maendeleo hayana...
  5. Kidugu

    JamiiForums Tanzania UVCCM Wilaya ya Iramba wamvaaa Membe, wampa onyo kali

    Jumuiya ya umoja wa vijana WA CCM Wilaya ya Iramba mkoani singida Imemtumia salamu aliyekuwa mwanachama wa CCM Bernard Membe na baadae kufukukuzwa uanachama na Kamati Kuu. Jumuiya hii kupitia kwa mwenyekiti wake comrade Joseph Mnemba imesema kuwa haitamvumilia mtu yeyote anaepingana na...
  6. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania RPC wa Arusha na Mkurugenzi wa Takukuru Arusha wamefanya nini kiasi rais Magufuli katoa onyo mbele ya hadhira?

    Wasalaam..! Nimemsikia Mh: Rais leo akiwatuma IGP na Mkurugenzi wa TAKUKURU wawafikishie salam vijana wao wa mkoa wa Arusha na kuwapa onyo la mwisho kwani nao ilibidi wapigwe panga! Kwani wamefanya nini? Wenye information mtujuze tafadhali
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Clouds Media, kuweni makini na kujiingiza kwenye siasa. Mtasuswa na watanzania!

    Joseph Kusaga ukitaka kujua kwamba CCM ina wenyewe rudi nyuma miaka zaidi ya 25 iliyopita wakati ule unapiga Disco coco beach ukiwa na DJ Bonny love, ilikuwa ikifika saa 6 balozi Ammy Mpungwe anaagiza polisi kuja kuzima disco lile lilojaza vijana kibao huku wakicheza kwa amani na utulivu, Hawa...
  8. Influenza

    JamiiForums Tanzania Virusi vya Corona: WHO yasitisha majaribio ya dawa ya Hydroxychloroquine na kutoa onyo

    Majaribio yanayofanyiwa dawa ya ugonjwa wa malaria Hydroxychloroquine ili kuona iwapo inaweza kutibu virusi vya corona yamesitishwa kutokana na hofu ya usalama wake, shirika la afya duniani WHO limesema. Vipimo vilivyokuwa vikifanywa katika mataifa kadhaa vimesitishwa kwa muda kama hatua ya...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Njaa mbaya, nimeangalia salio leo si chini ya mara 25, hadi nahisi nitatumiwa SMS ya onyo kutoka benki

    Wakuu ngoja twende kwenye mada, Ndani ya miaka miwili yenye miezi 24 na ushehe mwezi huu nimepigika sana kuliko miezi mingine nadhani ingawa sina kumbukumbu sahihi. Sasa kuanzia jana kuna fedha niliitazamia kuangia kwenye account yangu ya CRDB, jana ikapita patulo yaani kappa, leo kuanzia...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Wasaliti waanza kulia na kusaga meno. Hakuna kumhurumia yeyote, hakutakuwa na Mswalie Mtume

    Tuliwaambia mapema sana kwamba ndani ya Chadema hakuna mkubwa kuliko Chama , sasa wametimuliwa wanaanza kutia huruma . Mzee Lwakatare ulipiganiwa na chama kwa kiwango cha kutisha mno , ukatolewa ndani ya mdomo wa mamba ili uishi tena leo unasaliti bila aibu , Umevuna ulichopanda
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Onyo: Wanasiasa kuwa makini, ukidharauliwa hapa JF tambua kwamba umedharauliwa mitaani na dunia nzima. JF ina nguvu sana

    Hili ni onyo ninalolielekeza kwa wanasiasa wenzangu , na hasa wale wenye wito na maono ya kugombea ubunge , Udiwani na Urais kama mimi . Andikeni ukweli na haki bila kutumikishwa kwa gharama ndogo au kubwa ili kujijengea heshima mbele ya jamii , Kwa sasa jf ndio pahala panapotumika na wananchi...
  12. beth

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Kenyatta atoa onyo kwa Somalia, ataka nchi hiyo kuacha kuichokoza Kenya

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ameionya serikali ya Somalia kuacha uchokozi wa mara kwa mara dhidi ya Kenya. Onyo lake linajiri siku moja baada ya wakazi wa Mandera kulazimishwa kutoroka makazi yao baada ya ghasia zilizozuka kati ya wanajeshi wa Somalia dhidi ya wanajeshi wa eneo la Jubaland...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atoa onyo kwa wanaojenga mabondeni, wakipata madhara wasiilaumu Serikali

    Rais wa Tanzania, John Magufuli amewataka wananchi kujihadhari kujenga nyumba kwenye maeneo ambayo kuna mkondo wa maji. Mkuu huyo wa nchi ametoa tahadhari hiyo leo Jumatano Desemba 18, 2019 wakati anazindua mradi wa Visima vya maji Chato na kuzungumza na wananchi wa Chato katika uwanja wa Shule...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM atoa onyo kwa Membe akimtaka kutokuwa juu ya katiba ya chama

    Bernard Membe, Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Tanzania CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimemuonya Benard Membe, kutokuwa juu ya katiba ya chama hicho. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Onyo hilo limetolewa leo tarehe 27 Novemba 2019 na Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa CCM, wakati...
  15. Kaka Pekee

    JamiiForums Tanzania Onyo la kistaarabu dhidi ya uhusiano wa Tanzania na Israel

    Inabidi tuanze kujifikirisha tena kidogo kwa fikra yakinifu dhidi ya Faida na Hasara za Uhusiano wa kidplomasia na Mataifa yenye Migogoro ili tusije kuingia kwenye kaburi ya Halaiki lililochimbwa na Reputations za Migogoro hiyo kwa kuingia Kichwa kichwa. Leo Tunashuhudia Palestina wakitupa...
Back
Top Bottom