onyo

  1. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Jaji Mstaafu Chocha alionya miaka 9 iliyopita kusema: "Tundu Lissu si mtu wa kawaida". Leo Taifa linashuhudia kutimia kwa onyo hili

    LISSU SI MTU WA KAWAIDA: Jaji Alionya, Taifa Linashuhudia! 👉Huyo ndiye Tundu Lissu mashine iliyomeza vitabu vya sheria na kuvimeng’enya hadi kuwa silaha ya haki. Kama ingekuwa ni hadithi za vitabuni, watu wangedhani hiki kichwa ni AI au mhusika wa kufikirika. Lakini leo, kukaa kwake mahabusu...
  2. Khanji kapoor

    JamiiForums Tanzania China yaipa onyo USA na Israel isitishe Vita Mara moja

    Serikali ya Beijing imetoa karipio kali na kuitaka USA na Israel kusitisha kushambulia Iran la sivyo itachukua hatua Kali kwa muda sahihi Source : msemaji wa serkali ya Beijing
  3. O

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia imeitoa onyo kwa Iran kufuatia mashambulizi ya makombora dhidi ya mataifa ya Ghuba ya Uarabuni.

    Saudi Arabia imeitoa onyo kwa Iran kufuatia mashambulizi ya makombora dhidi ya mataifa ya Ghuba ya Uarabuni ikiwa ni pamoja na UAE na Qatar, ikiwa inasema mashambulizi hayo ni ukiukaji mkubwa wa usalama na wa sheria za kimataifa na ikionyesha ushirikiano kamili na nchi zilizoathirika.
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Zungu apigwa onyo kali kwa kukiuka maadili kuhusu tukio la uchelewaji wa ndege ya ATCL Mwanza - Dar

    JAB YAMPA ΟΝΥΟ ΚALI MWANDISHI KWA KUKIUKA MAADILI Dar es Salaam, 23 Januari, 2026 Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), kwa mujibu wa mamlaka iliyopewa chini ya Sheria ya Huduma za Habari, Sura ya 229 na kanuni zake, imempa ONYO KALI Mwandishi wa Habari, Bw. Kelvin Justine Raphael...
  5. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Iran yaipa onyo USA!!!

    Iran imesema shambulio lolote kutoka USA litajibiwa vikali bila kupepesa macho. https://x.com/cnnipr/status/2016201365224108519?s=20 Tehran limewekwa bango linaonyesha Machumachuma ya USA yakizamishwa. Kazi kwa Trump sasa, ashupaze shingo.
  6. T

    JamiiForums Tanzania ONYO LA USALAMA WA TAIFA: Bei ya Chakula ni Bomu Linalosubiri Kulipuka Tanzania

    Wakati korido za madaraka zikijaa mijadala ya kisiasa na miradi mikubwa, kuna adui wa kimyakimya anayesambaratisha amani ya nchi yetu… Njaa mitaani. Katika kipindi kifupi bidhaa za msingi kama viazi mbatata zimeshuhudia ongezeko la bei la hadi 200%. Historia inatufundisha kuwa "Tumbo lenye njaa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Katoa onyo kali kwa cabinet na CCM: Rais anawekwa na Mungu, msianze kampeni. Ni mpango wake kusimika mtu wake 2030

    Kwa wale walioshindwa ku stomach spichi yote ya Samia jana wakamzima katikati, Rais kaongelea 2030, from nowhere! Kaanza mbio za 2030 wakati watu hatujamaliza ma mauaji ya Oct 29, wala yeye hajui hatima yake na ICC, na Gen Z, na EU, au na wanamgambo wowote waliouliwa watoto na wake zao...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Onyo: Udini ukifanikiwa, hata majeshi yatagawika na wanaotegemea majeshi, nao itakula kwao

    Huu ndio ukweli mchungu kwa mtu yeyote mwenye kuona mbali. Majeshi yakigawika kwa misingi ya imani za kidini, hayawezi kuwa loyal kwa mujibu wa viapo vyao na itawaathiri hata wale wanaotegemea dola iwaweka madarakani. Mtatoa order, ila askari kabla hajatekeleza hio order, atajiuliza kwanza...
  9. Genius Man

    JamiiForums Tanzania onyo: Huwenda maandamano ya #D9 yasiwe ya kibubu kutokana na visasi, huku shughuli kufungwa mapema kuliko inavyozaniwa kabla ya #D9

    Niwe muwazi na niongelee uhalisia kuna watu wengi wali uwawa October 29 wengine wakiwa ndani kwahiyo hatuwezi kutegemea maandamano haya ya #D9 yawe ya kibubu bubu na mabango tu. Pia shughuli za nchi zinaweza kusimama kabla ya hiyo tarehe #D9 kufika.
  10. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kutishia kuua kwa maneno ni kosa la Jinai. Sheikh aliyetishia kukata vichwa watu kwa majambia anapewa onyo!

    Kifungu cha 89 2(a) cha kanuni ya adhabu kimeweka wazi kabisa kuwa kutishia kuua ni kosa na mtu anapaswa kufungwa mwaka mmoja. Mbona huyu sheikh amepewa kadi ya njano na huku amefanya makosa? Pia soma > Uislamu unamkataa Sheikh aliyehamasisha kukata vichwa. Masheikh wenzie walaani
  11. R

    JamiiForums Tanzania Polisi mlitoa onyo kutosambaza video za kuleta taharuki. Sasa CNN mtawafanyaje?

    Nailiza polisi wetu tunawafanyaje CNN
  12. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Kumbe onyo la kuua wakati wa uchaguzi lilishatolewa

    Ilishakua imepangwa hii, kuua raia nchi hii ni kama unaua panya
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Onyo: Zanzibar inapaswa kuacha ubaguzi dhidi ya ndugu zao watanganyika, itawagharimu pakubwa

    Kwanza kabisa sababu kuu za harakati za kudai mabadiliko hazihusiani na muungano hata kidogo, ni za kisiasa tu. Hata hivyo kumekuwa na shutuma za ubaguzi zinazofanywa na wazanzabar kwa watanganyika hali hii inaweza kuwagharimu sana kwa ubaguzi wanao uanzisha na kupanua harakati za mabadiliko...
  14. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Day 3: Tunaelekea Ikulu. Jamani njooni, njia ni nyeupe na tupo wa kutosha hakuna wa kutuzuia. Chakula kitakuwepo

    Mlio dar maelfu ya wananchi wanaelekea kuchukua Ikulu yao jitokezeni kwa wingi tuchukue nyumba yetu kwa mafisadi.
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kinje: Unaonya wananchi kuhusu maandamano. Na wao wakikupa Onyo je?

    Mgombea Urais kupitia Chama cha Wakulima (AAFP) Kinje Kingunge Ngombare amesema viongozi wanatoa maonyo kuhusu maandamano je raia nao wakitoa onyo itakuwaje. Kinje amesema hayo kukemea gabia za wakuu wa wilaya na mikoa ambao huto maonyo kwa raia. Amesema kama yeye akiwa Rais, mkuu wa wilaya au...
  16. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kamati ya Ulinzi na Usalama Tanga yatoa onyo kwa watakaovuruga Amani siku ya Uchaguzi

    Kamati ya ulinzi na Usalama Mkoa Tanga imetoa onyo kwa wananchi wote wenye nia ovu ya kuvunja amani siku ya uchaguzi na kwamba kwa yeyote ambae atajaribu kufanya hivyo,atachukuliwa hatua za kisheria. Onyo hilo limetolewa na Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama na Mkuu wa Mkoa wa Tanga...
  17. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Mch. Morwabe kutoka Kenya atoa onyo kwa Rais Tanzania kuelekea Uchaguzi Mkuu

    https://youtu.be/zrupDG6XOqw?si=Fm1UfLmdpaNqo-7c Anasema: 1. Watanzania mwombeeni Rais wenu Samia Suluhu Hassan na serikali yake kwa ajili ya usalama wa nchi.. 2. Kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kufungia kanisa ili lisiabudu Mungu aliye hai ni jambo la hatari sawa na kucheza na waya...
  18. kyagata

    JamiiForums Tanzania Israeli imetoa onyo kali kwa nchi za ulaya

    Oya Myahudi kachafukwa kinoma. Hataki discussion na mtu yeyote yule. ================= Mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya Kaja Kallas amependekeza awamu nyengine ya vikwazo dhidi ya mawaziri wawili wa Israel, walowezi wanaozua vurugu na viongozi 10 wa kundi la Hamas. Waziri wa usalama wa...
  19. Ngungenge

    JamiiForums Tanzania Tutarajie hukumu: je ni onyo Kali au fidia..?

    Shauri lililofunguliwa Invisible court liko hatua za Mwisho. Court hio imemkuta na hatia mtuhumiwa Sasa upande wa utetezi wanaomba shauri hilo liondolewe, Lakini imekuwa ngumu kwa kuwa Sababu zilizotolewa hazijakidhi Matakwa ya kisheria pia pande zote mbili wameshindwa kumaliza nje ya uwanja...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nimenunua powerbank feki , msianguke nilipojikwaa

    Nimeamua kuweka uzi huu kwasababu hata TBS wanaopaswa kutulinda wamebaki kuwa watazamaji, kuna bidhaa feki nyingi sana mtaani Kuna bidhaa za kampuni ya ORAIMAB ikiwemo powebank niliyonunua, kaeni nazo mbali. Sehemu nilipo kumeanza mgao wa umeme, Siku ya jana (Jumanne) nikaingia Facebook...
Back
Top Bottom